Hivi karibuni China imeandika historia mpya ya teknolojia duniani.
Kwa miaka mingi Marekani, South Korea na Taiwan zilikuwa The Big 3 Cartel walitawala GPU na memory chips. Wakiamua supply...
Niaje waungwana
Habari ndio hiyo, baada ya muda mchache wa kutangaza makubaliano mapya na Iran, ghafla milio ya risasi ilisikika nje ya white house na kusababisha hatihati katika eneo zima la...
Mashambulizi ya Iran dhidi ya kambi za jeshi la marekani mashariki ya kati yameharibu vifaa na miundo mbinu 228 kwa mujibu wa picha za satellite zilizoachiwa.Idadi ya uharibifu ni mkubwa mno...
Nchini Afghanistan chini ya utawala wa Taliban, sheria mpya imeifanya iwe karibu haiwezekani kwa wanawake kupata talaka, katika taifa ambalo takriban asilimia 70 ya wasichana wako kwenye ndoa za...
Rais wa Senegal ametoa msamaha kwa mwandishi wa habari, Rene Capain Bassene, aliyekuwa amehukumiwa kifungo cha maisha jela kuhusiana na mauaji ya watu 14 yaliyotokea mwaka 2018 katika mkoa wa...
Wanakumbi.
⚡️EXCLUSIVE: We have obtained a complete version of the current “Memorandum of Understanding” between Iran and the United States
Details of the current Peace Deal, per an Iranian MP...
Ghana inatarajia kuanzisha mfumo mpya wa viza kwa njia ya mtandao (e-visa), ambao utakuwa bure kabisa kwa raia wote wa nchi za Afrika.
Taifa hili linatarajia kwamba hatua hii ya kutoa viza bila...
Gabon’s High Authority for Communication (HAC), the country’s media and telecommunications regulator, announced an open-ended suspension of dominant social media platforms to curb what it termed...
Jeshi la Marekani usiku huu wa tarehe 26/05/2026 limefanya mashambulizi ya kijeshi kwenye sites za kurushia makombora za Iran na boti ambazo wamedai zilikuwa zinajaribu kusimika mabomu baharini...
Wanaukumbi.
Rais wa Marekani Donald Trump amekataa pendekezo lililoripotiwa ambapo Oman na Iran walikuwa wakijadili mpango wa kutoza ushuru meli zinazopita kwenye Mlango wa bahari wa Hormuz...
Lithiamu inajulikana kama “mafuta meupe” katika zama ya nishati safi ya karne ya 21. Hivi karibuni shehena ya kwanza ya bidhaa za lithiamu sulfate zilizosindikwa kutoka Afrika ilisafirishwa kutoka...
China imeongeza sana uzalishaji wa umeme wake tangu mwaka 2014.
Katika kipindi cha miaka 10, uzalishaji wa umeme umeongezeka kwa karibu 74%, jambo ambalo ni ongezeko kubwa sana.
Mwaka 2014...
Tanker ya kwanza kati ya sita za ndege za mafuta za KC-46A Pegasus zilizoagizwa na Israeli, zilizopewa jina la Gideon na Jeshi la Anga la Israeli na zinazotarajiwa kuchukua nafasi ya Tanker zake...
Baada ya Israeli kujiondoa huko Lebanon-Kusini Hezbollah iliendelea kupanua miundombinu yake ya ugaidi karibu na maeneo ya raia kote Lebanon.
Kwa miaka mingi, ilijenga silaha kubwa za roketi na...
Polisi wa doria ya mipakani nchini Afrika Kusini wamekamata lori lililokuwa likitokea nchini Malawi likiingia nchini humo likiwa limesheheni dawa za kulevya zenye thamani ya karibu randi bilioni...
Wakuu ni kivipi hili suala, hali ilibadilika ghafla baada ya serikali ya Marekani kusaini makubaliano ya amani ambayo hapo awali yalikuwa hayaheshimiwi na wahusika?
M23 wamekuwa wakishikilia kwa...
Kuna uwezekano mkubwa kuna watu hawajui Malengo ya Abraham Accord ambayo Israel inayasimamia . Kama huyajui basi fuatana nami nikujuze:
Maazimio ya Abraham Accord kudumisha na kuimarisha amani...
Video zinazotoka Gaza zinaonyesha msafara wa mazishi ya kamanda wa tawi la kijeshi la Hamas Mohammed Odeh na wanafamilia wake kufuatia shambulio la Israel jana.
Odeh, ambaye hivi karibuni...