Video: Ulinzi wa Rais wa Guinea, Mamady Doumbouya

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
83,843
Reaction score
90,353
Ulinzi wa Rais wa Guinea, Mamady Doumbouya.

Doumbouya anahudumu kama Rais wa mpito tangu Oktoba 2021 baada ya kuongoza mapinduzi ya kijeshi dhidi ya Rais Alpha Condé.

===

Ukistaajabu ya Bola Tinubu wa Nigeria basi hujayaona ya Rais wa Guinea..

Afrika raha sana.
 
Huo sio ulinzi. That's unwarrantable public display of power. Huko ni kutumia nguvu nyingi kuliko maarifa. And they're right given the level of education of the populace.

Afrika ingali na safari ndefu sana.
 
Ulinzi wa Rais wa Guinea, Mamady Doumbouya.

Doumbouya anahudumu kama Rais wa mpito tangu Oktoba 2021 baada ya kuongoza mapinduzi ya kijeshi dhidi ya Rais Alpha Condé.

===

Ukistaajabu ya Bola Tinubu wa Nigeria basi hujayaona ya Rais wa Guinea..

Afrika raha sana.
Yani Afrika bado ipo kwenye mapori ya ki peke yao.
 
Ulinzi wa Rais wa Guinea, Mamady Doumbouya.

Doumbouya anahudumu kama Rais wa mpito tangu Oktoba 2021 baada ya kuongoza mapinduzi ya kijeshi dhidi ya Rais Alpha Condé.

===

Ukistaajabu ya Bola Tinubu wa Nigeria basi hujayaona ya Rais wa Guinea..

Afrika raha sana.
Mbona hayo madogo??
Huku kwetu kuna RAIS ANAIUZA NCHI KABISA
 
Wenye nia nae awamkosi hapo wakitaka.
Anaweza akapigwa hata na rocket ronger akachanganywa na udongo.
 
Pamoja na ulinzi wake wote huo wa kutishia wananchi shapu shooter au qualified sniper haitaji risasi 2
 
Ulinzi wa Rais wa Guinea, Mamady Doumbouya.

Doumbouya anahudumu kama Rais wa mpito tangu Oktoba 2021 baada ya kuongoza mapinduzi ya kijeshi dhidi ya Rais Alpha Condé.

===

Ukistaajabu ya Bola Tinubu wa Nigeria basi hujayaona ya Rais wa Guinea..

Afrika raha sa

Ukitoa mwenzio kwa kumpindua nawe tegemea utapinduliwa tu ata uzungukwe na askari wengi kiasi gani
 
Huyo ni SF na analindwa na wenzake.
 
Back
Top Bottom