International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Norwegian fuel company Haltbakk Bunkers has announced it will cease supplying fuel to U.S. military forces in Norway and American ships docking in Norwegian ports, citing dissatisfaction with...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Serikali ya Uingereza imetangaza kuipa mkopo nchi ya Ukraine wa kiasi cha Paundi bilioni 2.6 kwa ajili ya kununua silaha za kijeshi ili izidi kujiimarisha na kujilinda dhidi ya Urusi. Makubaliano...
4 Reactions
12 Replies
858 Views
Alisema anajua. Anatafutwa na Marekani na siku yoyote atauliwa BAADA ya kifo sikuwahi sikia HATA nchi ya afrika uliohuzunika na kusema polen WA Libya Mwamba huyu NDIE PEKEE aliapa kama Marekani...
0 Reactions
5 Replies
558 Views
Maafisa wa Kremlin wanahatarisha matarajio ya uwekezaji wa faida kubwa kwa makampuni ya nishati ya Marekani, inaonekana wanataka kumshawishi Rais Trump kwamba mafanikio makubwa ya kiuchumi...
3 Reactions
3 Replies
409 Views
Rais wa Marekani Donald Trump amesema anataka Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amuombe radhi hadharani ndipo atakubali kurudisha upya uhusiano kati ya Marekani na Ukraine baada ya Viongozi hao...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amesema hana wasiwasi kuhusu hatma ya NATO, akisisitiza kuwa muungano huo haupo hatarini. Akizungumza katika mahojiano na Fox News, alisema nchi za Ulaya ni...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Mfalme Suleimani aliwahi kusema hakuna jipya chini ya jua. Jana limetokea jambo ambalo limeshangaza dunia kidogo, lakini ukweli ni kwamba kama wewe ni msomi wa historia utafahamu kwamba fedheha...
24 Reactions
26 Replies
2K Views
Bombe zinazotupwa na DRC kuelekea Rwanda, kwenye Gisenyi, karibu na mpaka wa Congo, Rwanda inatumia mfumo wake wa ulinzi wa angani, Iron Dome, kuharibu mabomu hayo angani kabla hayajafika ardhini...
10 Reactions
136 Replies
8K Views
Israel imekubali kuongeza muda wa usitishwaji wa mapigano huko Gaza ambao utadumu kwa muda wa Ramadhani na Pasaka ya Kiyahudi. Hamas hapo awali ilikataa wazo la kuongeza muda huo, badala yake...
0 Reactions
0 Replies
323 Views
Kama kuna kitu nimejifunza kutokana na kurushiana maneno kati ya Trump na rais wa Marekani na Zelensky wa Ukraine, ni kwamba vita vinaweza kusanbabisha mtu kuuza nchi yake. Marekani imetumia...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu, kilichotokea pale white house kati Zelensky dhidi ya Rais wa Marekani na Makamu wake ambapo Zelensky kagomea hadharani bila woga matakwa ya viongozi hao wawili wenye nguvu duniani, na...
6 Reactions
28 Replies
1K Views
Moja ya maeneo tata ya siasa za kimataifa ni kuwa nchi kubwa na zenye uwezo zaidi wa kijeshi zimeshindwa vita katika nchi ndogo katika miaka 50 iliyopita, kuanzia vita ya Vietnam mpaka ya hivi...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo tarehe 1 Machi, baadhi ya wapiganaji wa FDLR waliokamatwa na M23, katika vita vya Goma, vilivyoiacha Goma mikononi mwa M23, tarehe 27 January 2025, watafikishwa mpaka wa La Corniche kati ya...
2 Reactions
10 Replies
806 Views
Siasa za nje za Marekani na misimamo yao ni ya kibaguzi na kigeugeu cha hali ya juu.Rais Zelensky hakulijua hilo aliposhawishiwa afanye chokochoko kwenye mpaka wa Urusi. Pamoja na ujinga aliokuwa...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Mojawapo ya maswali aliyoulizwa Zelenskyy leo na watu wa Trump katika mkutano wa hovyo wa waandishi wa habari wa Trump na timu yake ni kwa nini havai suti Oval Office/Ikulu ya Marekani...
12 Reactions
65 Replies
4K Views
Binafsi sioni sababu za Zelensky kuendelea kuishukuru Marekani, wakati amefanya hivyo mara nyingi. Tena kipindi hiki Ukraine yuko kwenye wakati mgumu sana, kwa kuzingatia kwamba: 1. Trump...
1 Reactions
2 Replies
512 Views
Russia invaded a sovereign country which it's territorial integrity was signed and granted by US, England and Russia. Budapest memorandum Dec 5th 1994. Russia violated Geneva conventions, killing...
3 Reactions
7 Replies
742 Views
Lebanon yatwaa dola milioni 2.5 zilizokuwa zikitumwa kwa Hezbollah kutoka Iran baada ya kumnasa mtu kwenye uwanja wa ndege katika tukio "lisilo na mfano". Mtu anayedaiwa kubeba dola milioni 2.5...
0 Reactions
1 Replies
431 Views
Mimi nakaona haka kajamaa ni kakuda sana. Kuna namna kanataka kafanye uboss huku kenyewe ndio kaliko na tabu. Hakajui bila US hio nchi yake ingekuwa mkoa wa Urusi tayari
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Nipo ibadani leo machi mosi hapa Kanisa la Wasabato salasala na nimefurahi mno taarifa ikisema mapato ya zaka yamepaa na kufikia milioni 120 Kwa mwaka 2024 kutoka milioni...
5 Reactions
18 Replies
525 Views
Back
Top Bottom