roadmaster
JF-Expert Member
- Mar 21, 2023
- 1,708
- 2,886
Nina uhakika ufaransa watakuwa wanatamani sera za Donald trump,kuhusu wahamiaji, hakika ukicheza na mwafrika na mwarabu utavuna mabua.
Nini chanzo cha vurugu?
Kuna mwarabu kutoka kaskazini mwa Africa alisimamushwa na polisi akasimama Kisha akaondoa gari Kwa Kasi kubwa kidogo awadhuru polisi.Askari wakachukia wakampiga risasi akafa!! Vurugu magari kuchomwa moto hakufai Kwa kifupi.
Swali langu
Je, yule kijana angesimama angepigwa risasi!! Je, kwa sasa ugaidi ni tatizo duniani vipi kama angekuwa na mabomu akalipue watu aue Kwa mamia!? Askari asingelaumiwa!? Je, kwani angesimama ingekuwaje!?
Hakina ukicheza na mjinga utavuna mabua.
Donald Trump ndio maana tunamuona kilaza ila waamerika wanamkubali.