International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kuna hisisa za Ghadhabu nchini Somalia baada ya mtoto wa kike mwenye umri wa miaka minane, ambaye alikuwa ametoweka kwa miezi sita, kupatikana akiishi na mwanamume aliyesema kuwa ni mumewe...
9 Reactions
58 Replies
3K Views
Mike Johnson, spika wa bunge la Marekani amezua gadhabu kutoka kwa raia wengi na wabunge wenzake baada ya kuhairisha bunge wiki nzima kufuatia kushindwa kuzuia muswaada wa mbunge mmoja wa chama...
1 Reactions
1 Replies
355 Views
Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz ametangaza upanuzi mkubwa wa operesheni ya jeshi huko Gaza inayohusisha unyakuzi wa maeneo makubwa ya ardhi ambayo "yatajumuishwa katika maeneo ya usalama...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Anaamini kwamba Umeme na Maji ni huduma za Msingi ambazo binadamu anahitaji kuzipata Tunayakujifunza kwa Watawala na Wapiga kura huku Kusini mwa Jangwa la Sahara Mungu ambariki huyu KIJANA ...
24 Reactions
90 Replies
3K Views
Sasa tunapitia Ukanda wa Gaza, na tunaongeza shinikizo hatua kwa hatua, kuteka maeneo na kuwaondoa magaidi." https://x.com/vividprowess/status/1907465451640115531?s=61
1 Reactions
4 Replies
426 Views
Ndege-vita sita aina ya B2 kwa sasa zimo kwenye kisiwa cha Diego Garcia. Zikisubiri tu maelekezo.!!!!
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Mwanafunzi wa chuo kikuu anayelengwa na Trump aondoka Marekani saa 9 zilizopita. Mwanafunzi mhitimu wa Chuo Kikuu cha Cornell ambaye viza yake ya Marekani ilifutwa kutokana na maandamano dhidi ya...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Ukweli usemwe Naweza kua sipo field ila kwa huu mtililiko wa Mambo nirahisi kuona matobo na udhaifu uliopo haitaji kuwa na akili za jasusi kung'amua unafiki,usaliti unaondelea hapa kati tangu...
12 Reactions
46 Replies
2K Views
Hapa akiulizwa na mtangazaji kuhusu gari za EV za BYD Alionekana ni mtu mwenye furaha sana iliyo pitiliza Hali ya sasa ilivyo sasa In 2024, BYD surpassed Tesla to become the world's largest...
6 Reactions
44 Replies
3K Views
Nchi kadhaa za kiarabu zilizokubaliana kutoa mabiloni ya dola za kimarekani kuijenga upya Gaza ni kundi la watu waoga sana ambalo Netanyahu na Trump wanalidharau sana. Siku chache tu tangu azimio...
7 Reactions
44 Replies
2K Views
Marco Rubio anasema Marekani ilibatilisha angalau viza 300 vya wanafunzi wa kigeni siku 5 zilizopita. Waziri wa maswala ya kigeni wa Marekani Bw. Marco Rubio anasema kuhusiana na uwanaharakati wa...
3 Reactions
9 Replies
501 Views
Israel Channel 14: "Shambulio kubwa dhidi ya Iran litaanza hivi karibuni, shambulio ambalo halijawahi kutokea tangu Vita vya Kidunia vya pili."
2 Reactions
7 Replies
793 Views
Vita vinavyoendelea mashariki ya kati kwenye nchi mbali mbali vinazidi kuwa tata. Marekani wiki mbili zilizopita iliamua kushambulia maeneo ya Yemen baada ya tishio la Houth kuwa wangerudi...
1 Reactions
12 Replies
908 Views
Maafisa wa uokoaji walisimama kwa dakika moja ya kimya karibu na jengo la Sky Villa condominium, moja ya maeneo yaliyoathirika zaidi na tetemeko la ardhi la Machi 28, katika jiji la Mandalay mnamo...
1 Reactions
0 Replies
558 Views
Ningependa kujuzwa na wajuvi wa mambo na wataalam wa siasa za kimataifa katika hili swali langu. Je, nchi ya Marekani ina shida gani na haya mataifa mawili Iran na Korea Kaskazini ? Kwa nini...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
US Senator Cory Booker has broken the record for the longest speech ever delivered in the Senate. The New Jersey Democrat's marathon address, a symbolic protest against President Donald Trump, in...
1 Reactions
0 Replies
428 Views
Tunakumbuka Trump alipoingia madarakani moja ya jambo alitaka ni kuona Panama Canal itumike kwa kuinufaisha Marekani. Changamoto ipo kwenye kumiliki bandari 2 za kimkakati zilizo karibu na Panama...
3 Reactions
2 Replies
621 Views
B-1 Ndege-Vita ya Kimkakati kutoka Marekani nayo inaelekea huko Mashariki ya kati ili kuungana na Baba wa madege yote B-52 watakuwa huko Mashariki ya kati kusubiri kupangiwa kazi ya kufanya Katika...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Baadhi ya Raia nchini Burkina Faso wameanzisha utaratibu wa kutumia muda wa usiku katika barabara na maeneo muhimu ya mji mkuu wa Ouagadougou badala ya kulala majumbani mwao ili kumlinda Rais...
12 Reactions
42 Replies
4K Views
Wadau hamjamboni nyote? Katika Mabadiliko ya Ghafla, Netanyahu Afuta Uteuzi wa Mkuu wa Shin Bet Kufuatia Upinzani wa Washirika Masaa 24 tu baada ya kutangaza uteuzi huo, Waziri Mkuu amebadili...
1 Reactions
9 Replies
792 Views
Back
Top Bottom