Viongozi wa Iran wanaiogopa MOSSAD

Viongozi wa Iran wanaiogopa MOSSAD

hamis77

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
18,670
Reaction score
27,548
"Baada ya kuvunjika kwa mazungumzo ya amani kule Islamabad tuliogopa, tutarudije Tehran? Maana Israel sio watu wazuri,wataangusha ndege yetu" alisema Marandi.

Mohammad Marandi mchambuzi wasiasa na profesa wa chuo kikuu cha Tehran aliyekuwa ameambatana na ujumbe wa Iran nchini Pakstan anasimulia.

"Tuliwaza sana ndipo tukawaambia Pakstani hofu yetu na kuwaomba watusindikize kwa msafara wa ndege za kijeshi mpaka Tehran,walikubali,tulisindikizwa na jet 20 pamoja na ndege ya mfumo wa onyo la mapema, katikati ya safari tulibadili maamuzi".

Abbas Araghch waziri wa mambo ya nje na Mohamad Bagher spika wa bunge walipanda ndege tofauti kisha badala ya kuelekea Tehran tuliomba tupelekwe jiji la Mashhad ambapo tulipanda basi kisha train kwenda Tehran." mohammad Marandi aliliambia gazeti la Al Mayaeed la Lebanon.
😆😆😆😆😄😄😄

Na Hawa viongozi ni wale moderate ambao MOSSAD hawana muda nao, na waliwaacha makusudi maana ndio wahusika wa mazungumzo

Naweza kusema ile Regime Change imekamilika

Wale viongozi wote wenye mdomo na waliokuwa wanasema ISRAEL lazima ifutwe ,wamekuwa assassinated karibu wote

Huwa inachekesha sana utasikia Iran ataifuta Israel ,

Wakati viongozi wa Iran hasa wa IRGC wanafichama hawatoi hata kichwa

Muda huo huo tunaona NETANYAHU KIBOKO yao akiwa anatembea mitaani ,tumeona juzi akiwa kule Lebanoni .
 
Mungu wetu ni mwema sana! Ni faraja kubwa kuona kwamba vita imekwisha. Tumeona umwagaji mkubwa wa damu, jambo ambalo linaumiza sana roho. Lakini tunajua wazi kuwa Bwana Mungu wetu hapendi kamwe damu kumwagika kwenye ardhi yake tukufu. Kwani ardhi hii ni hekalu lake, mahali patakatifu pa kutukuza uhai na amani!
 
"Baada ya kuvunjika kwa mazungumzo ya amani kule Islamabad tuliogopa, tutarudije Tehran? Maana Israel sio watu wazuri,wataangusha ndege yetu" alisema Marandi.

Mohammad Marandi mchambuzi wasiasa na profesa wa chuo kikuu cha Tehran aliyekuwa ameambatana na ujumbe wa Iran nchini Pakstan anasimulia.

"Tuliwaza sana ndipo tukawaambia Pakstani hofu yetu na kuwaomba watusindikize kwa msafara wa ndege za kijeshi mpaka Tehran,walikubali,tulisindikizwa na jet 20 pamoja na ndege ya mfumo wa onyo la mapema, katikati ya safari tulibadili maamuzi".

Abbas Araghch waziri wa mambo ya nje na Mohamad Bagher spika wa bunge walipanda ndege tofauti kisha badala ya kuelekea Tehran tuliomba tupelekwe jiji la Mashhad ambapo tulipanda basi kisha train kwenda Tehran." mohammad Marandi aliliambia gazeti la Al Mayaeed la Lebanon.
😆😆😆😆😄😄😄

Na Hawa viongozi ni wale moderate ambao MOSSAD hawana muda nao, na waliwaacha makusudi maana ndio wahusika wa mazungumzo

Naweza kusema ile Regime Change imekamilika

Wale viongozi wote wenye mdomo na waliokuwa wanasema ISRAEL lazima ifutwe ,wamekuwa assassinated karibu wote

Huwa inachekesha sana utasikia Iran ataifuta Israel ,

Wakati viongozi wa Iran hasa wa IRGC wanafichama hawatoi hata kichwa

Muda huo huo tunaona NETANYAHU KIBOKO YA ALLAH NA MAGAIDI akiwa anatembea mitaani ,tumeona juzi akiwa kule Lebanoni .
Mkiristo wewe unashida sana. Jf unatumia jina bandia kuutukana uislam. Hata mtoto madrasa tu unamuogopa
 
Kwamba natanyahu ni kiboko ya ALLAH? astakafirulah,haya kila la kheri
 
Kwanini Msimsomee albadiri?

ALLAH ANASALI KAMA WEWE MWISLAM USHASHIDI HUU NA AMETAMKA SHAHADA KWA MUNGU MWINGINE

✔️Qur'an 33:56 Hakika Allah na Malaika wake wanamsalia Nabii. Enyi mlioamini! Msalieni na mteslimu kwa salamu tele.

✔️Qur'an 3:18 Allah anashuhudia ya kwamba hakuna mungu ila Yeye, na Malaika na wenye ilimu waliothibitika kwa uadilifu, hakuna mungu ila Yeye, Mwenye nguvu, Mwenye hekima.
 
Mkiristo wewe unashida sana. Jf unatumia jina bandia kuutukana uislam. Hata mtoto madrasa tu unamuogopa
Eti jina bandia,waulize wanaonijua

Hilo ni jina langu

Halafu onesha wapi nimetukana
 
MOSSAD wakikutaka mkuu ni jambo
wanakuwa wamekuanzima uhai. Muda wowote wakiutaka wana kupokonya.
Kuna mmoja walimuua hapo hapo Tehran ,Trump akakemea maana ni mmoja ya Hawa viongozi moderate kina Abbas aragachi
 
"Baada ya kuvunjika kwa mazungumzo ya amani kule Islamabad tuliogopa, tutarudije Tehran? Maana Israel sio watu wazuri,wataangusha ndege yetu" alisema Marandi.

Mohammad Marandi mchambuzi wasiasa na profesa wa chuo kikuu cha Tehran aliyekuwa ameambatana na ujumbe wa Iran nchini Pakstan anasimulia.

"Tuliwaza sana ndipo tukawaambia Pakstani hofu yetu na kuwaomba watusindikize kwa msafara wa ndege za kijeshi mpaka Tehran,walikubali,tulisindikizwa na jet 20 pamoja na ndege ya mfumo wa onyo la mapema, katikati ya safari tulibadili maamuzi".

Abbas Araghch waziri wa mambo ya nje na Mohamad Bagher spika wa bunge walipanda ndege tofauti kisha badala ya kuelekea Tehran tuliomba tupelekwe jiji la Mashhad ambapo tulipanda basi kisha train kwenda Tehran." mohammad Marandi aliliambia gazeti la Al Mayaeed la Lebanon.
😆😆😆😆😄😄😄

Na Hawa viongozi ni wale moderate ambao MOSSAD hawana muda nao, na waliwaacha makusudi maana ndio wahusika wa mazungumzo

Naweza kusema ile Regime Change imekamilika

Wale viongozi wote wenye mdomo na waliokuwa wanasema ISRAEL lazima ifutwe ,wamekuwa assassinated karibu wote

Huwa inachekesha sana utasikia Iran ataifuta Israel ,

Wakati viongozi wa Iran hasa wa IRGC wanafichama hawatoi hata kichwa

Muda huo huo tunaona NETANYAHU KIBOKO yao akiwa anatembea mitaani ,tumeona juzi akiwa kule Lebanoni .
Chai.
 
🤣🤣 umefall in kwa propaganda na psychological warfare chess game inachezwa vizuri.
 
Back
Top Bottom