Hapo kati hakuna masasi mkuuu shida ipo kule Masisi Rutshuru bunaganga na viunga vingine lakini hapo goma city pako shwari kabisa kuna vyuo vikuu vinapokea wanafunzi toka sehemu mbali mbali na nchi jiraniJiji Zuri Sana Sasa Ajabu Vita Kila Siku Hawachoki
Maisha Yapo Mazuri Kwa Muonekano, Maana Vita Ni TatizoHapo kati hakuna masasi mkuuu shida ipo kule Masisi Rutshuru bunaganga na viunga vingine lakini hapo goma city pako shwari kabisa kuna vyuo vikuu vinapokea wanafunzi toka sehemu mbali mbali na nchi jirani
[emoji81][emoji81]nme ona iyo masasi nka jua tu we ni mkongoHapo kati hakuna masasi mkuuu shida ipo kule Masisi Rutshuru bunaganga na viunga vingine lakini hapo goma city pako shwari kabisa kuna vyuo vikuu vinapokea wanafunzi toka sehemu mbali mbali na nchi jirani
Mimi mbongo mkuu[emoji81][emoji81]nme ona iyo masasi nka jua tu we ni mkongo
Mukubwa yangu, muko na apitale moya ya ngufu sana.Inaikala magnifique!Juu ya nini munapigana saa vile nyama ya pori?🤔Hili ndo Jiji la Goma DRC
Ni Jiji la tatu kwa maendeleo
Na la kwanza kwa usafi DRCView attachment 2650803View attachment 2650804View attachment 2650805View attachment 2650806View attachment 2650807View attachment 2650808View attachment 2650809View attachment 2650810View attachment 2650811View attachment 2650812View attachment 2650813View attachment 2650814View attachment 2650815View attachment 2650816
De ja vu de uno trabajo WallahNotre plus beau ville que kinshasa
nb: wa bongo iyi coment aiwausu
Basi ungewaandikia barua iwafikie huko walipo "per avion"!Hakukuwa na sababu ya kuweka hapa JF.Notre plus beau ville que kinshasa
nb: wa bongo iyi coment aiwausu
Huo mto Congo unamuenekano kama bahari
Goma hakuna mto Congo hilo uonalo hapo ni ziwa kivuHuo mto Congo unamuenekano kama bahari
Bon,yuko na chembre ye peke!Hayuko na maneno ya namuna ule!nimeona nyumba ya mayeleee.