International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Jeshi la Niger kupitia televishen ya taifa limetangaza kupindua serikali ya nchi hiyo. Shughuli site za serikari zimesimamishwa na mipaka ya nchi imefungwa. ====== Wanajeshi wa Niger wadai...
6 Reactions
59 Replies
6K Views
Wafuasi hao wameshambulia makao makuu ya Chama cha Rais aliyepinduliwa na kuchoma moto, kupiga mawe na kuchoma magari yaliyokuwa nje ya jengo husika. Wakati hayo yakitoka Jeshi la Niger nalo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika kile kinachooneka Poland kuimarisha mipaka yake dhidi ya kitisho chochote cha usalama kutoka Belarus, Rais Putin wa Urusi ametoa kauli ya hovyo ya kibabe kwamba sehemu ya Magharibi ya...
18 Reactions
130 Replies
8K Views
Urusi ilitegemea kutumia hii hafla kuonyesha uungwaji mikono na dunia, ila imetengwa....na inazidi kutengwa na pia kupokea kichapo kutoka kwa kataifa kadogo jirani hapo.... Russian President...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Jenerali wa Sudan, Yassir al-Atta, amekataa kwa lugha ya vitisho pendekezo linaloongozwa na #Kenya la kupeleka Wanajeshi wa kulinda amani wa Afrika Mashariki, kusaidia kumaliza vita kati ya...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Bakhmut inandelea kuwa kichinjio cha Warusi, wamefia sana pale na wanasogeshwa nyuma, hivi kwenye vitabu vyao vya historia, itaandikwa walifia nini hapo Bakhmut maana hivi karibuni wataondolewa...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Hiki Kiherehere kipo sana tu na Maeneo mengine labda alichofanya huyu Mwanajeshi kitakuwa Funzo Kwenu. Taarifa Kamili: Aljazeera.com === A soldier in the northeastern Democratic Republic of the...
-1 Reactions
10 Replies
2K Views
Imeriporitwa drones kadhaa zimefanya mashambulizi huku nyingine ikitunguliwa katikati kabisa ya jiji la Moscow. Urusi imeitupia Ukraine lawama kwa shambulio hilo lilifonyika karibu na majengo ya...
11 Reactions
35 Replies
2K Views
Ni karibu miaka sita tangu Marekani izushe mgogoro wa kibiashara kati yake na China, na kuubazita mgogoro huo jina la vita ya biashara kati ya China na Marekani, wakati uhalisia wake ni vita ya...
2 Reactions
0 Replies
726 Views
Mwezi Julai mwaka huu unatajwa na wanasayansi kwa tabia nchi kuwa ni kipindi ambacho dunia imeshuhudia viwango vikubwa sana vya joto katika historia. Hali hii imefanya baadhi ya wanasayansi...
0 Reactions
0 Replies
557 Views
Habarini wanajukwaa, Leo nilikuwa navuka na kivuko cha MV Kamanga upande wa Kamanga katika Ziwa Victoria ilikuwa mnamo majira ya saa nane alasiri. Uwezo wa kivuko ni kubeba abiria 150 ila Kwa...
10 Reactions
56 Replies
5K Views
New Delh. Tesla has expressed an interest in building a factory in India that would produce low-cost electric vehicles (EVs) for the local market and for export, sources said Tesla...
0 Reactions
0 Replies
853 Views
Ghana imeingia katika orodha ya Nchi za Afrika ambazo zimeiondoa hukumu hiyo miaka ya hivi karibuni. Taifa hilo lina Wanaume 170 na Wanawake 6 ambao walihukumiwa kifo lakini adhabu yao sasa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Madaktari katika hospitali za umma nchini Nigeria wameanza mgomo usio na kikomo, wakilalamikia serikali kutoshughulikia malalamiko yao, yakiwemo kulipwa mishahara yote ambayo hawajalipwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
586 Views
Katiba mpya ya Mali imeondoa Kifaransa, ambacho kimekuwa lugha rasmi ya nchi hiyo ya Afrika Magharibi tangu mwaka 1960. Chini ya Katiba Mpya iliyopitishwa kwa wingi wa asilimia 96.91 ya kura...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Waziri mkuu wa Cambodia amejiuzulu. === Cambodia's Prime Minister Hun Sen, one of the world's longest-serving leaders, has announced he will resign and hand over to his son in early August. The...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Serikali ya Taifa la Afghanistan inayoongozwa na Taliban leo inatarajiwa kuyafunga Maduka ya urembo na saluni za kike zaidi ya elfu moja nchini humo ikidai pesa nyingi zinazotumika kwenye urembo...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Nawaona sana wanavaa hao jamaa; watu wa kawaida hadi viongozi. Ina maana gani kuwa vidogo vile?
4 Reactions
43 Replies
4K Views
Nimetuma maombi yangu online ya kupata visa Tanzania kwasasa ni takribani siku 30 lakini mpaka sasa sijapata majibu kuwa visa yangu imekataliwa au kukubaliwa. Na kawaida wanamtumia mtu message...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Trocadero Ilijengwa mwaka 1896, ni mojawapo ya majengo ya burudani maarufu zaidi ya London Tajiri Asif Aziz anajenga msikiti huo wa gorofa tatu ndani ya jengo la Trocadero Msikiti huo ambao...
3 Reactions
122 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…