International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wonjun Choi, VP na Head wa Samsung Mobile Experience (MX) Division, amepandishwa cheo kuwa President wa MX Development Division. Samsung ilitangaza mabadiliko haya Machi 4, na Choi ataendelea...
2 Reactions
3 Replies
484 Views
1. Rampant Corruption and Poor Compensation One of the most significant issues plaguing the Armed Forces of the Democratic Republic of Congo (FARDC) is systemic corruption. Soldiers are often...
0 Reactions
0 Replies
469 Views
Kumekuwa na maneno mengi sana eti Zelensky mchekeshaji au comedian. Mi nasema hapana kwa jinsi ambavyo kaonesha uwezo mkubwa dhidi ya trump. Sasa nani anapaswa kuwa comedian kati ya hao wawili
2 Reactions
17 Replies
883 Views
Huko kwa nchi za ulaya anakosema anaenda kutafuta sapoti labda ni faraja tu lakini kwenye suala la pesa na vifaa atazungushwa sana. Kwenye umoja wa ulinzi wa nchi za ulaya na Marekani, ni...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Siku chache zilizopita Zelensky alitrend kweny vichwa vya habari kwa kukataa kusaini mkataba huku baadhi ya vyombo vikimsifu ni shupavu, hodari, Hero, n.k. Zelensky alidhani kwamba baada ya...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
The obvious groups will be Druze state, Kurdi state and what will remain as Syria, may be. The threat for the Shia military group is high and very obvious to also form their own part. The winner...
2 Reactions
10 Replies
726 Views
Februari 28, 2025 Wakuu wa Umoja wa Ulaya wanamwambia Zelensky kwamba "hauko peke yako" baada ya kukashifiwa na Trump katika Ikulu ya White House Wakuu wa Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen na...
6 Reactions
126 Replies
7K Views
Februari 28, 2025, Donald Trump kupitia mtandao wa X, alimkashifu Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky kwa kutoheshimu nchi ya Marekani wakati wa mkutano wake na raisi huyo katika ikulu ya...
8 Reactions
61 Replies
4K Views
Wadau hamjamboni nyote? Hatimaye zelensky amekubali kuingia mkataba wa kuuza madini adhimu kwa Marekani baada ya mikwara mingi Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Ukrainian President...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Wanakumbi. Msemaji wa Brigedi za Al-Qassam, Abu Obaida: Ikiwa ni sehemu ya makubaliano ya Mafuriko ya Al-Aqsa kwa ajili ya kubadilishana wafungwa, Vikosi vya Al-Qassam vimeamua kukabidhi maiti...
4 Reactions
122 Replies
3K Views
Mnamo tarehe 1 Machi 2025, maafisa wa ECOWAS waliotumwa nchini Guinea Bissau kuzungumzia tarehe mpya ya uchaguzi walilazimika kuondoka nchini humo baada ya vitisho kutoka kwa Rais Umaro Sissoco...
0 Reactions
3 Replies
447 Views
Wadau kwema? Ni kawaida kwa taifa moja kuwa na mgogoro na taifa lingine, kama tu jinsi mtu na mtu wanaweza kuwa na migogoro baina yao. Migogoro hii huibuka pale tu ambapo kuna mwingiliano wa...
1 Reactions
2 Replies
442 Views
Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza anaeshughulikia mambo ya Afrika Lord Collins ameweka wazi bila shaka yoyote kwamba serikali ya Rwanda inashirikiana na vikundi vya ugaidi kama vile ISIS ya Iraq...
15 Reactions
70 Replies
3K Views
Trump ni Rais wa watu wa Marekani, ni lazima atetee maslahi ya watu wake Hata sisi watanzania tunatamani tupate kiongozi wa kutetea maslahi yetu Nimefuatilia vijana wa Marekani wanampenda sana...
9 Reactions
63 Replies
5K Views
Hii habari hutaisikia ikipewa kipaombele au ikivuma, Iko hivi, myahudi aitwae Mordechai Brafman huko Miami marekani amepewamiminia risasi wayahudi wawili akidhan ni wapalestina, baada ya majeruhi...
9 Reactions
43 Replies
2K Views
Utangulizi: Profesa Sachs alianza kwa kueleza uzoefu wake wa miaka 36 akifuatilia kwa karibu matukio katika Ulaya Mashariki, Umoja wa Kisovyeti wa zamani, Urusi, na Ukraine. Alitaja kuwa mshauri...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Mabishano Makali Katika Oval Office: Zelensky Aingia Katika Mvutano Mkubwa na Viongozi wa Marekani Rais DonaldTrump na Rais wa Ukraine #VolodymyrZelensky walikuwa na mivutano mikali wakati...
15 Reactions
315 Replies
18K Views
Waziri wa mambo ya nje wa Argentina Santiago Cafiero amesema tayari ameshamjulisha mwenzake wa Uiengereza James Cleverly nia ya nchi yake kujitoa kwenye mkataba wa mashirikiano uliosainiwa mwaka...
7 Reactions
47 Replies
3K Views
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ilijiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) mwaka 2022 kwa matumaini ya kukuza uchumi, kuimarisha ushirikiano wa kikanda, na kupata msaada wa kijeshi...
0 Reactions
1 Replies
498 Views
Back
Top Bottom