Kipindi hiki cha baridi kali sasa ndio kitaamua mshindi kivita kati ya Ukraine na Russia

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,904
Slava Ukraine

Kipindi cha vita kuu ya dunia Russia ilikuwa na wapiganaji hatari wa vita kipindi cha baridi kali na kwenye maeneo yenye barafu kali nzito

Sijui Russia kimewapata nini mwaka jana kipindi cha baridi kali yaani winter na maeneo.yenye baridi na barafu kali majeshi ya Russia yalishindwa vibaya hata kusonga mbele walishindwa. Kwa kukabiliana na wapiganaji shupavu wa Ukraine

Vita iko mwaka wa Pili Jeshi la Ukraine lilishawasoma Warusi uwezo wao mdogo kwenye winter kali na barafu kali hawako Well equipped na hawana wapiganaji wabobezi vita za winter na barafu kali na vifaa vya kivita vya kisasa vya vita kwenye hali ya hewa ya aina hiyo.Ukraine muda wote wa mwaka ilikuwa inamsoma Mrusi na ku defend tu ardhi yao hasa sio kushambulia adui na kusonga mbele tu hadi Moscow ikiwezekana

Raisi wa Ukraine Zelensnkyy katanganza vita rasmi ya kushambulia adui Inaanza kipindi cha baridi kali na barafu kali ambayo huweko nchi zote Ukraine na Russia

Wanajeshi wa Ukraine wamejiandaa barabara kuanzia vifaa vya kivita vya kuhimili barafu nk na wapiganaji Well trained eneo.la aina hiyo wenye morale wa kutosha kuhakikisha ushindi unapatikana kipindi cha sasa cha baridi na barafu

Stay tuned kufuatilia vita kuanzia sasa ya Russia na Ukraine hata kama ulikuwa si mfuatiliaji.

Kwani ulaya saizi ni kipindi Cha baridi??? Kama hujui geography acha kudanganya
 
Nimeandika vitu viwili baridi na barafu kasngalie temperature ya miji ya urusi inayopakana na Ukraine mingi ina baridi kali sijaandika barafu tu

Umeandika kipindi hiki cha baridi Kali alafu ukataka maeneo ya Urusi na Ukraine. Ndio Watu wanakushangaa hapa kuwa Huko huu sio msimu wa baridi Kali.
Kuwepo Kwa barafu haimaanishi ni msimu wa baridi Kali.
 
Ndo hapo SASA, shabiki wa Yanga lakini humjui hata mchezajii mmoja wa yanga .

Jamaa anadhani Urusi na Ukraine ni kama Mafinga na njombe😂😂

Alafu anashindwa kuelewa kuwa taifa la Russia lipo katika kizio cha Kaskazini cha Dunia, na baridi Kwa sehemu kubwa ni throughout the year isipokuwa winter ndio inazidi maradufu.
 
Slava Ukraine

Kipindi cha vita kuu ya dunia Russia ilikuwa na wapiganaji hatari wa vita kipindi cha baridi kali na kwenye maeneo yenye barafu kali nzito

Sijui Russia kimewapata nini mwaka jana kipindi cha baridi kali yaani winter na maeneo.yenye baridi na barafu kali majeshi ya Russia yalishindwa vibaya hata kusonga mbele walishindwa. Kwa kukabiliana na wapiganaji shupavu wa Ukraine

Vita iko mwaka wa Pili Jeshi la Ukraine lilishawasoma Warusi uwezo wao mdogo kwenye winter kali na barafu kali hawako Well equipped na hawana wapiganaji wabobezi vita za winter na barafu kali na vifaa vya kivita vya kisasa vya vita kwenye hali ya hewa ya aina hiyo.Ukraine muda wote wa mwaka ilikuwa inamsoma Mrusi na ku defend tu ardhi yao hasa sio kushambulia adui na kusonga mbele tu hadi Moscow ikiwezekana

Raisi wa Ukraine Zelensnkyy katanganza vita rasmi ya kushambulia adui Inaanza kipindi cha baridi kali na barafu kali ambayo huweko nchi zote Ukraine na Russia

Wanajeshi wa Ukraine wamejiandaa barabara kuanzia vifaa vya kivita vya kuhimili barafu nk na wapiganaji Well trained eneo.la aina hiyo wenye morale wa kutosha kuhakikisha ushindi unapatikana kipindi cha sasa cha baridi na barafu

Stay tuned kufuatilia vita kuanzia sasa ya Russia na Ukraine hata kama ulikuwa si mfuatiliaji.

Slava Ukraine
Siku sio nyingi Ukraine yoooote itakuwa majivu, tusisikie wamarekani wa Tabata mnalalamika.
 
Rudia kusoma ulichoandika kwa hiyo barafu huwa haina baridi kali barafun ikiwemo eneo la vita kwa hiyo hiyo barafu inakuwa heater au?

Kataa pombe ,pombe sio chai

Shule ni muhimu Sana. Mnaona wenzenu wanatania walipowaambia msome. Kwa hiyo ukishaona barafu unafikiri ni kipindi cha baridi Kali😂😂.
Embu kasome Jiografia hata ya kidato cha pili uache kujiabisha hapa
 
Slava Ukraine

Kipindi cha vita kuu ya dunia Russia ilikuwa na wapiganaji hatari wa vita kipindi cha baridi kali na kwenye maeneo yenye barafu kali nzito

Sijui Russia kimewapata nini mwaka jana kipindi cha baridi kali yaani winter na maeneo.yenye baridi na barafu kali majeshi ya Russia yalishindwa vibaya hata kusonga mbele walishindwa. Kwa kukabiliana na wapiganaji shupavu wa Ukraine

Vita iko mwaka wa Pili Jeshi la Ukraine lilishawasoma Warusi uwezo wao mdogo kwenye winter kali na barafu kali hawako Well equipped na hawana wapiganaji wabobezi vita za winter na barafu kali na vifaa vya kivita vya kisasa vya vita kwenye hali ya hewa ya aina hiyo.Ukraine muda wote wa mwaka ilikuwa inamsoma Mrusi na ku defend tu ardhi yao hasa sio kushambulia adui na kusonga mbele tu hadi Moscow ikiwezekana

Raisi wa Ukraine Zelensnkyy katanganza vita rasmi ya kushambulia adui Inaanza kipindi cha baridi kali na barafu kali ambayo huweko nchi zote Ukraine na Russia

Wanajeshi wa Ukraine wamejiandaa barabara kuanzia vifaa vya kivita vya kuhimili barafu nk na wapiganaji Well trained eneo.la aina hiyo wenye morale wa kutosha kuhakikisha ushindi unapatikana kipindi cha sasa cha baridi na barafu

Stay tuned kufuatilia vita kuanzia sasa ya Russia na Ukraine hata kama ulikuwa si mfuatiliaji.

Slava Ukraine

Unaripoti kutoka wapi?
 
Siku sio nyingi Ukraine yoooote itakuwa majivu, tusisikie wamarekani wa Tabata mnalalamika.
Futility vyombo vyote vys kimataifa unavyojua wewe Mwaka huu Russia itavunjika vipande kwa majimbo wadai wawe na nchi yao

Na Putin ataondoka kwa kuuawa au kujiuzulu au kukimbia nchi na ma Oligarchs waje wezi wa mali za Urusi akiwemo waziri wa mambo ya nje wa Urusi
 
Shule ni muhimu Sana. Mnaona wenzenu wanatania walipowaambia msome. Kwa hiyo ukishaona barafu unafikiri ni kipindi cha baridi Kali😂😂.
Embu kasome Jiografia hata ya kidato cha pili uache kujiabisha hapa
Hii hoja iko juu ya uwezo wako wewe kama hujui kukiwa na barafu baridi hamna Baki tu na kuleta tu.maada za mambo ya wanawake anbazo wewe kutwa huwa unazileta humu wakati wewe ni mwanaume huachii wanawake walete
 
Futility vyombo vyote vys kimataifa unavyojua wewe Mwaka huu Russia itavunjika vipande kwa majimbo wadai wawe na nchi yao

Na Putin ataondoka kwa kuuawa au kujiuzulu au kukimbia nchi na ma Oligarchs waje wezi wa mali za Urusi akiwemo waziri wa mambo ya nje wa Urusi
Amka toka usingizini
 
Mkiambiwa shule muhimu mnaona tunatania. Sasa oneni huyu. wenzako wametoka Winter kuanzia mwezi wa tatu. Wewe unaota ndoto za Mchana.

Winter Huko Ulaya inaanzia mwezi December mpaka February. Sasa sijui ndugu yetu umekwama wapi.
Wanadhani shule kwa ajili ya kupata kazi tu😀😀
 
Slava Ukraine

Kipindi cha vita kuu ya dunia Russia ilikuwa na wapiganaji hatari wa vita kipindi cha baridi kali na kwenye maeneo yenye barafu kali nzito

Sijui Russia kimewapata nini mwaka jana kipindi cha baridi kali yaani winter na maeneo.yenye baridi na barafu kali majeshi ya Russia yalishindwa vibaya hata kusonga mbele walishindwa. Kwa kukabiliana na wapiganaji shupavu wa Ukraine

Vita iko mwaka wa Pili Jeshi la Ukraine lilishawasoma Warusi uwezo wao mdogo kwenye winter kali na barafu kali hawako Well equipped na hawana wapiganaji wabobezi vita za winter na barafu kali na vifaa vya kivita vya kisasa vya vita kwenye hali ya hewa ya aina hiyo.Ukraine muda wote wa mwaka ilikuwa inamsoma Mrusi na ku defend tu ardhi yao hasa sio kushambulia adui na kusonga mbele tu hadi Moscow ikiwezekana

Raisi wa Ukraine Zelensnkyy katanganza vita rasmi ya kushambulia adui Inaanza kipindi cha baridi kali na barafu kali ambayo huweko nchi zote Ukraine na Russia

Wanajeshi wa Ukraine wamejiandaa barabara kuanzia vifaa vya kivita vya kuhimili barafu nk na wapiganaji Well trained eneo.la aina hiyo wenye morale wa kutosha kuhakikisha ushindi unapatikana kipindi cha sasa cha baridi na barafu

Stay tuned kufuatilia vita kuanzia sasa ya Russia na Ukraine hata kama ulikuwa si mfuatiliaji.

Slava Ukraine

Kipindi cha baridi waap? Ama huko kwenu Buhigwe baridi imeanza unadhan na E.Europe nako imeanza katafute kuni mkuu upate joto Kule its not winter kwa sasa
 
Hii hoja iko juu ya uwezo wako wewe kama hujui kukiwa na barafu baridi hamna Baki tu na kuleta tu.maada za mambo ya wanawake anbazo wewe kutwa huwa unazileta humu wakati wewe ni mwanaume huachii wanawake walete

Leo ndio imethibitika kwamba madarasa yako ni madogo na huna exposure ya Dunia. Yaani kweli useme Urusi na Ukraine ni kipindi cha baridi kisa umeona barafu😂😂.
Umejiaibisha Mno.
Peleka Watoto shule Ila angalau wasiwe na Akili ndogo kama zako.

Mada inazungumzia Ukraine na Russia, na baridi wewe unaleta mada Mpya za Wanawake ambazo nazo huna ujualo.

Nampa pole aliyekuoa. Endelea na msimu wa baridi
 
Kipindi cha baridi waap? Ama huko kwenu Buhigwe baridi imeanza unadhan na E.Europe nako imeanza katafute kuni mkuu upate joto Kule its not winter kwa sasa

Huyo hata akienda pale mlima Kilimanjaro akakuta barafu atasema ni msimu wa baridi. Ni mjinga aliyepata smartphone
 
Back
Top Bottom