Serikali ya Iran imewanyonga raia wake 1,639 kwa mwaka 2025 pekee

Serikali ya Iran imewanyonga raia wake 1,639 kwa mwaka 2025 pekee

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
8,878
Reaction score
7,528
Iran.png

Mamlaka ya Iran yaliwanyonga watu wasiopungua 1,639 mwaka wa 2025, idadi kubwa zaidi tangu 1989, kulingana na ripoti ya pamoja ya mashirika mawili yasiyo ya kiserikali ya haki za binadamu.

Ripoti hiyo inasema kuwa mauaji yaliongezeka kwa asilimia 68 kutoka 2024 na kuwajumuisha wanawake 48. Watafiti wanaonya kuwa adhabu ya kifo inaweza kuongezeka zaidi kufuatia maandamano ya hivi karibuni na mvutano unaoendelea, wakiongeza kuwa takwimu hiyo inawakilisha "kiwango cha chini kabisa" huku mamia ya wafungwa wakiwa bado hatarini.

Soma ripoti hapa 2025 Annual Report on the Death Penalty

====

The Iranian regime executed more than 1,600 people last year — marking a three decade high not seen since the end of the Islamic Republic’s war against Iraq in 1989.

The shocking figures were included in a joint report released by the nonprofit Iran Human Rights and Together Against the Death Penalty, which estimated that in 2025 at least four people were put to death each day in Iran.

In total, at least 1,639 were executed in Iran last year, the highest reported number since the post-war bloodbath in 1989, where an estimated 1,700 political prisoners were executed, according to the report.
It’s not clear how many of the executions were done publicly.

Most of last year’s prisoners were hanged for drug-related offenses or murder at ostensibly higher rates compared to 2024. Drug-related convictions resulting in death saw a 58% increase, while murder convictions — which almost always leads to execution — jumped a staggering 79%, according to the report.
At least 57 others, including two protesters, were given the death penalty for intangible charges like “waging war against God” and “corruption on Earth,” according to the report.

At least 48 women were also killed, setting another 20-year record, according to the report.

A bulk of the death sentences were handed down by the Revolutionary Courts “after grossly unfair trials and without due process,” the report said.

The nonprofits noted that those in marginalized groups, including ethnic and religious minorities, were “disproportionately represented among those executed.”

The report does not account for the slew of executions that have been ordered since January’s nationwide revolt and the start of the war with Israel and the US.

State media has already confirmed at least 14 executions by the brutal regime this year, though the Norwegian-based Hengaw Organization for Human Rights reported evidence of as many as 160 hangings since January.

Seven of the known hangings linked to protest activity took place after Operation Epic Fury launched in late February. Six other victims were convicted of membership with the exiled opposition group Mujahideen-e Khalq (MEK), and one was accused of spying for Israel, the report said.

Separately, upwards of 7,000 protestors were slaughtered in the streets during the height of the winter revolution, according to the US-based Human Rights Activists News Agency, though thousands more are still under investigation

Just last week, Iran’s hardline chief justice demanded all death penalty cases of “agents and affiliates of the enemy” — which includes protesters — be expedited.

Source: Executions in Iran doubled in 2025 — marking a 36-year high: report
 
Hiyo ndiyo inayodai kwamba ni serikali ya kidini ni usanii tu wa watu hamna dini hapo.
 
Hiyo ndiyo inayodai kwamba ni serikali ya kidini ni usanii tu wa watu hamna dini hapo.
Hata wewe ukileta unyambisi wa kutetea mashoga kwa mgongo wa haki za binadamu unaliwa kichwa.
 
Hiyo ndiyo inayodai kwamba ni serikali ya kidini ni usanii tu wa watu hamna dini hapo.

Kwa kweli hii ni serikali ya kishetani. Haina utu wala huruma kwa wananchi wake, ndiyo maana wala haiumizwi na watu wake kuuawa kila siku. Huyo Ayatollah ni wakala wa shetani.
Mbona hatusikii mambo hayo yakitokea Saudi Arabia, Dubai au Oman? Au hao siyo waislam? Huu uislam wa Ayatollah wa kuua watu hovyo ni uislam wa wapi?
 
Hata wewe ukileta unyambisi wa kutetea mashoga kwa mgongo wa haki za binadamu unaliwa kichwa.
Hakuna dini hapo hiyo siyo dini hata wewe huwezi kwenda kuishi kwenye nchi kama hiyo na mnachofanya ni unafiki tu kwa sababu ni hulka yenu.
 
Hawa siyo wakunyongwa walitakiwa kuchomwa Moto kabisa manina zao.
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
President Donald Trump has said the United States tried to covertly arm Iranian protesters through Kurdish intermediaries weeks before the current war was launched, even as Washington was engaged in talks with Tehran.

“We sent guns to the protesters, a lot of them,” Fox News quoted Trump as saying late on Sunday
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Watu kama hawa ulitaka Iran wafanye nini watu wanataka kupindua utawala wachekewe.? Wewe punguani sana watu hawakukosea kukupa jina Mzee wa Uharo.
 
Kama wana makosa si wangefungwa tu. Ila sishangai sana maana waarabu....
Oct 29.... Au basi
 
Hawa siyo wakunyongwa walitakiwa kuchomwa Moto kabisa manina zao.

President Donald Trump has said the United States tried to covertly arm Iranian protesters through Kurdish intermediaries weeks before the current war was launched, even as Washington was engaged in talks with Tehran.

“We sent guns to the protesters, a lot of them,” Fox News quoted Trump as saying late on Sunday

Watu kama hawa ulitaka Iran wafanye nini watu wanataka kupindua utawala wachekewe.? Wewe punguani sana watu hawakukosea kukupa jina Mzee wa Uharo.
Watu hawajui maandamano yaliandaliwa na CIA/Mossad na kuna maeneo walipora silaha na kuua askari wa Basij na IRGC.

Yale yalikua mapinduzi kabisa
 
Islam ni dini safi, ila kuna baadhi ya mafundisho yanapotoshwa kimihemko na ubaya ni kua wameruhusu hilo.

Islam haina uongozi thabiti kila mmoja anajiamulia kulingana na vile yeye alivyoelewa.
 
Back
Top Bottom