Nigeria: Madaktari wa Hospitali za Umma wagoma kwa Muda usiojukikana

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,618
Madaktari katika hospitali za umma nchini Nigeria wameanza mgomo usio na kikomo, wakilalamikia serikali kutoshughulikia malalamiko yao, yakiwemo kulipwa mishahara yote ambayo hawajalipwa kwa pamoja na fedha za ruzuku ya kufanya kazi katika mazingira hatarishi

Chama cha Madaktari Nchini humo kinasema kuwa angalau madaktari 50 wanahama Nigeria kila wiki ili kwenda kufanya kazi nje ya nchi kutokana na Mazingira na mishahara duni na kuongezeka kwa gharama za Maisha


.........



Nigerian public doctors begin indefinite strike


Health workers wait to take a dose of the Oxford/AstraZeneca coronavirus disease (COVID-19) vaccine at the Cacovid isolation centre, Mainland, Infectious disease hospital, Yaba, in Lagos, Nigeria

The Nigerian doctors accuse the government of not addressing their grievancesImage caption: The Nigerian doctors accuse the government of not addressing their grievances

Doctors in Nigeria's public hospitals have started a “total and indefinite strike” over what they described as the failure of government to address their grievances.

The striking medics make up the largest percentage of doctors in Nigeria’s hospitals.

Their walk-outs usually severely disrupt healthcare services in government hospitals.

Among their demands, they are asking for the immediate payment of all salaries and a new hazard allowance.

The Nigeria Medical Association says at least 50 doctors leave Nigeria every week to work abroad.

Poor working conditions, coupled with bad pay and the rising cost of living are the main factors.

Source: BBC
 
Back
Top Bottom