International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Jinsi ambavyo ghafla Marekani imembadilikia Ukraine na kutafuta suluhu na Russia hii inatukumbusha matukio matatu makubwa jinsi Marekani anavyoweza kubadilika kama kinyonga na kutokuunga mkono...
9 Reactions
23 Replies
2K Views
Watu 11 wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa Alhamisi wakati wa mlipuko katika mji wa mashariki mwa Congo wa Bukavu uliotokea kwenye mkutano wa hadhara ulioongozwa na viongozi wa kundi la M23...
2 Reactions
6 Replies
778 Views
Video za Wanaojiita Wapalestina zinasikitisha full Taqiyya yaai unasikiliza unaishia kucheka.. vijana hadi wazee so hawa jamaa nadhani wana chuki za Asili sababu ya wizi wa ardhi...
1 Reactions
40 Replies
2K Views
Dassault Rafale ni ndege ya kivita ya Ufaransa yenye uwezo wa kufanya kazi katika anga, ardhi, na baharini. Iliundwa na kampuni ya Dassault Aviation na ilianza kutumika mnamo mwaka 1986. Ni ndege...
11 Reactions
43 Replies
4K Views
Mfalme Mohammed VI siku ya Jumatano aliwahimiza Wamoroko kuacha kununua kondoo wa kuchinjwa wakati wa sikukuu ya mwaka huu kutokana na mfumuko wa bei wa kihistoria na mabadiliko ya tabianchi...
0 Reactions
4 Replies
528 Views
Rais wa Rwanda Paul Kagame na serikali yake wamelalamikia vikwazo vilivyowekwa na Uingereza dhidi yake. Serikali ya Rwanda imesema vikwazo vilivyowekwa na Uingereza kuihusu Rwanda baada ya...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Tarifa iliyopo huko X (Twitani) ni kwamba, muda wowote PK ataanza kuchezea vikwazo na ama kufurushwa kabisa ikuluni na hawa walezi wa dunia hii Swali ni kwamba, nchi za Africa haziwezi kabisa...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu, Hii kitaalamu inaitwaje? Inakuwaje mnufaika mkubwa zaidi wa USAID duniani anataka shirika hilo lifungwe? Mtu kama huyu ambaye amepokea Billions of money kutoka serikalini anapata wapi...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Hivi karibuni kumekuwa na majibishano makali kati Kyiv na Washington juu ya mpango wa kuleta Amani nchini Ukaraine,Rais wa Ukraine Mr Zelensk akiishutumu Washington juu ya kujihusisha katika...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Mzuka wana jamvi... Leo katika tukio la kuachiwa mateka huko Gaza , mmoja kati ya waliachwa katika hali ya furaha iliyopitiliza alimsogelea Mpiganaji wa Hamas na kumbusu katika paji lake la uso...
10 Reactions
91 Replies
4K Views
Wadau hamjamboni nyote? Lebanon imechoshwa na vita vya nchi nyingine Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: February 23, 2025 Lebanese president tells Iranian parliament speaker: Country is...
7 Reactions
55 Replies
3K Views
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy amekubali dili la Donald Trump la kuipa madini nchi ya Marekani, ili Marekani iweze kuendelea kuipa Ulinzi Ukraine. Mkataba huo, ambao utaiwezesha Marekani...
4 Reactions
56 Replies
4K Views
Habari wakuu Laurent Kabila alikataa kuwatambua Banyamulenge na watutsi wengine kama raia wa Congo kiasi alisema mkataba waliokubaliana ulikuwa wa vichochoroni Jana Joseph Kabila anamlaumu...
4 Reactions
97 Replies
3K Views
Mwendesha mashitaka mkuu wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita Mh Karim khan amesema mahakama ya ICC na mamlaka za DRC zinashirikiana kuchunguza madhila na madhara ya uhalifu huo, aidha...
0 Reactions
27 Replies
1K Views
Wadau habari za ndani sana ambazo zinaumiza vichwa utawala wa Rwanda ni kwamba kuna taarifa serikali ya Marekani kutaka kumwajibisha Kagame kwa hiari au nguvu itumike Hii imejiri baada ya Rais wa...
26 Reactions
88 Replies
5K Views
Wakuu, Taasisi iliyoanzishwa na Rais Donald Trump ya Ukaguzi wa Ufanisi WA serikali ya marekani (GOVERNMENT EFFICIENT) chini ya mkurugenzi wake yaani DOGE-(Director of Government Efficient)...
24 Reactions
91 Replies
5K Views
Wanaukimbi. Zelensky anasema kwamba alipokea msaada wa dola bilioni 100 pekee kama ruzuku, sio mkopo. "Hatutambui deni la Ukraine la dola bilioni 500 kwa Marekani. Sitambui hata dola bilioni...
17 Reactions
163 Replies
7K Views
Ameposti video kwenye mtandao wake wa Truth Social jinsi anavyoina Gaza ya siku za mbeleni kupitia mpango wake wa Gaza riviera.
6 Reactions
28 Replies
1K Views
Baada ya Goma kuangukia mikononi mwa M23, mtutu wa bunduki ulielekezwa Kivu kusini, huku mji mkuu ukiwa Bukavu. Serikali ya Burundi kwa makubaliano na DRC, ilipeleka wanajeshi wapatao elfu 10...
8 Reactions
101 Replies
5K Views
Minister Kombo's interview with HÍR TV on deepening Tanzania-Hungary Bilateral Relations
0 Reactions
1 Replies
315 Views
Back
Top Bottom