International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Jeneral Mkuu wa vikosi vya IRGC vya Iran amesema kuwa Iran ilijaribu kuwa wavumilivu baada ya Israel kubreach sovereignity yao kwa kuingia ndani na kumuua mgeni wao Ismail Hanniyeh aliyekuwa...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Maneno anayoyatoa na vitendo ni tofauti kabisa. Anaonekana kabisa akiwa ana khofu kubwa sana. Inasemekana hapo akiwa amejificha mbali sana. Hakuna AC na hakuna Ventillation. Anaishi kwa wasiwasi...
12 Reactions
48 Replies
3K Views
Raia wawili wenye silaha wanaodaiwa kuwa wametoka Palestina wamewapiga Risasi watu 23 raia wa Israel apo Jana usiku kati kati ya mji mkuu wa Israel Tel Aviv. Vyombo vya habari vya Israel...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya Israel imempiga marufuku personal non grata Katibu Mkuu wa umoja wa mataifa Antonio guterres kwa kushindwa kulaani shambulizi la makombora ya masafa marefu...
5 Reactions
82 Replies
4K Views
Ukweli ni kwamba. hakuna watu waoga kuingia vitani kama wamerakani hasa wakigundua una sila za hatari yaani zile zinazoitwa silaha za maangamizi. Hivyo, ili Iran ilinde heshima yake na ili Israeli...
14 Reactions
47 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Mfumo wa ulinzi dhidi ya makombora wa Israel wa iron dome ni laini mno na upo sawa tu na glasi ya maji au juice Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: . October 02...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Kikao kizito sana kinaendelea muda huu. Tuombe Mungu atuvushe salama Shin Bet chief Ronan Bar Mossad chief David Barnea, Defense Minister Yoav Galant, Chief of Staff Lt...
1 Reactions
8 Replies
646 Views
Washirika muhimu wa haya mataifa mawili hasimu[ Israel na Iran ] hapo mashariki ya kati ambao wapo bega kwa bega nao katika ushirika muhimu wa kiuchumi, kiulinzi na kiushawishi leo tuwafahamu...
0 Reactions
0 Replies
624 Views
Israel na Russia walikuwa maadui tangu zamani sana ,uadui wao ulijulikana sana miaka ya 1947 kipindi cha Cold War mpaka miaka ya 2000. Miaka ya 2000 mpaka sasa Israel na Russia wakaanza kuwa...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Maandalizi ya ujenzi wa hekalu la Suleiman uko tayari. Vifaa, budget vyote viko tayari Hekalu hili litajengwa eneo ambalo sasa hivi kuna msikiti wa Alqsa. Utaratibu wa ujenzi utafanyika baada ya...
21 Reactions
126 Replies
9K Views
Wadau hamjamboni nyote? Mungu ibariki Israel Taarifa rasmi ndiyo hiyo 99% yamelipuliwa angani, kudondokea baharini au sehemu isiyokusudiwa Yale matoi yaliachwa yaelee angani kwa muda na...
8 Reactions
72 Replies
7K Views
Waziri wa mambo ya nje wa Iran amezionya nchi za kiarabu zitakazojitia kiherehere kuisiaidia Israel kufanya ugaidi dhidi yake. Bila kuzitaja majina bila shaka Waziri huyo anamaanisha nchi kama...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
US Navy destroyers in the eastern Mediterranean Sea intercepted Iranian ballistic missiles during Tuesday’s launch, according to a US defense official. The US currently has three guided-missile...
7 Reactions
95 Replies
7K Views
Kwa taarifa rasmi ya Al Jazeera, waathirika wa mtafaruku huu ni Wapalestina. Kumbe Iron Dome inalinda Wayahudi vuzuri sana.
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Finally wamekiri nilishasema hawa watu wana Nyuklia kitambo tu walikua wanatuzuga!! [emoji3544] 𝐁𝐫𝐞𝐚𝐤𝐢𝐧𝐠 𝐍𝐞𝐰𝐬 [emoji3544] [emoji1130] | 𝗜𝗿𝗮𝗻𝗶𝗮𝗻 𝗣𝗼𝗹𝗶𝘁𝗶𝗰𝗶𝗮𝗻 𝗖𝗹𝗮𝗶𝗺𝘀 𝗜𝗿𝗮𝗻 𝗠𝗮𝘆 𝗔𝗹𝗿𝗲𝗮𝗱𝘆 𝗣𝗼𝘀𝘀𝗲𝘀𝘀 𝟴-𝟭𝟱...
7 Reactions
92 Replies
4K Views
Kuna kamanda ameuawa na Hezbollah huko Lebanon, ukiangalia umri wake halafu ndiyo kiongozi, napata shida kidogo! Wajuzi wa vita tupeni elimu! Israeli commander killed in Lebanon, Israel says The...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Inaonekana jamaa wa Hezbollah walijipanga zaidi ardhini kuliko angani! Leo na jana wayahudi wamepokea sana kichapo! Halafu hawaongei wanawaacha wayahudi wenyewe waongee! Ukiona wamagharibi...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Ripoti iliyotolewa Jumanne imesema kuwa wakati uchaguzi wa Rais wa Marekani ukikaribia, usalama wa wanahabari haujahakikishwa kwa mujibu wa marekebisho ya kwanza ya Katiba ya Marekani. Wanahabari...
0 Reactions
3 Replies
330 Views
Idadi kubwa ya makomando wa Israel huishi Lebanon ndani na hamna wasichokijua au kukifanya humo tena kimya kimya.....ndio hutoa taarifa za wapi pa kupiga, husaidia sana kwenye mapigo dhidi ya...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Bei ya mafuta ilipanda baada ya Iran kurusha makombora ya balistiki dhidi ya Israel na kuzua hofu ya mzozo mkubwa katika eneo la Mashariki ya Kati ambao unaweza kuvuruga usambazaji wa mafuta...
2 Reactions
2 Replies
376 Views
Back
Top Bottom