Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 13,722
- 29,086
Mzuka Wanajamvi!
Rais aliyepinduliwa wa Gabon Ali Bongo katoka kabila moja Fang na rais wa Cameroon Paul Biya na rais wa Equatorial Guinea Teodoro Obiang Nguema.
Ni mipaka tu iliyowekwa na wakoloni kuzitengenisha hizi nchi huku Ufaransa ikichukua Gabon na Cameroon na Uispania kujinyakulia Equatorial Guinea.
Acheni tu Karma iendelee kuitafuna familia ya Ali Bongo baba yake Omar.
Muamar Gadafi alitaka kuanzisha Central Bank of Africa Yaunde Cameroon ili amkomboe mtu mweusi kiuchumi kwa kuwapa msaada wa kifedha bure bila riba. Na mwamba Gadafi alikuwa tayari kuweka dollar billion 200 kwenye iyo benki.
Cha kushangaza marehem Omar Bongo, Paul Biya na aliyekuwa rais wa Senegal Abdoulaye Wade wakawa wanavujisha siri kwa Nicolas Sarkozy aliyekuwa rais wa ufaransa kwa kila mchakato na kikao.
Senior JF Geopolitics analyst and correspondent