International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

CNN, wanarepoti kuwa Israel imeendelea kufanya mashambulizi makali ya anga usiku wa kuamkia Leo. Haya yanajili baada ya jana Iran kufanya mashambulizi kama sehemu ya onyo kwa Israel kuacha...
0 Reactions
5 Replies
564 Views
Katika mashambulio hayo mapya Hizbullah wametlumia makombora aina ya FAD 3 wamesema yamelenga yaliplokusudiwa ikithibitishwa na IDF waliosema wametungua baadhi yake, Sehemu zilizokusudiwa...
8 Reactions
52 Replies
4K Views
Msemaji wa IDF mh Hagai amesema wamekuwa wakioparate ndani ya Lebanon kwa miezi sasa hivyo wanajua kila kitu kuanzia Kijiji alichozaliwa kila Kiongozi wa Hezbollah, uwezo wao kifedha, wanakozipata...
20 Reactions
61 Replies
3K Views
Mwanzo alitokea muuaji wa watoto wasio na hatia Fashisti Nduli Benjamin Netanyahu Bibi, akatamba kuwa wanajua kila kinachoendelea ndani ya Iran. Akadai wana uwezo wa kufika mahali popte ndani ya...
4 Reactions
32 Replies
1K Views
Diego Garcia, kisiwa kilicho mbali katika Bahari ya Hindi, ni peponi kwa mimea na fukwe zenye mchanga mweupe, kwenye maji ya buluu. Lakini kisiwa hiki sio kivutio cha watalii. Ni kituo cha kambi...
0 Reactions
3 Replies
841 Views
Waziri Mkuu wa Israel mh Netanyahu amesema kamwe Israel haitakubali Uwepo wa Mataifa Mawili Malengo ya Vita ni kuifuta Hamas na kuokoa Mateka na lazima tufikie lengo hakuna wa kurudisha Nyuma...
1 Reactions
53 Replies
3K Views
Magharibi wako mbali sana kimahesabu. Westerners ni nyoko. Naona mahesabu yao ni Far East akiwemo Putin, Jon Jun, na wapuuzi wengine wasiojali haki za binadamu. Saudia Yeye hana cha kusema, UAE...
1 Reactions
4 Replies
516 Views
Rubani wa ndege ya Kivita ya Urusi alimsurprise Rubani mwenzake aliyekua anaendesha ndege ya Kivita ya Marekani F- 16 akiwa katika doria karibu na pwani ya Alaska na kumfanya apagawe kwa namna...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Hiyo ndo habari mpya watarusha makombora 1500 kwa wakati mmoja First wave itakua na makombora 1500 Second wave itakua na makombora 1500 Third wave itakua na makombora 1500 Jumla makombora...
17 Reactions
134 Replies
6K Views
Wayahudu ndio brain kubwa zinazofanya mambo makubwa huko US , Russia, Ukraine,Iran na nchi nyingine Hivyo sioni ajabu kwa US kumpa silaha Israel ,na ni lazima Israel ilindwe kwa manufaa ya wengi
9 Reactions
51 Replies
2K Views
Video: Jordan imeua raia wake wakati ikijaribu kuisaidia Israel kutungua makombora ya Iran Kupatwa kwa Jordan[emoji15] ndo wakome kabisa kuwa shield ya wazayuni kwa bahati mbaya leo wamejitahidi...
1 Reactions
0 Replies
395 Views
Israel hana kelele ni kipigo tu Russia kelele Nyingi mara atishie kutumia nyuklia na mambo mengi .. Tunataka atoe kichapo .
19 Reactions
94 Replies
4K Views
Mauaji haya yanayo tekelezwa na Israel kwenda kwa viongozi wa makundi hasimu yanayo washambulia na kuharibu mipango yao yanafanana na mauaji yaliyokuwa yakifanywa na serikali mbalimbali dhidi ya...
3 Reactions
11 Replies
517 Views
Wadau hamjamboni nyote? Nimeona niwaletee picha rasmi ya Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Iran Ayatollah Sayyid Ali Hosseini Khameneh Picha husika hutumika kwenye shughuli rasmi za kiserikali...
2 Reactions
16 Replies
908 Views
Wanaukumbi. Baada ya Israel kumuuwa kiongozi wa Hezbollah wanadhani vitu vimeisha ndiyo kwanza kuna zaidi ya makombora 1000.0000 hayajagushwa. Walowezi watatu wa Israel wamejeruhiwa katika...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
URGENT - ATTACK DRONES LAUNCHED FROM IRAN; BALLISTIC MISSILES ***FIRED**** THE SITUATION IN THE MIDDLE EAST CONTINUES TO WORSEN: ATTACK DRONES LAUNCHED FROM IRAN/IRAQ BORDER AND BALLISTIC...
0 Reactions
0 Replies
420 Views
What does a ground offensive mean for Lebanon and Israel?⁠ Israel has learned from its mistakes during the 2006 invasion, but so has Hezbollah. So what is the plan?⁠ Hayo ni maneno ya AJ,nauliza...
2 Reactions
5 Replies
463 Views
Mimi siwaelewi watu wanaoshabikia vita kama vile ni Premier League. Hivi hatuelewi huko Ukraine, Gaza na sasa Lebanon watu (ikiwa pamoja na watoto) wanakufa, wanapata ulemavu na maisha yao...
7 Reactions
45 Replies
2K Views
Waziri Mkuu wa Israel ameongea kwa kutumia vyombo vya habari na wananchi wa kawaida wa Irani na kuwataka wananchi wa nchi hiyo kuachana ama kujitenga na utawala wa nchi hiyo. Msikilize. Benjamin...
12 Reactions
42 Replies
2K Views
Wabunge wa kambi ya upinzani nchini Albania wamevuruga kikao cha Bunge kupinga hatua ya kufungwa Gerezani Mbunge mwenzao kwa tuhuma za kusema uwongo. Wabunge hao wamesema kufungwa kwa Ervin...
0 Reactions
0 Replies
267 Views
Back
Top Bottom