Yaliyomkuta Moise Katumbi 2018 yatajirudia tena?

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Msharau wa Moise Katumbi, Solomon askadela kalonda Jumamosi alikamatwa na Jeshi la Kongo kwa tuuma za kutaka kupindua serekali ya Felix Tshisekedi kwa kushirikiana Na kikundi cha M23 pamoja na nchi ya Rwanda.

Michezo yote ya uongo inayo tokea katika nchi hii ni kutaka kumshika moise katumbi tu na kumuua.

Lakini kwasasa wanajidanganya wasifikiri kilicho tokea mwaka 2018 kitajirudia tena.

Kama wao wameona njia Bora ya kusuluisha matatizo ya wakongomani ni umwagaji wa damu tupo tayari kwa njia yeyote Wala hatuogopi chochote.

Amesema katibu mkuu wa Chama cha Ensemble Pour la République cha Moise Katumbi.
 
Katumbi akifanikiwa kushika dola,watajuta
 
Bon,kishwaili yako inaikakaga saa vile upo muile pori ya ba lebere!Sango nini mutu wangu?🙏😂
 
Katumbi akifanikiwa kushika dola,watajuta
Baba katumbi sio mbaya Wala hajawahi kuwa mbaya ila Kuna watu wanamtumia kama daraja la kutaka kujulikana kwa jamii ni kumsema vibaya ili akubaliwe Na jamii ya wakasai Na baadhi ya wakongo
 
Hawezi kukuonesha ubaya wakati bado hajapata nafasi,subiri aingie state ndio utajua....
Katumbi amebeba mengi sana moyoni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom