https://youtube.com/shorts/QXKmNjDbk9U?si=eo_ckgeSH-mDtbep
Ujumbe ndio huo Iran anasema Israel kashambulia Iran lazima tufunge tena Hormuz hapa naona Iran anamtafuta Israel amtie adabu
Hio ni...
🌲 - 🇱🇧🇱🇧 Chuo Kikuu cha Lebanon kilitangaza kifo cha Dkt. Ali Zeaiter, mkurugenzi wa Taasisi ya Sayansi ya Jamii - Tawi la 1.
Zeaiter alikuwa mwanajeshi wa Hezbollah ambaye aluliwa asubuhi ya leo...
Jinsi ambavyo huwa naona hapa bongo watu wanavyogombania kazi za jeshini hadi wengine wanahonga, wanaenda kwa vimemo na wengine kutapeliwa huwa nashangaa sana jinsi jeshi la Marekani linvyoshindwa...
Kati ya mataifa 9 duniani yanayomiliki nyuklia, Marekani ndiyo taifa pekee lililowahi kutumia silaha za nyuklia katika vita kuishambulia nyingine.
Mwishoni mwa Vita vya Pili vya Dunia Agosti...
A parliamentary inquiry has implicated corrupt politicians, local government officials, and some state agency representatives in a widening network of illegal land allocations on wetlands, leading...
Wanaukumbi.
🇺🇸🇮🇷 Iran yakataa usitishaji vita wa muda uliopendekezwa na wapatanishi wa Pakistan
Afisa wa ngazi ya juu wa Iran alisema Tehran haitafungua tena Mlango-Bahari wa Hormuz kwa...
Urusi imezuia matumizi ya huduma ya ujumbe ya WhatsApp ikidai kampuni hiyo imekiuka sheria za nchi, huku wananchi wakihimizwa kuhamia kwenye jukwaa mbadala linaloungwa mkono na serikali, hatua...
Wakristo wengi wamekuwa wakishangilia maumivu, vita na vifo vinavyosababishwa na majeshi ya Israeli, kwa kisingizio cha kuiunga mkono au kulibariki taifa la Israeli. Je, msimamo huo unaendana na...
Kamal Kharrazi, ambaye aliwahi kuwa mwenyekiti wa Baraza la Mikakati la Iran kuhusu Mahusiano ya Kigeni (na hapo awali akiwa waziri wa mambo ya nje wa Iran), amefariki kutokana na majeraha...
Mapema wiki hii (Jumapili), IDF na ISA walimpiga na kumuua Abd al-Rahman Ammar Hassan Khudari, gaidi katika kundi la kigaidi la Islamic Jihad, ambaye alipanga shambulio la kigaidi dhidi ya...
Jarida la The Economist toleo la Mei 13, 2000, lilichapisha makala inayochora picha mbaya ya bara la Afrika, kuwa ni bara lisilo na matumaini, likiorodhesha mambo mbalimbali kama vile kukosekana...
Pakistani ni mshenzi sana kawapo Iran fake document kuwa America kakubali masharti yake na pia America kawapa fake document kuwa Iran kakubali masharti yake kwa hio kila mmoja akawa na proclaimed...
Msemaji wa IDF:
Maher Qassem Hamdan, Kamanda wa shirika la kigaidi la Lebanon Resistance Brigedi katika eneo la Chebaa kusini mwa Lebanon, ameangamizwa katika shambulio la IDF.
Hamdan alihusika...
Shkurani sana Iran kwa kuitikia shurti ya Trump, kwa kweli hata sisi pro-Israel jameni mioyo ingetuuma kuona wananchi wa Iran wanafanyiwa kile ambacho Trump alikua ametishia kufanya...
Russia imethibitisha kuwa wanajeshi 16 wa Cameroon waliuawa katika vita vyake na Ukraine.
Hakuna taarifa zozote zilizotolewa kubainisha jinsi wanajeshi hao walivyoishia kupigania Russia au...
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema makubaliano ya usitishaji vita wa muda na Iran hayaihusu Lebanon na kwamba nchi yake itaendelea kuwashambulia wanamgambo wa Hezbollah hadi...
Mvutano wa madaraka umeanza kuipasua Iran, viongozi wakigawanyika wazi kati ya wanaounga mkono makubaliano ya kusitisha mashambulizi na wale wanaosisitiza kuendeleza vita. Hali hii inaashiria...
Kupitia Mtandao wake wa Truth Social Rais wa Marekani Donald Trump amechapisha kuwa usiku wa leo inawezekana akaangamiza mji mzima wa Iran endapo hawatofanya maamuzi ya mapema ya Makubaliano ikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.