Na Ahmed Rajab
WIKI imepita kama upepo tangu Jumuiya ya Uchumi ya Afrika Magharibi (Ecowas) itangaze kuwa inawapa wapinduzi wa kijeshi wa Niger muda huo wa wiki moja wamrejeshe madarakani Rais...
Wakati mgogoro wa Ukraine ukiendelea kwa mwaka mmoja na nusu sasa, huku nchi za magharibi zinaonekana kuendelea na nia yake ya kuchochea mgogoro huo na kutaka utatuliwe kwa njia ya kijeshi, China...
Shirika la Habari la Syria hivi karibuni liliripoti kuwa jeshi la Marekani "limeiba" kiasi kikubwa cha ngano kaskazini mashariki mwa nchi hiyo na kuisafirisha kwenye kambi yake ya kijeshi nchini...
Nakumbuka kuna kipindi hapo miaka si mingi iliyopita watu wengi walikuwa wanaisifia China ndio rafiki wa dhati wa nchi za Africa.
Mara ikawa kimya hasifiwi tena, ningependa kujua nini kilisababisha
EVERYBODY MUST UNDERSTAND THE MALIAN, BURKINABE AND NIGER CASE AGAINST IMPERIALIST FRANCE.The countries are simply fed up with France siphoning and looting their wealth through very...
Ni kampuni kubwa ambayo hutengeneza mizinga ikiwemo ile ya hypersonic, wamedukuliwa kizembe sana tena kwa miezi mitano bila kushtukia....
North Korean leader Kim Jong Un and Russia's Defense...
Kwenye vita kuna mengi sana, yaani mtandao wa wanawake ambao kazi yao ilikua kutuma taarifa Urusi.....
Ukraine claimed to have dismantled an all-female spy network operating in the Donetsk...
Ikumbukwe kwenye huu mto Warusi walikua wamejichimbia balaa kwenye upande wa pili, haya Ukraine wamevuka, mbele kwa mbele...
Ukrainian forces conducted a raid across the Dnipro River in the...
Mmmoja wa waliopoteza maisha katika mgomo huo unaohusisha maandamano ni raia wa Uingereza mwenye umri wa miaka 40 ambaye familia yake inaungwa mkono na Ofisi ya Mambo ya Nje ya Uingereza...
Mapinduzi yameishatokea nchini Niger baada ya jeshi ambayo yameungwa mkono na viongozi wa kijeshi wa Mali, Burkina Faso na hata Algeria.
ECOWAS umoja wa nchi za Afrika Magharibi kwa harakaharaka...
Wakati Ukraine ikishughulika na kudondosha vibomu vidogo vidogo kwenye daraja na meli za Urusi na hii ni baada ya kushindwa kurejesha jimbo lolote lililotekwa.Mwenzake Urusi amefikiria mbali sana...
Jeshi la Urusi linaendelea kulemazwa.....
Ukraine’s defence forces have destroyed 6 Russian ammunition storage points and 21 pieces of military equipment on the Tavriia front in southern Ukraine...
Haya madubwana ni hatari sana.....
UKRAINE has reportedly wiped out hundreds of Russian soldiers who thought they were out of the range of danger.
Sources say five US-made HIMARS missiles...
Kiongozi wa serikali ya Niger Jenerali Abdourahmane Tchiani amemteua waziri wa zamani wa fedha kuwa waziri mkuu mpya kufuatia mapinduzi ya Julai 26.
Ali Mahaman Lamine Zeine anachukua nafasi ya...
Guinea military junta chief orders shut down of AngloGold Siguiri mine
The military junta which now governs Guinea has ordered AngloGold Ashanti to shut down the Siguiri gold mine after a...
Niger inageuka kuwa kete muhimu ya vita vya kiuchumi katikati ya mataifa nguli na yenye misuli duniani.
Viashiria ni kwamba sera za mfaransa Africa zimetikiswa ndani ya wiki hii ambapo Niger...
Jenerali Ulimwengu alitoa kauli hiyo wakati akihojiwa na chombo Cha habari kinachofahamika kwa jina "chanzo". Jenerali Ulimwengu aliunga mkono ukandamizaji demokrasia unaofanyika Rwanda kwa...
Obama was not wrongly put in the Oval Office,there is an agenda,yes an agenda for Africa.By putting a colored,the U.S conceals its military strategy and attempts to avoid the antagonistic...
Katika siku za karibuni Marekani imekuwa ikiendelea na juhudi zake za kukabiliana na kile inachoita ushawishi wa China barani Afrika, na kutafuta kila njia inayoona kuwa inaweza kusaidia...
China, ikiwa ni nchi ya pili kwa ukubwa wa uchumi duniani, ustaarabu wake wa ikolojia una mifano mingi ya kuigwa na nchi za Afrika na nchi nyingine zinazoendelea duniani, hususan zile za Kusini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.