Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 16,995
- 63,020
Mwanzo alitokea muuaji wa watoto wasio na hatia Fashisti Nduli Benjamin Netanyahu Bibi, akatamba kuwa wanajua kila kinachoendelea ndani ya Iran. Akadai wana uwezo wa kufika mahali popte ndani ya Iran.
Kesho yake wanaume wakanyesha vimondo 180 kule Tel Aviv kwenye kambi za kijeshi. Mpaka sasa akina Netanyahu wanakoroma tu, wapo wanalialia kwa Marekani iwasaidie.
Kama Waisrael wanajua kila kinachoendelea ndani ya Tehran, inakuwaje wanaume wanasogeza vimondo, kuvipiga starter na kuvituma kwa kasi kubwa kuitwanga Tel-Aviv na wao wasiviangamize mapema kabla havijaachiwa?
Iran kasema MaInterahamwe ya Israel yathubutu kuleta fyoko yaje yaone moto utakavyowawakia non-stop. Sasa mimi nangoja Mazayuni yarushe hata jiwe hapo Tehran.
Hii ngoma imeshakuwa ya wakubwa, Wajukuu wa King Cyrus, watu waliopigana na Toman Empire kwa miaka zaidi ya 1000 siyo watu wa kuchezewa na Yahudi mpenda fujo, Yahudi atapigwa!.
Kumbe sikufanya makosa kujiita "Missile of the Nation", Lugha pekee anayoielewa Zayuni ni missile tena hypersonic inayoenda kasi ajabu!
View: https://www.youtube.com/watch?v=RYzBI5DNIk4&ab_channel=OpenmindedThinkerShow