International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Leo tarehe 1 Machi, baadhi ya wapiganaji wa FDLR waliokamatwa na M23, katika vita vya Goma, vilivyoiacha Goma mikononi mwa M23, tarehe 27 January 2025, watafikishwa mpaka wa La Corniche kati ya...
2 Reactions
10 Replies
806 Views
Siasa za nje za Marekani na misimamo yao ni ya kibaguzi na kigeugeu cha hali ya juu.Rais Zelensky hakulijua hilo aliposhawishiwa afanye chokochoko kwenye mpaka wa Urusi. Pamoja na ujinga aliokuwa...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Mojawapo ya maswali aliyoulizwa Zelenskyy leo na watu wa Trump katika mkutano wa hovyo wa waandishi wa habari wa Trump na timu yake ni kwa nini havai suti Oval Office/Ikulu ya Marekani...
12 Reactions
65 Replies
4K Views
Binafsi sioni sababu za Zelensky kuendelea kuishukuru Marekani, wakati amefanya hivyo mara nyingi. Tena kipindi hiki Ukraine yuko kwenye wakati mgumu sana, kwa kuzingatia kwamba: 1. Trump...
1 Reactions
2 Replies
512 Views
Russia invaded a sovereign country which it's territorial integrity was signed and granted by US, England and Russia. Budapest memorandum Dec 5th 1994. Russia violated Geneva conventions, killing...
3 Reactions
7 Replies
742 Views
Lebanon yatwaa dola milioni 2.5 zilizokuwa zikitumwa kwa Hezbollah kutoka Iran baada ya kumnasa mtu kwenye uwanja wa ndege katika tukio "lisilo na mfano". Mtu anayedaiwa kubeba dola milioni 2.5...
0 Reactions
1 Replies
431 Views
Mimi nakaona haka kajamaa ni kakuda sana. Kuna namna kanataka kafanye uboss huku kenyewe ndio kaliko na tabu. Hakajui bila US hio nchi yake ingekuwa mkoa wa Urusi tayari
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Nipo ibadani leo machi mosi hapa Kanisa la Wasabato salasala na nimefurahi mno taarifa ikisema mapato ya zaka yamepaa na kufikia milioni 120 Kwa mwaka 2024 kutoka milioni...
5 Reactions
18 Replies
525 Views
Kwa huu mwenendo wa marekani kwa sasa mwenye uhakika wa usalama,ukaribu na utafiki na marekani naona ni Israel pekee. Hawa wengine wanatumika tu kiurafiki wa kinafiki na marekani kwa ajili ya...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Rais Trump wa Marekani anatarajiwa kukutana na Rais Zelensky wa Ukraine, siku ya leo, ikulu ya Marekani White House. Jana, Rais Trump akisubiria ujio wa Rais Zelensky, alimsifia kiongozi huyo...
6 Reactions
37 Replies
2K Views
Jeshi la Burundi limekanusha ripoti kwamba lilihusika na mashambulizi ya Mabomu huko Bukavu, Kivu Kusini, ambako mkutano wa AFC/M23 ulikuwa unafanyika. Brigedia Jenerali Gaspard Baratuza, Msemaji...
1 Reactions
9 Replies
793 Views
27 February 2025 Ikulu ya Gitega Burundi RAIS WA BURUNDI , EVARISTE NDAYISHIMIYE, ABADILI MSIMAMO WA BURUNDI KATIKA KULETA AMANI NCHINI DRC, Rais Evariste Ndayishimiye akutana na mabalozi wa...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Serikali ya Marekani chini ya Donald Trump imesitisha ufadhili katika programu mbalimbali za afya ikiwemo HIV, Polio, na Malaria duniani kote. Kwa mujibu wa gazeti la New York Times, serikali ya...
7 Reactions
45 Replies
5K Views
Serikali ya Malaysia imekubali kuanzisha upya utafutaji wa Ndege ya Shirika la Ndege la Malaysia MH370, ambayo ilitoweka takriban miaka 10 iliyopita, ikiwa ni mojawapo ya matukio yaliyoshangaza...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Kundi la AFC/M23, leo 28 February 2025, limewatangaza viongozi wapya wa jimbo la Kivu kusini, ambao ni • Bwana BIRATO RWIHIMBA Emmanuel, Gavana wa jimbo • Bwana DUNIA MASUMBUKO BWENGE, Naibu...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Miaka mingi iliyopita, watu wengi walifikiri kwamba MArekani anapigana vita ili kulinda amani, demokrasia au kuwaokoa watu/nchi fulani kutoka katika ukandamizaji. Ilijipambanua kwamba yenyewe...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
U.S. and Russia Agree to New Russian Ambassador for USA Hal Turner World February 28, 2025 The Russian Foreign Ministry reports that Washington has agreed to a new Russian ambassador...
0 Reactions
0 Replies
379 Views
Wakuu mwanzo ilisemwa kuna siku 90 za US kuangalia haya mambo ya ufadhili ndo waamue, lakini tokea jana zimeanza kuzunguka statement kama hiyo hapo chini kwenye mitandao. Kunani huko anayejua...
3 Reactions
46 Replies
2K Views
Leo,kwenye mkutano wa viongozi wa AFC/M23 huko mjini Bukavu, Kivu kusini, katika mkutano wa hadhara baina ya uongozi wa M23 na raia wa Bukavu, jeshi la serikali liliandaa shambulizi kutumia...
4 Reactions
72 Replies
4K Views
Baada ya Mauaji ya kutisha ya Oct 07,2023 Gaidi ISMAIL HANNIYEH alionekana kwenye vyombo vya habari akifurahia mauaji hayo na kuonekana akiongoza sala kumshukuru Allah wake kwa kufanikisha mauaji...
3 Reactions
49 Replies
2K Views
Back
Top Bottom