International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

My Take Naunga mkono hoja,watu ndio Nguvu ya Taifa kiuchumi,kijeshi na kiteknolojia. ============ Kiongozi mkuu mpya wa Iran, Mojtaba Khamenei, ameibua mjadala mkubwa kimataifa baada ya kusisitiza...
4 Reactions
7 Replies
286 Views
Miezi 6 baada ya Rais wa Senegal Basirou Diomaye wa Senegal na Waziri wake Mkuu Ousmane Sonko wameanza kuleta visingizio Kwa Kushindwa Kutimiza Baadhi ya ahadi zao walizodai watazitatua ndani ya...
6 Reactions
81 Replies
3K Views
Asalam waleku Wandugu waJF hapa nataka nijulishe kwamba kule china mambo yameenda ndivyo sivyo. Kwa maana mapatano ya ajenda zote yapo PENDING Kwa hali ilikuwa kwamba ni mbinu za kimkakati...
8 Reactions
25 Replies
844 Views
“Unajua jinsi Rais wa sasa alivyoingia madarakani? Aliitwa tu ofisini, na mtu huyo akadhani anafanya makubaliano mazuri, akakabidhi mamlaka. Na kulikuwa na mashahidi, marais wa nchi mbalimbali...
1 Reactions
6 Replies
337 Views
Mapambazuko yanapoanza, mamia ya wanaume hukusanyika katika uwanja wenye vumbi huko Chaghcharan, mji mkuu wa jimbo la Ghor nchini Afghanistan. Wanasimama kando ya barabara wakitumaini kupata...
5 Reactions
33 Replies
632 Views
Serikali ya Uingereza imeondoa baadhi ya vikwazo dhidi ya mafuta ya Urusi,huku bei ya mafuta ikipanda nchini humo. Agizo hilo limeanza kutekelezwa hii leo, na inaashiria hofu inayoongezeka kuhusu...
4 Reactions
10 Replies
333 Views
Katika hii ziara ambapo Putin ameenda China naona mambo hayakuwa kiofisi tu kama Trump alivyo karibishwa, Xi na Putin wameonekana wakipika pamoja vyakula vya asili vya China, wakinywa pombe , na...
19 Reactions
36 Replies
906 Views
Itamar Ben Gvir alisababisha malalamiko ya kimataifa baada ya kuchapisha video inayoonyesha akiwadhihaki wanaharakati wa meli za Gaza zilizokuwa zimefungwa katika bandari ya Ashdod. Katika...
0 Reactions
2 Replies
165 Views
ALLEGED “CAMEROON AYRA STARR” JOLI REACTS, CLAIMS NIGERIANS ARE “NOT GOOD PEOPLE” AFTER VIRAL COMPARISON DEBATE Cameroonian singer Joli has finally reacted to the viral online conversation that...
0 Reactions
0 Replies
123 Views
Picha za satellite zilizotolewa na Sentinel 2 satellite imeonyesha uharibifu mkubwa kwenye kambi 4 za kijeshi nchini Israel.Picha hizo zimeonyesha kambi za Ramat David,Nevatim,Unit 8200base na...
1 Reactions
3 Replies
251 Views
Iran imemnyonga mwanaume mmoja aliyekuwa akituhumiwa kufanya ujasusi kwa niaba ya Israel, kwa mujibu wa shirika la habari la Mizan, ambalo lilimtaja kwa jina la Kurosh Keyvani. Mwanamume huyo...
1 Reactions
1 Replies
250 Views
Wanaukumbi. VIDEO | Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi alisema Tehran itafanya kazi yoyote inayohitajika, "iwe ni mazungumzo au vita," akisisitiza kwamba Iran iko tayari kupigana...
0 Reactions
3 Replies
150 Views
A close associate of Nollywood actress Ijeoma Richards has recounted the terrifying incident that led to the explosion of the actress’ vehicle somewhere in Lagos, describing it as a miraculous...
0 Reactions
0 Replies
119 Views
"History doesn't repeat itself but it often ryhmes" Mark Twain Kabla ya mwaka 1914, Ujerumani na Austro-Hungary walikuwa ni mataifa ambayo hayawezi kutenganishwa kwa lolote lile. Mkubwa alikuwa...
56 Reactions
147 Replies
36K Views
Trump alijua vita ya Iran itamuongezea points na MAGA wenzake kuelekea uchaguzi wa wabunge na magavana mwezi Novemba. Kilichotokea ni amepoteza points nyingi. Sasa juzi serikali yake imemfungulia...
0 Reactions
4 Replies
186 Views
Ethiopian Airlines, Africa’s largest airline, says it has lost $137 million in just one week because of the ongoing conflict involving the U.S., Israel, and Iran. The airline has suspended...
0 Reactions
1 Replies
309 Views
Mashambulizi ya pamoja kati ya majeshi ya Nigeria na United States yameua wapiganaji 175 wa kundi la Islamic State, kwa mujibu wa taarifa ya majeshi ya nchi hizo iliyotolewa Jumanne. Mashambulizi...
1 Reactions
2 Replies
175 Views
Watu watatu wamefariki baada kushukiwa kuambukizwa virusi vya hantavirus katika meli moja ya kubeba abiria iliyokuwa ikisafiri katika bahari ya Atlantiki, hii ni kulingana na taarifa iliyotolewa...
2 Reactions
14 Replies
450 Views
Heshima sana wanajamvi, General Muhoozi Kainerugaba CDF wa Uganda Army Forces na ndiye Rais wa mtarajiwa wa Uganda baada ya Baba yake kuitawala Uganda kwa zaidi ya miaka 40. General Muhoozi...
0 Reactions
2 Replies
274 Views
  • Closed
Nisiongee sana Sababu ni kwamba Waziri Mkuu Netanyahu kapata kisingizio kwamba bila china wangeweza kumaliza vita Iran Wanamshutumu kwamba China wanatoa msaada wa picha za satelite kuonyesha...
8 Reactions
15 Replies
655 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…