Kamanda Maher Qassem Hamdan AANGAMIZWA huko Lebanon!!

Kamanda Maher Qassem Hamdan AANGAMIZWA huko Lebanon!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,000
Reaction score
7,618
Msemaji wa IDF:

Maher Qassem Hamdan, Kamanda wa shirika la kigaidi la Lebanon Resistance Brigedi katika eneo la Chebaa kusini mwa Lebanon, ameangamizwa katika shambulio la IDF.

Hamdan alihusika na kuajiri magaidi, usambazaji wa silaha, na ufadhili wa Brigedi za Lebanon Resistance huko Chebaa.

Magaidi wengine wanane waliokuwa wakikimbia eneo la Chebaa hadi eneo la Sidon pia waliangamizwa .

IMG_5276.jpeg
 
Daaaah mpk raha kawahishwa kuzimu kujipigia bikra 72.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom