International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Hii ndio ilikuwa bendera ya Iran kabla ya take over ya magaidi wa IRGC Walipoweza kufanya mapinduzi ya itikadi yao walihakikisha kuonesha rangi zao za ukweli. Ugaidi, itikadi kali, uminyaji wa...
2 Reactions
7 Replies
770 Views
1982: Hezbollah iliundwa 1983: Mlipuko wa lori la kujitoa mhanga katika Ubalozi wa Merika huko Beirut, 83 waliuawa. 1983: Mashambulio ya mabomu katika kambi za Wanamaji za Marekani na Ufaransa...
2 Reactions
9 Replies
583 Views
Press Tv live breaking news. Hezbollah wanasema Wamepiga direct hit Beit Saida, Yifta Kibbutz Zaoura Base then wamekimbia kusiko julikana.. naona wana mbinu kama za Hamas. Jeshi la Serikali ya...
2 Reactions
85 Replies
6K Views
Wadau hamjamboni nyote? Shughuli inaendelea kama ilivyopangwa na kukusudiwa Kiongozi Mkuu wa magaidi ya Hamas huko nchini Lebanon ameuawa na shambulizi la IDF Katika shambulio la angani...
11 Reactions
67 Replies
5K Views
Kwanza kabisa, mnamo Februari 2024 kiongozi wa Hezbollah, Hassan Nasrallah, aliwaamuru wanachama wake kuacha kutumia simu kwa sababu zinaweza kunaswa kwa urahisi na kufuatiliwa na majasusi wa...
16 Reactions
77 Replies
4K Views
Wadau hamjamboni nyote? Huku dalili zikiwa dhahiri kuwa muda wowote IDF wataanzisha operesheni ya ardhini Kusini mwa Lebanon Waziri Mkuu wa nchi hiyo amesema kuwa sasa wapo tayari kupeleka Jeshi...
7 Reactions
97 Replies
6K Views
On 27 September 2024, the Rwanda Ministry of Health announced the confirmation of Marburg virus disease (MVD). Blood samples taken from people showing symptoms were tested by real-time reverse...
0 Reactions
0 Replies
675 Views
Hali ya Benjamen Netanyahu inaelezwa kuwa sio nzuri baada ya kujeruhiwa vibaya na vilipukizi vya makombora yalorushwa na Yemen yakilenga Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Ben Gurion Airport...
10 Reactions
113 Replies
9K Views
Iran President says the U.S. and E.U. lied to him,that if Iran delayed response to Ismael Haniyeh's assassination,a ceasefire in Gaza would be reached.Now a massive attack from Iran is imminent...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
India na Japan ni nchi zenye uchumi mkubwa sana. Kama walivyo wenzao China, US, Russia na Nchi za Magharibi wao wanajihusisha karibu na kila sehemu yenye mgogoro. Nimekuwa nafollow account ya X...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres analaani Hamas kwa kutoruhusu Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu kuwatembelea mateka huko Gaza. "Ningependa kulaani ukweli kwamba Shirika la...
0 Reactions
11 Replies
894 Views
Ukraine imetumia ndege zake zisizo na rubani kutekeleza msururu wa mashambulizi kwenye maghala muhimu ya silaha za Urusi mwezi huu, na kusababisha uharibifu mkubwa katika maeneo hayo na kuharibu...
0 Reactions
0 Replies
457 Views
Katika soko maarufu lililoko Changsha, mji mkuu wa mkoa wa Hunan katikati ya China, mwanamke mmoja aitwaye Li anachagua vitafunwa kwa ajili ya mtoto wake wa kike na wa kiume. Amechagua boksi mbili...
2 Reactions
4 Replies
672 Views
Kwa kutumia teknolojia aliyojifunza nchini China katika shamba la maskani yake, Augustine Phiri ameweza kuongeza mavuno ya mahindi katika shamba la mfano nchini Malawi, kutoka tani 2.1 kwa ekari...
1 Reactions
1 Replies
503 Views
Kutokana na kuimarishwa kwa uhusiano kati ya China na Afrika, katika miaka ya karibuni, uwekezaji wa China umeendelea kuongezeka barani Afrika. Hivi karibuni serikali ya China ilitoa taarifa...
3 Reactions
0 Replies
413 Views
Watu zaidi ya 100 waliokuwa wamejihifadhi kwenye shule ya Tabin pamoja na wale waliokuwa wamejikushanya kwa ajili ya sala ya Alfajiri kuamkia leo wamekufa huku maiti zao zikitapakaa vipande...
6 Reactions
65 Replies
3K Views
Wadau hamjamboni nyote. IDF na mossad wanatisha Ndugu zangu. Huko Kusini mwa Lebanon ambalo ndiyo makao makuu ya Hezbollah hakukaliki Wala hakulaliki kabisa huku hofu kubwa ikitanda. Wameamua...
5 Reactions
7 Replies
848 Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: In first address since killing of leader Hassan Nasrallah, Hezbollah deputy chief Naim Qassem says group is ready for any Israeli...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Wadau hamjamboni nyote? Hii ndiyo sala maalumu kabisa ya kimapokeo inayomsihi na kumuomba Adonai awalinde na kuwapa ushindi Wana Israel wanaokwenda vitani kupambana na magaidi ya Hezbollah huko...
0 Reactions
2 Replies
493 Views
Huku wavaa makobaz uswahilini wanatokwa mishipa kwenye makomwe kwa hasira walizo nazo kwa Israel, sasa Saudi imesema itaendelea freshi na Israel.... ==== Saudi Arabia's ambassador to the UK...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom