International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, amewaagiza wasaidizi wake kukataa pendekezo kutoka kwa maafisa wa utawala wa Trump ambalo lingewapa Marekani upatikanaji mkubwa wa madini adimu ya Ukraine...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Ukraine holds the largest titanium reserves in Europe By Kate Varley Ukraine's vast undersoil mineral wealth is at the heart of an economic deal which the country is currently in the final...
0 Reactions
6 Replies
799 Views
Je, Donald Trump ni mtu wa namna gani na familia yake ikoje..!!?? Ukiangalia jinsi Trump alivyowalea watoto wake watano kwa kweli utashangaa sana na hii ndio maana hata jumuiya ya makanisa yenye...
11 Reactions
53 Replies
3K Views
Kiongozi wa Kanisa Katoliki, Papa Francis, amefichua siri kuwa Watu walipanga kumuua wakati akiwa safarini nchini Iraq March 2021 lakini mauaji hayo yalizuiwa baada ya kupata taarifa za...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Zaidi ya Watu 50 wamefariki Kaskazini Magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutokana na ugonjwa usiojulikana, hii ikiwa ni kwa mujibu wa Madaktari waliopo katika eneo hilo na Shirika la...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Top 10 African countries with the highest debt to the IMF in February 2025 While some African countries have chipped away at their debts others have piled onto them, as they’ve reached out to...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Kansela ajaye wa Ujerumani Friedrich MerzPicha: Volker Hartmann/AFP Wakati hayo yakiripotiwa, Kansela ajaye wa Ujerumani Friedrich Merz amemwalika Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Jamaa wanaendelea kupiga kazi. Leo wanajeshi zaidi wa Congo wamendelea kujisalimisha kwa M23. Na wale wenye vyeo vya juu wamepewa vyeo na MP 23 Hii kampeni ngumu sana, nawatakia lakheri M23...
0 Reactions
8 Replies
521 Views
Volodymyr Oleksandrovych Zelenskyy atabaki kuwa shujaa. Nukuu yake muhimu ya uzalendo hii hapa.
10 Reactions
34 Replies
2K Views
Aliyewahi kuwa mkuu wa ujasusi Rwanda na Balozi wa Rwanda nchini India, Lt. Gen Kayumba Nyamwasa anasema matatizo yote yanayotokea mashariki ya Congo yanasababishwa na kagame. Anasema Congo hamna...
31 Reactions
175 Replies
11K Views
Putin offers Russian and Ukrainian rare minerals to US A minerals deal is currently being finalised between Ukraine and the US Russian President Vladimir Putin said he is open to offering the US...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Mida ya saa moja kasoro robo, leo hii tarehe 24 Februari 2025, badhi ya wanajeshi wa SADC waliokuwa Goma, kwenye mission ya SAMIDRC, wamepitia mpaka mkubwa wa Goma na Rubavu, wakirudi makwao. Ni...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Reuters, citing the Italian Defense Minister, reports that Netanyahu will be arrested if he visits Italy. The International Criminal Court has finally issued warrants for the arrests for the...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Imekaaje hii? Askari huko Burudndi kunywa bia aiwa na magwanda na polisi na watu wa kawiada
0 Reactions
6 Replies
905 Views
Katika zama hizi za maendeleo ya teknolojia, jina moja limeibuka na kutikisa ulimwengu wa Akili Bandia (AI) kwa namna isiyo ya kawaida – Lean Feng Wang. Mwanakijiji huyu kutoka M Ling, jimbo la...
12 Reactions
73 Replies
5K Views
Wadau hamjamboni nyote? Mabasi matatu yalilipuka katika mji wa Bat Yam, kusini mwa Tel Aviv, katika tukio linaloshukiwa kuwa la kigaidi. Polisi wa Israeli waliofika katika tukio hilo wameeleza...
1 Reactions
41 Replies
3K Views
Trump asimamisha misaada kwa nchi nyingine kwa siku 90 ili kupitiwa upya. Tanzania nayo kuathirika. Sababu kuu mbili zilizonifanya nifurahie uamuzi wa Trump ni hizi; 1. Hii misaada tumeanza...
9 Reactions
47 Replies
2K Views
Many foreign students in Japan seek jobs but face language barriers, lack of support February 25, 2025 (Mainichi Japan) Attendees listen to a company's recruiter at a job fair for foreign...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wanafunzi wa Bangladesh ambao waliongoza maandamano yaliyomwondoa Waziri Mkuu wa zamani Sheikh Hasina mwaka jana wanatarajia kuzindua chama kipya cha siasa wiki hii. Kundi hilo, linalojulikana...
1 Reactions
11 Replies
540 Views
Wadau hamjamboni nyote? Afisa wa ngazi ya juu wa Hamas asema hangeunga mkono mashambulizi ya Oktoba 7 ikiwa angejua madhara kwa Gaza Mwanachama wa ngazi ya juu wa ofisi ya kisiasa ya Hamas...
1 Reactions
14 Replies
944 Views
Back
Top Bottom