International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Hizi ndiyo silika za viongozi wetu. Hawana uchungu na nchi. Serikali zao zimesheheni ndugu zao. Mali zetu wamejimilikisha wao kwa maslahi yao binafsi. Viongozi hawa hawaaminiki. Tudai...
20 Reactions
82 Replies
7K Views
Wanangu wa Ukraine wamekiamsha kama ambao wana vichaa vile, yaani Urusi wanafukuziwa balaa hadi aliyekua generali ameshauri njia ya pekee ni kutumia nyuklia kuzuia huu mzuka wa Ukraine.... A...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Hatua mpya ya Marekani ya kukoleza moto wa vita: Kuipelekea Ukraine silaha zenye madini ya urani Sep 03, 2023 08:49 UTC Serikali ya Rais Joe Biden wa Marekani imeamua kwa mara ya kwanza kuipatia...
3 Reactions
3 Replies
892 Views
Iran yakosoa uwepo wa Marekani katika Baraza la Haki za Kibinadamu la UN Sep 02, 2023 11:30 UTC [https://media]Ali Bahreini Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Ofisi ya Umoja wa...
0 Reactions
2 Replies
438 Views
India imepiga hatua kubwa mno, wanastahili pongezi kuingia kwenye 'field' tuliyozoea kuona Wamagharibi, Wachina na Warusi. Pongezi kwa India na wanasayansi wake.... Bado zamu ya Africa ipo...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
MAPINDUZI YA NIGER YANA MASILAHI MAPANA KWA URUSI NA HASARA KUBWA KWA NCHI ZA MAGHARIBI. Yawezekana ukawa miongoni mwa wanaojiuliza ni kwanini ECOWAS, Ufaransa na Marekani wanatolea macho...
30 Reactions
123 Replies
9K Views
Mzuka Wanajamvi! Rais aliyepinduliwa wa Gabon Ali Bongo katoka kabila moja Fang na rais wa Cameroon Paul Biya na rais wa Equatorial Guinea Teodoro Obiang Nguema. Ni mipaka tu iliyowekwa na...
28 Reactions
46 Replies
5K Views
My take: Baada ya mambo kuwa magumu kwenye vita vyake na Ukraine, kupoteza silaha nyingi,Urusi yaanza kuhamisha silaha toka maeneo mengine kupeleka frontline dhidi ya Ukraine.Njia rahisi ya...
8 Reactions
19 Replies
2K Views
Taratibu tutaongea lugha moja.... PHOTO: OSTOROZHNO, NOVOSTI On Sunday, 3 September, a big fire broke out at an oil depot in Krasnogvardeysky District, St Petersburg, Russia. Source...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Mambo yanazidi kua mambo nchini Niger. Wananchi wengi wao wakiwa wakina Mama waandamana jirani na kambi ya Jeshi ya Ufaransa iliyopo nchini hapo wakishinikiza waondoke. Wakina Mama hao...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Huyu ndio wale vijana maskini walikuwa wanashangilia eti ni Mzalendo kampindua binamu yake 🤣🤣🤣🤣 "Gabon's new Head of State, Brice Nguema is a cousin of former President Ali Bongo. He owns three...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kujiunga Jumuiya ya ASEAN na juhudi za kutumia sarafu za kieneo badala ya dola Sep 02, 2023 02:43 UTC [https://media] Kufuatia kutiwa saini makubaliano ya kifedha kati ya Indonesia, Malaysia na...
8 Reactions
27 Replies
4K Views
Kiongozi mpya wa kijeshi Nchini humo, Jenerali Brice Oligui Nguema ameahidi kuirejesha nchi hiyo kwenye demokrasia, lakini hajasema ni lini uchaguzi mpya utafanyika, pia amesema taasisi za...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Ndege hiyo Chapa MH 17 iliydunguliwa na Mawakala Wa Putin miaka 9 iliyopita na Kuua abiria wa Uholanzi 196.Uholanzi Kulipiza kisasi imeipatia Ukraine Ndege za kivita Chapa F-16,ili kusaidia...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Mzuka wanajamvi, Hii ni video ya bosi wa Cartel madawa ya kulevya mvenezuela Reinaldo Fuentes akitupwa na kuzamishwa katika bahari ya Caribbean akiwa hai. Reinaldo Fuentes alijulikana kwa jina...
21 Reactions
94 Replies
11K Views
Mapinduzi ya kijeshi yanayotokea Africa yataendelea hadi pale viongozi wetu watakapo heshimu chaguzi huru, katiba, utawala bora. Inashangaza sana kuona kiongozi anabadili safu ya uongozi kwa...
6 Reactions
8 Replies
815 Views
Kiongozi cha Chama Kikuu cha Upinzani cha Citizens Coalition for Change (CCC), kimetangaza kuchuka hatua hiyo kwa maelezo kuwa Matokeo ya Uchaguzi Mkuu yaliyompa Ushindi Rais Emmerson Mnangagwa ni...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Mzuka Wanajamvi! Jitu kakamavu, limepanda hewani ana sura ngumu. Isitoshe ni jitu la mazoezi linahudhuria Gym kila siku na kabla ya kunyanyua vyuma linapiga push ep 100 iyo ni kupasha. Kwenye...
2 Reactions
8 Replies
885 Views
Kongamano la tatu la Amani na Usalama la China na Afrika limefanyika hivi karibuni mjini Beijing, China. Hii ni hatua muhimu kwa China na nchi za Afrika kuhimiza kwa pamoja "Pendekezo la Usalama...
1 Reactions
8 Replies
917 Views
Imeelezwa kuwa Wizi wa kura ambapo Tume ya Uchaguzi Nchini humo ilimtangaza Rais Ali Bongo kuwa mshindi ktk kinyanganyiro uchaguzi Wiki iliyopita. Uchaguzi Nchini Gaboni uligubwikwa na fujo ma...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…