International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wiki kadhaa zilizopita Iran na marekani walifikia makubaliano ya kubadilishana wafungwa. Makubaliano hayo yalihusisha kuachiliwa zaidi ya Dolla billion 6 (zaidi ya trillion 12 za kitanzania) ...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Hii ngoma bado mbichi na ndo kwanza inaanza. Viongozi wa US hawakauki Qatar kumbe hii ndo sababu. Nadhani ni katika sababu za IDF kuswitch Offensive Mode kwani jana Biden alikuwa anaongea na...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Baada ya presha kubwa toka jumuiya ya kimataifa na kuonekana kutoungwa mkono kwa uhalifu dhidi ya binadamu uliokuwa unaendelea hapo Gaza hatimaye US wameishinikiza Israel kuanza kirejesha maji...
1 Reactions
64 Replies
7K Views
■Vita na miji mingi kuitafuta nchi ya ahadi ■Njaa kali na kukimbilia Misri ■Kufanywa utumwa misri ■Ardhi kuchukuliwa na Philistine ■Kuitafuta Israel miaka 40 ■Vita za miaka mingi dhidi ya...
5 Reactions
17 Replies
892 Views
Kuhamisha watu milioni moja sio kazi rahisi kihivyo, ukizingatia wote hawa wanateseka bure na hawakuyataka haya, majengo yao yote yanasambaratishwa na kuwa mashamba na magofu, na wanaenda kuteseka...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Urusi na China,nchi superpowers ambazo zinatajwa kuwa kimbilio kwa nchi zinazoteseka chini ya imperialism ya Western countries practically wapo pamoja na Israel. wote wanakubali existence ya...
1 Reactions
1 Replies
653 Views
Hawa hawa Iran ndio wamekua wakibwatuka maneno mengi na mikwara, leo wanabadilisha gia eti israel ikiacha mipango ya kuvamia basi mateka wataachiwa huru, kitu ambacho HAMAS wamekana na kupishana...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Hili taifa la Iran ni moto wa kuotea mbali. Kauli moja tu ya kutishia kwamba wataingia Gaza imewafanya kina Netanyahu waanze kujitafakari kutia pua zao Gaza wakaanza kuleta visingizio kuwa ni hali...
27 Reactions
96 Replies
8K Views
The spokesperson for Hamas’ military arm, Al Qassam Brigades, stated that there are around 250 prisoners in Gaza, including both Israeli and foreign individuals, with 200 of them exclusively under...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Baada ya Bwana Blinken kushindwa kuelewana na mataifa ya kiarabu hivyo kuwa ngumu kuunganisha ajenda ya US katika eneo hilo. Pia Israel imewagomea West kuhusu kuruhusu misaada ya kibinadamu...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Baada ya majibizano makali kati ya balozi wa Israel nchini Colombia na serikali ya Colombia hatimaye Colombia imeamfukuza balozi huyo. Rais wa Colombia alienda bali zaidi na kukumbusha kuwa HAMAS...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Iran imeshambulia kwa makombora makali meli bandia ya kivita ya Marekani katika mlango bahari wa kimkakati wa Hormuz. Zoezi hilo lilishirikisha mashambulio makali hatua iliofanya kambi mbili za...
3 Reactions
26 Replies
6K Views
Aug 10, 2023 07:44 UTC Wataalamu wa kijeshi na wahandisi katika Wizara ya Ulinzi ya Iran wameripotiwa kubuni teknolojia ya kutengeneza ndani ya nchi kombora la kisasa la cruise kenye uwezo wa...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Watu 12 wamekamatwa katika Maandamano hayo akiwemo Katibu Mkuu wa Umoja wa Waandishi wa Vyombo vya Habari vya Guinea (SPPG), Sekou Jamal Pendessa, kwa pamoja wameitisha Maandamano wakiitaka...
0 Reactions
0 Replies
603 Views
Kuna taarifa kuwa wanamgambo kutoka Iraq na Iran wamekuwa wakimiminika kwenye mipaka ya Israel hasa upande wa Lebanon.Pamoja nao ni malori yenye shehena za silaha. 'Very clear' Iran is moving...
5 Reactions
65 Replies
6K Views
Waziri wa Fedha Olawale Edun, ambaye pia ni Mratibu wa Uchumi, amesema Baraza limetoa baraka hiyo kwa lengo la kufanya marekebisho ya Sera ili kukuza Uchumi ambao umeatajwa kuwa kwenye mdororo kwa...
1 Reactions
2 Replies
610 Views
Mkutano wa tatu wa kilele wa ushirikiano wa kimataifa wa Ukanda Mmoja, Njia Moja utafanyika Beijing. Ikiwa moja ya nchi 52 za Afrika ambazo zimesaini kumbukumbu ya maelewano ya ushirikiano katika...
0 Reactions
0 Replies
760 Views
Kipindi chote ambapo Marekani imekuwa taifa kubwa ushawishi wa wayahudi nchini humo umekuwa mkubwa. Ushawishi wa Marekani nao kutoka na nguvu za kiuchumi umeweza kudhibiti hata mawazo na tamaduni...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Namuomba Mwenyezi Mungu muumba mbingu na ardhi, mwenye hikima hakika wewe unaijua shida wanazopata ndugu zetu wapalestina. Basi wape nusra na faraja ndugu zetu waislamu walioko palestina Ee...
2 Reactions
68 Replies
3K Views
Kuna hili andiko la kiislamu linaloonekana kuamrisha Wayahudi wachinjwe hadi ambao watakuwa wamejificha nyuma ya mawe, je inawezekana kuwa sababu za hizi chuki? sahih muslim 2921 Abdullah b...
12 Reactions
137 Replies
6K Views
Back
Top Bottom