Serikali ya China imekabidhi rasmi jengo jipya la makao makuu ya Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS) mjini Abuja kama msaada wa bure (zawadi). Jengo hilo la kisasa...
Kenya imekuwa ni Nchi ya hivi karibuni ya Africa kupiga marufuku Kuuza Madini yeyote yakiwa Ghafi Nchi za Nje na hasa Madini adimu ya kimkakati duniani...
Ni mmojawapo wa watendaji wandaamizi wa benki hiyo, mambo anayotuhumiwa nayo ni unyanyasaji wa kingono wa mmoja wa wanaume ambaye ni mfanyakazi wa chini yake katika benki hiyo.
Pamoja na mambo...
Heshima sana wanajamvi.
Si kawaida yangu kuchangia jukwaa hili lakini leo imenibidi nishiriki japo kwa uchache.
Iran ya Ayatollah ya mwaka 1979 hadi mwaka 2025 imeharibiwa vibaya mno.
Iran...
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametoa onyo kali kwa wabunge wa chama chake cha Republican, akidai kuwa wasiposhinda uchaguzi wa katikati ya muhula wa Novemba 2026, wapinzani wake wa chama cha...
Wimbi la hofu limewakumba wahamiaji wa mataifa mbalimbali ya Afrika wanaoishi nchini Afrika Kusini baada ya maandamano makubwa ya kupinga wahamiaji haramu kuzuka jijini Pretoria, huku maandamano...
Leo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi alikutana na Rais wa Urusi Vladimir Putin huko St. Petersburg kujadili kuongeza uratibu kati ya nchi hizo mbili, kwani mataifa yote mawili sasa...
Shirika la Utangazaji la Sudan Kusini (SSBC) lilitangaza Jumatano kuwa Rais Kiir amemfutia kazi Semeya Kumba aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, pamoja na kumfuta kazi Atong Kuol Manyang aliyekuwa...
Waziri wa Ulinzi wa Marekani Pete Hegsett ametangaza katika mkutano na wajumbe wa Congress kwamba kujenga upya hifadhi za silaha za Marekani, ambazo zimepungua kufuatia vita na Iran na migogoro...
Rais wa Marekani Donald Trump amechapisha ramani kwenye mtandao wake wa kijamii Truth Social ikionyesha Strait of Hormuz ikiwa imepewa jina la “Strait of Trump,” badala ya jina lake rasmi la...
Kuna tukio la kushtua ambalo limetokea usiku wa leo (mida ya Tanzania) nchini Marekani. Rais Donald Trump, Mkewe Melania Trump, Makamu wa Rais J.D. Vance na viongozi wengine waandamizi...
Habari hii najua haitawafurahisha Waarabu-koko wa BONYOKWA lakini ujweli ndiyo huu-
Kulingana na ripoti ya Axios, Israeli ilituma kikosi kamili cha Iron Dome pamoja na vifaa vyake na wanajeshi wa...
Wanaukumbi.
⚡️Germany's Merz on Iran:
The U.S. and Israel assumed at the very beginning that this problem could be solved within a few days.
But today we must acknowledge: it has not been...
Iran imeanzisha kampeni yay kuwandikisha watoto wa umri kuanzia muaka 12 kufundishwa mambo ya kijeshi kama sehemu ya juhudi zake za kueneza vita. Ripoti kutoka kwa makundi kama vile Human Rights...
“Kuigawa tena Afrika, na Marekani imechagua njia sahihi!” Haya ni maneno halisi kutoka kwa tahariri iliyotolewa hivi karibuni na gazeti la The Washington Post. Katika zama za leo, inashangaza...
Picha mpya ya maafisa wa Jeshi la Zimbabwe imeibua mjadala mkubwa kuhusu mabadiliko ya haraka ndani ya uongozi wa kijeshi, yanayoonekana kuimarisha ushawishi wa Rais Emmerson Mnangagwa.
Maafisa...
Chanzo. Aljazeera.
Umoja wa falme za kiarabu umetangaza kujiondoa kwenye umoja wa nchi zinazalisha/kuuza mafuta ya petrol (OPEC) kuanzia kesho tarehe 1.
Iran vs USA &Israel war effect.
The Chairman of the Economic and Financial Crimes Commission (EFCC), Ola Olukoyede, has revealed that the agency investigated Jerry Eze, founder and lead pastor of Streams of Joy International...
Jeshi la Wanamaji la Israeli limeanza kuizuia meli ya wanaharakati iliyokuwa ikielekea Ukanda wa Gaza ili kupinga kizuizi cha majini cha Israeli. Kulingana na data ya ufuatiliaji, meli ya Global...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi, amewasili Islamabad, Pakistan kwa mazungumzo yanayolenga kufufua juhudi za amani kati ya Iran na Marekani baada ya wiki nane za mvutano mkubwa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.