Naibu generali ndugu Mohammad Reza wa jeshi la walinzi wa mapinduzi ya Irani(IRGC) amesema kuwa licha ya kuwa Iran ina makombora yaliyo thabiti na inauwezo wa kuivamia USA kwa njia ya ardhini na...
Mtoto wa kiume kiongozi wa kundi la Hamas anayeitwa Mosab Hassan Youssef, amekuja wazi na kuonesha kutopendezwa na mienendo ya Kundi la Hamas, kitu ambacho kilipelekea kubadili dini na kuwa...
Akizungumza hivi karibuni, Trump alisema kuwa kama Marekani ndiyo “imeshinda vita”, basi ina haki ya kufikiria mfumo wa kutoza ada kwa meli zinazopita katika njia hiyo muhimu ya baharini badala ya...
Israel sio mtu wa Mazungumzo na magaidi. Kama Iran iliua muisrael yoyote hiyo imekula kwao. Mazungumzo ya Marekani na Iran si chochote kwa Israel.
Waziri mkuu kashawapa funguo Wanajeshi wake waue...
Trump alijaribu kutuma Kikosi cha Wanamaji cha Marekani kupitia Mlango-Bahari wa Hormuz wakati wa mazungumzo nchini Pakistani.
Iran ilisema haikujali mazungumzo na ingeilipua meli. Kisha Trump...
Taarifa zinazosambaa kwamba Marekani imekubali kuilipa Iran dola bilioni 6 ni propaganda za zinazorejelea tukio la zamani lililotokea Septemba 2023 kipindi Biden akiwa Rais wa Marekani.
Dola...
Kuna kila sababu ya marekani kupotea kwenye ramani ya super power na ushawishi wake kwenye maswala ya kidiplomasia duniani ikiwa haitoweza kuipigisha Iran magoti.
Katika hii vita tumeona na...
Wanaukumbi.
🚨 MABADILIKO MAKUBWA KATIKA NGUVU YA DUNIA: BRICS sasa inaivutia Jumuiya ya Kiarabu
Balozi wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu nchini Urusi, Walid Hamid Shiltag, anasema BRICS inaonekana...
Magaidi wa Hezboullah huko Lebanon toka jana na leo wamegaragazwa vibaya sana, wengi wa makamanda wao wameuwawa pamoja na wapiganaji wao.
Picha hizi ni baadhi tu ya makamanda wao waliouliwa...
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alisema Israeli inaendelea kuishambulia Hezbollah "kwa nguvu, usahihi, na azma," akitangaza kumwondoa Ali Youssef Kharshi, katibu binafsi wa shirika la kigaidi la...
Kuna msemo wa kiingereza husema hivi "mpe mbwa wako jina baya, kisha umuue". Mnamo tarehe 8 mwezi huu Raisi wa Marekani Donald Trump ametangaza kwamba jeshi la mapinduzi la Iran, ambalo ni sehemu...
Tofauti na waziri wake wa ulinzi,Hegeseth,Trump yeye hajivungi tena kuhusu kushindwa vita alivyovianzisha na Iran.
Wakati wa mahojiano hapo jana na mashirika ya habari.Trump amerudia kwa mara...
Wanaukumbi.
🇮🇱🇮🇷🇱🇧🇺🇸 Usitishaji mapigano uko karibu kuvunjika, Iran inajiandaa kuitenga Israeli kutoka kwa mchakato wa mazungumzo kutokana na shambulio kubwa dhidi ya Lebanon
Iran yafunga...
Roketi ya NASA ya kwenda Mwezini sasa iko rasmi kwenye eneo la kurushia roketi.
Roketi hii kubwa ya NASA yenye urefu wa futi 322 iitwayo Space Launch System (SLS) imekamilisha safari yake ya...
Nimezungumza humu JF kuhusu Serikali kupiga Marufuku Dini. Basis kubwa ya dai hilo ni Unabii wa Biblia tafadhali soma Ufunuo Sura 17. Sura hiyo kwa lugha ya mfano inamtambulisha mwanamke kahaba na...
Wengi waliambiwa lakini hawakusikia. Rais wenu aliyekuwa ''mfano wa kuigwa wa Afrika'', tayari keshalewa madaraka.
Nukuu: ''Demokrasia inaua na watu wa Burkina Faso lazima wasahau kuhusu hilo”...
Nimeshangaa mno na uwezo wa baadhi ya watu wanaoshabikia kuwa America amekubali masharti ya Iran, yaani ata vikao vya mazungumzo bado ila wabongo washa conclude. In my opinion Iran ni tough...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.