Nawaombea Wapalestina

Mohamedex121

JF-Expert Member
Jan 27, 2022
1,688
3,142
Namuomba Mwenyezi Mungu muumba mbingu na ardhi, mwenye hikima hakika wewe unaijua shida wanazopata ndugu zetu wapalestina. Basi wape nusra na faraja ndugu zetu waislamu walioko palestina

Ee Mwenyezi Mungu uwape shifaa majeruhi na waathirika wote ndugu zetu wapalestina na uwatie nguvu wale wote waliopoteza wapendwa wao, uwape subra na imani katika kipindi hiki kigumu kwao.

Namuomba Mwenyezi Mungu awajalie pepo wale wote waliotangulia mbele za haki kutokana uwasi wanao ufanya madhalimu mayahudi. Uwape kauli dhabiti huko kaburini na uwasamehe madhambi yao hakika hao ni waja wako waliouwawa akiwa wakiitetea ardhi yao dhidi ya madhalimu mayahudi.

Namuomba Mwenyezi Mungu awatie nguvu wapambanaji wote wa hamas. Allah wajaalie subra na imani ya ushindi kuwashinda madhalimu mayahudi. Hakika wewe ni mwenye nguvu na mwenye hekima. Allah najua unatambua vyema ndugu zetu wapalestina wanapambana kuikomboa ardhi yao dhidi ya wavamizi mayahudi wanaopora ardhi ya wenye haki. Bila ya shaka dhulma haiweza kuishinda haki

Namuomba Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi wa rizki kila mwenye njaa aliyeopo palestina mjaalie wepesi wa kupata chakula na malazi salama. Allah uwangalie waja wako wanavyoteseka kipindi hiki bila ya chakula. Basi uwafanyie wepesi katika hilo.

Allahumma Amiin Amiin
 
Ombea na Wa Israel waliotekwa watoke salama.
Dhulma haifuati Haki. Siwezi kuwaombea waliodhulmu ardhi ya mwenye haki kisha kuanza kupora na kuwauwa kikatili.

Sisimami na watu madhalimu. Nasimama na wenye haki

Wala msichanganye haki na dhulma. Na mkaficha haki nanyi mnajua - Qur an 2:45
 
Hawa watoto na wanawake ndo unawaita madhalimu? It's clearly huna akili , I'm not picking side here all I'm saying ungekua na akili ungewaombea wote Amani ila kwasababu wewe ni bogaz you can not understand that,it's women and children who suffer the atrocities of human ignorance, kaa chin ujifikilie Tena🤨
images (13).jpeg
images (17).jpeg
images (15).jpeg
images (16).jpeg
images (14).jpeg
 
Kuwaombea tu haitoshi hawa unabidi uwashauri na uwape shule pia kwamba wakati mwengine uchokozi huwa siyo mzuri,hao Hamas wangekuwa wanajua watoto zao na ndugu zao wa kuwazaa wangepata dhahma kama hii wasingefanya waliyofanya ila kwa sababu wanajua namna ya kuwaficha ndugu zao ndiyo maana wanawatumia wananchi wa kawaida kama chambo.

Hao wote wanaokufa leo ni wale walikuwa wanashangilia kupitia vioo vya simu zao kama sisi huku waliochokoza wapo kwenye mahandaki saa hizi wakiwachora tu maana walikuwa wanajua wanachokifanya.
 
Namuomba Mwenyezi Mungu muumba mbingu na ardhi, mwenye hikima hakika wewe unaijua shida wanazopata ndugu zetu wapalestina. Basi wape nusra na faraja ndugu zetu waislamu walioko palestina

Ee Mwenyezi Mungu uwape shifaa majeruhi na waathirika wote ndugu zetu wapalestina na uwatie nguvu wale wote waliopoteza wapendwa wao, uwape subra na imani katika kipindi hiki kigumu kwao.

Namuomba Mwenyezi Mungu awajalie pepo wale wote waliotangulia mbele za haki kutokana uwasi wanao ufanya madhalimu mayahudi. Uwape kauli dhabiti huko kaburini na uwasamehe madhambi yao hakika hao ni waja wako waliouwawa akiwa wakiitetea ardhi yao dhidi ya madhalimu mayahudi.

Namuomba Mwenyezi Mungu awatie nguvu wapambanaji wote wa hamas. Allah wajaalie subra na imani ya ushindi kuwashinda madhalimu mayahudi. Hakika wewe ni mwenye nguvu na mwenye hekima. Allah najua unatambua vyema ndugu zetu wapalestina wanapambana kuikomboa ardhi yao dhidi ya wavamizi mayahudi wanaopora ardhi ya wenye haki. Bila ya shaka dhulma haiweza kuishinda haki

Namuomba Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi wa rizki kila mwenye njaa aliyeopo palestina mjaalie wepesi wa kupata chakula na malazi salama. Allah uwangalie waja wako wanavyoteseka kipindi hiki bila ya chakula. Basi uwafanyie wepesi katika hilo.

Allahumma Amiin Amiin
Kwanini unawaombea wa Palestin?

Na unawaombea ili iwaje kwa mfano!?

Mungu wako huyo inakuwaje aruhusu watu kupigana?
 
Kama unawaombea Kwa mungu allah Hana Uwezo wala Masada wowote! Sababu allah aliwahi Kumuomba Mwenyezi Mungu Awaangamize Wayahudi na Wakristo!; Mwenyezi Mungu akampuuza hadi Leo Wayahudi na Wakristo Wapo WANADUNDA hawaja Angamia!

وَقَالَتِ الْيَهُودُ عُزَيْرٌ ابْنُ اللَّهِ وَقَالَتِ النَّصَارَى الْمَسِيحُ ابْنُ اللَّهِ ۖ ذَٰلِكَ قَوْلُهُم بِأَفْوَاهِهِمْ ۖ يُضَاهِئُونَ قَوْلَ الَّذِينَ كَفَرُوا مِن قَبْلُ ۚ قَاتَلَهُمُ اللَّهُ ۚ أَنَّىٰ يُؤْفَكُونَ

[ AT-TAWBA - 30 ]
Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!tt
 
Wapalestina walipaswa kukubali ule mpango wa un na kuishi na wayahudi kwa umoja na upendo,ila kwakuwa ni wabinafsi na washenzi wakajiona wao ndio wanastahili kuishi hapo pekeyao,sasa wanaishi kama paka shume.
 
alla alijikatia tamaa.
 
Kumbe hata huijui Qur an. Ngoja nikupe darasa.
Qur an imeshushwa na malaika mtukufu jibri kwa mtume Muhammad (S.a.w) ndani yake humo yapo maneno ya Mwenyezi Mungu mwenyewe na pia humo kuna maneno ya malaika pamoja na maneno ya malaika jibri

Mfano: Qur an 2:3
Amekuteremshia kitabu kwa haki. Hakuna mungu ila yeye aliye hai. Msimamizi wa mambo yote milele
 
Wapalestina walipaswa kukubali ule mpango wa un na kuishi na wayahudi kwa umoja na upendo,ila kwakuwa ni wabinafsi na washenzi wakajiona wao ndio wanastahili kuishi hapo pekeyao,sasa wanaishi kama paka shume.
Hivi ukinyan'ganywa ardhi kimabavu halafu atokee mtu akuwambie uishii kwa amani na mtu huyo aliyekunyan'ganya ardhi kimabavu na kuua ndugu zako. Je utakubali??
 
Alie watuma ni allah sabana watala alehi walei wasallam kwamba wakachokoze Israel
Kwanini allah asiwaokoe mpaka sisi tuwaombee kwani hawaoni
Na kwani Israel avamie ardhi isiyo yake then aikalie kimabavu na kisha kuuwa ndugu zetu wapalestina. Je ni sahihi uvamizi na dhulma zinafanya na hao wayahudi feki???
 
Kumbe hata huijui Qur an. Ngoja nikupe darasa.
Qur an imeshushwa na malaika mtukufu jibri kwa mtume Muhammad (S.a.w) ndani yake humo yapo maneno ya Mwenyezi Mungu mwenyewe na pia humo kuna maneno ya malaika pamoja na maneno ya malaika jibri

Mfano: Qur an 2:3
Amekuteremshia kitabu kwa haki. Hakuna mungu ila yeye aliye hai. Msimamizi wa mambo yote milele
Mimi Nakupa ushahidi Aliye mvuvia Quran muhammad ni!;

قُلْ مَن كَانَ عَدُوًّا لِّجِبْرِيلَ فَإِنَّهُ نَزَّلَهُ عَلَىٰ قَلْبِكَ بِإِذْنِ اللَّهِ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَهُدًى وَبُشْرَىٰ لِلْمُؤْمِنِينَ

[ AL - BAQARA - 97 ]
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

Na muhammad amekubali!;

عمدة الأحكام: ج3، ص460

وعن أنس بن مالك قال: سمعت رسول الله صلى الله عليه وسلم يقول: "إن الله كان شيطانا في صورة ملك، أنزل علي الآيات وكتابه القرآن وأنا رسوله". .
Umdah al-Ahkam: Juz.3,uk.460
eumdat al'ahkami: ja3, sa460
waean 'anas bn malik qali: samiet rasul allah salaa allah ealayh wasalam yaquli: "'ina allah kan shaytanan fi surat malakin, 'unzil ealia alayat wakitabuh alquran
wa'ana rasuluhu".

Imepokewa kutoka kwa Anas Ibn Malik:
"Nimesikia kutoka kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) akisema: "Allah alikuwa shetani katika umbo la Malaika aliyeniteremshia Aya na kitabu chake Quran na mimi ni Mtume wake.
 
Na kwani Israel avamie ardhi isiyo yake then aikalie kimabavu na kisha kuuwa ndugu zetu wapalestina. Je ni sahihi uvamizi na dhulma zinafanya na hao wayahudi feki???
Wahenga walisema!; chako kula, halahala Jirani!
Iwapo wapalestina wangetaka Amani na Israel kungekuwa na Amani ya Kumwaga Palestine. Iwapo Israel Ingetaka vita na palestina kusingekuwa na Palestina duniani!

Mngoni Huko Alikotoka Akafikia Songea na Kufanya maskani YAKE!
Wapo Wangoni Wapii ZALIWA zama hizi! huwaelezi lolote wanajua Songea ni kwao!
Leo uje uwaambie Songea Sio kwenu!; Mrudi kwenu!
Hawatakubali na Watakushangaa!
 
Kumbe hata huijui Qur an. Ngoja nikupe darasa.
Qur an imeshushwa na malaika mtukufu jibri kwa mtume Muhammad (S.a.w) ndani yake humo yapo maneno ya Mwenyezi Mungu mwenyewe na pia humo kuna maneno ya malaika pamoja na maneno ya malaika jibri

Mfano: Qur an 2:3
Amekuteremshia kitabu kwa haki. Hakuna mungu ila yeye aliye hai. Msimamizi wa mambo yote milele
Kwa hiyo mkuu Quran ni maneno ya Malaika Jibril na Allah au ni ya Allah pekee

Naomba unielekeze hivi Na Wahyi zilitoka moja kwa moja kutoka kwa Allah au wakati mwingine zilipitia kwa Jibril kwenda kwa Mtume Muhammad

Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom