Moscow yashambuliwa kwa drones, Ukraine yahusishwa

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
65,023
Reaction score
111,440
Imeriporitwa drones kadhaa zimefanya mashambulizi huku nyingine ikitunguliwa katikati kabisa ya jiji la Moscow.

Urusi imeitupia Ukraine lawama kwa shambulio hilo lilifonyika karibu na majengo ya wizara ya ulinzi pamoja ujasusi. Ukraine haijatoa taarifa yoyote kuhusiana na shambulio hilo.
 
Safi sanaaaa
 
Hii nguvu wanayotumia Ukraine kufanya mashambulizi ambayo hayana maana wala hasara kubwa wamepeleka uwanja wa vita walikofeli.
 
Huyu Zelenesk kweli comedy hebu opening alicho piga afu asubiri kipigo sasa.

Yani kweli muigizaji film lazima aonyeshe ka acting sa kupiga hilo jumba gorofa tena kavunja tu vio afu anajisifu nimepiga Moscow 😂
 
Zele is very stupid

Yani kweli muigizaji film lazima aonyeshe ka acting sa kupiga hilo jumba gorofa tena kavunja tu vio afu anajisifu nimepiga Moscow [emoji23]
 
Magharibi wanashambulia maeneo ndani ya Russia na kutuma ujumbe media zote za Dunia hili kuficha aibu ya failure ya counter offensive inayojadiliwa mitandaoni.
 
Zele is very stupid
Zele yupo vitani. Na hapo alipopiga(kama ni yeye kapiga) ni ndani ya moscow, ndani ya nchi inayoaminika kuwa na ulinzi mzuri sana. Huwezi mdharau kwa hilo.

Binafsi naona Putin anatakiwa kumalizana na Zele either kwa kumpiga kikamilifu au mazungumzo.

Hii kidogo kidogo inaleta haba na haba hujaza kibaba. Somehow raia wa moscow hawajisikii kuwa wapo salama sana kama mwanzoni alipokuwa akiishambulia ukraine na ukraine ikijilinda bila kuigusa Urusi.
 
Huyu Zelenesk kweli comedy hebu opening alicho piga afu asubiri kipigo sasa.

Yani kweli muigizaji film lazima aonyeshe ka acting sa kupiga hilo jumba gorofa tena kavunja tu vio afu anajisifu nimepiga Moscow 😂

Na ubwiaji unga nao unachangia sana - Senselessky akili zake sio nzuri by 100% na hasipo kuwa makini anaweza kuwa ndiye chanzo cha unintended WW3..
 
Zele yupo vitani. Na hapo alipopiga(kama ni yeye kapiga) ni ndani ya moscow, ndani ya nchi inayoaminika kuwa na ulinzi mzuri sana. Huwezi mdharau kwa hilo.

Binafsi naona Putin anatakiwa kumalizana na Zele either kwa kumpiga kikamilifu au mazungumzo.

Hii kidogo kidogo inaleta haba na haba hujaza kibaba. Somehow raia wa moscow hawajisikii kuwa wapo salama sana kama mwanzoni alipokuwa akiishambulia ukraine na ukraine ikijilinda bila kuigusa Urusi.
Lakini mkuu kumbuka kwamba Merikani yenyewe mpaka pentagon ziliwahi kushambuliwa vibaya sana je,ilikuwaje tena Taifa linalo jiamini kijeshi na Ulinzi likajikuta linashambuliwa kirahisi.
 
Mkuu, scenario ni tofauti.
 
Mkuu, scenario ni tofauti.
Wachina wana msemo kwamba it doesn't matter ni paka wa rangi gani anakamata panya, cha muhimu ni kumaliza tatizo la panya ndani ya nyumba yako - awe mweupe sawa, awe mweusi sawa, awe wa madoa doa sawa - binafsi sioni kama kuna scenario tofauti wakati end results ni zile zile.
 
Panya wapo Urusi kwa sasa. That's why nasema scenario ni tofauti. Muda tu wa tukio ni factor inayoleta huo utofauti.
 
Mkuu, scenario ni tofauti.
Always manufacturing lame excuses in your vain efforts zakutaka kuzunga Dunia kwamba USA is different, cha muhimu hapa ni, je, USA aliwahi. kushambuliwa vibaya sana au la? Mambo ya kusema scenario zilikuwa. tofauti ni immaterial.
 
Back
Top Bottom