Guinea: Polisi yakamata walioandamana kupinga Ukandamizaji wa Vyombo vya Habari

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,121
1697535241529.png

Watu 12 wamekamatwa katika Maandamano hayo akiwemo Katibu Mkuu wa Umoja wa Waandishi wa Vyombo vya Habari vya Guinea (SPPG), Sekou Jamal Pendessa, kwa pamoja wameitisha Maandamano wakiitaka Serikali kuondoa vikwazo ilivyoweka dhidi ya Tovuti ya Guineematin.

Katika Maandamano hayo yaliyoitishwa katika mji mkuu wa Conakry, Waandishi wanataka Serikali kufuta Sheria zinazokiuka na Kuminya Uhuru wa Vyombo vya Habari. Ikumbukwe, Utawala wa Guinea, ulipiga marufuku maandamano ya aina yoyote tangu mwaka 2022.

Imeripotiwa kuwa, Mwandhishi wa Habari mmoja alijeruhiwa wakati wa maandamano huku Wengine hao wakifikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kushiriki katika mkusanyiko usio halali.

==============

Guinean security forces have arrested a dozen journalists who were demonstrating against alleged media censorship in the country, local media report.

Among those arrested in Monday's protests was the secretary-general of the Union of Professionals of the Press of Guinea (SPPG), Sekou Jamal Pendessa, local media said.

The union had called a march in the capital Conakry to demand that the authorities lift restrictions placed on a popular news website, Guineematin and to protest against other violations of press freedom.

Guineematin has reportedly been blocked in Guinea for the last two months.

Guinea’s ruling junta, which has banned protests since 2022, has not provided any explanation for the blockage.

“The mixed police and gendarmerie forces gassed us," Abdouramane Diallo, an SPPG official, told AFP.

He said that one journalist was slightly injured during the protests.

The journalists were brought to a court after being accused of taking part in an illegal assembly.

BBC
 
Back
Top Bottom