International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Hii ni baada ya juhudi nzito ya Vikosi vya NATO,pamoja na jeshi la Marekani, Lithuania, na Poland, vilivyokuwa vikishirikiana kutafuta chombo cha M88A2 Hercules ya Marekani iliyozama ikiwa na...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Mhalifu wa kivita aliyepatikana na hatia nchini Uganda ametangaza vuguvugu jipya la waasi lililo na nia ya kuiangusha serikali katika jimbo la Ituri mashariki mwa Kongo, na kusababisha tishio...
2 Reactions
4 Replies
557 Views
Sio kila nchi inaendana na ajenda ya BRICS ya kubadilisha dola ya Marekani na sarafu za ndani kwa mafuta. Kulipa malipo ya mafuta kwa fedha za ndani kunaleta hatari kubwa ambayo inaweza kuathiri...
0 Reactions
0 Replies
341 Views
Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7.7 limetikisa Myanmar leo na Thailand na kusababisha hali ya dharura kutangazwa katika nchi zote mbili. Hadi sasa watu elfu Moja wamefariki huko Mynmar na...
3 Reactions
56 Replies
3K Views
Serikali ya Yemen imetangaza kuiangusha ndege ya Marekani ya kuongozea mapigano huko Red Sea, Maafisa wa Pentagon wamesema ndege ilipoteza mawasiliano na Harry S. Truman Aircraft Carrier na...
7 Reactions
95 Replies
4K Views
Zimbabwe imekumbwa na hali ya taharuki kufuatia miito ya maandamano ya upinzani. Serikali imechukua hatua kali, ikiwa ni pamoja na kukamata wanaharakati na viongozi wa upinzani, ili kuzuia...
3 Reactions
7 Replies
566 Views
Jana asubuhi, Alexandra, Mtumishi wa Mungu katika jiji la Kiev, Ukraine, alinusurika kuuawa kwa bomu lililodondoshwa na drone ya Urusi, juu ya nyumba aliyokuwa amelala. Mlipuko wa bomu hilo...
5 Reactions
19 Replies
904 Views
Mishahara inaendelea kuwa sababu kuu inayowashawishi watu binafsi kukubali kazi, na katika nchi nyingi za Afrika, wafanyakazi, hasa wale walio na majukumu ya kulipwa, hupokea fidia ya ushindani...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Rex Kazadi, mgombeaji wa uchaguzi wa urais wa DRC wa Desemba 2023, amejiunga na safu ya waasi ya Alliance Fleuve Congo (AFC/M23), kulingana na ripoti zinazoonyesha kwamba alijiandikisha Jumapili...
2 Reactions
11 Replies
853 Views
Majeshi ya Israel yametoa amri ya watu wote kuondoka huko RAFAH kabla ya majeshi hayo kuanza fagiafagi ya magaidi huko na kwa bahati nzuri watu wa h7ko wakawa wa elewa wakaanza kufungasha virago...
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Magaidi wa Kihouthi wanaoungwa mkono na Iran wameangamia kutokana na mashambulizi makali katika muda wa wiki mbili zilizopita. Wapiganaji na Viongozi wao wengi hawapo nasi tena. Tunawapiga kila...
3 Reactions
9 Replies
640 Views
Ile tabia ya viongozi wa Africa kung'ang'ania madarakani baada awamu zao kumalizika hatimaye imefika huko kwa waliokuwa baba wa demokrasia. Mtawala wa US, Donald Trump ameanza kuchombeza uwezekano...
8 Reactions
37 Replies
2K Views
Trump kwa Ayatollah Khamenei: "Usipofanya makubaliano, kutakuwa na milipuko ya mabomu ambayo hujawahi kuona" Trump azidisha vitisho kwa Iran: "Ikiwa hautafanya makubaliano, kutakuwa na milipuko ya...
3 Reactions
10 Replies
889 Views
Moderator Tafadhali rekebisha kichwa cha habari kisomeke bilioni 1.4 na siyo bikini 1.4 Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya Israel itajenga uzio au fensi kwenye mpaka wake na Jordan yenye...
0 Reactions
8 Replies
449 Views
Takwimu za utabiri wa Shirika la Jiolojia la Marekani (USGS) zinaonesha idadi ya vifo huenda ikaongezeka na kufikia zaidi ya 10,000, huku hasara za Kiuchumi zikitarajiwa kuzidi pato la Taifa kwa...
0 Reactions
3 Replies
924 Views
My Take Ikumbukwe huyu Rais wa Somalia ni wale Vibaraka wamesoma USA kama ilivyo Kwa Felix Tchisekedi wa DRC. ============== Somalia iko tayari kutoa udhibiti wa kipekee wa Marekani kwenye vituo...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alizungumzia madai dhidi ya serikali kuhusiana na juhudi za kuwarudisha mateka ambao bado wanashikiliwa huko Gaza kwenye kikao cha baraza la mawaziri leo (Jumapili)...
3 Reactions
30 Replies
1K Views
Iran imetishia kuwa endapo itashambuliwa kijeshi na Marekani, italenga kambi ya Marekani na Uingereza zilizoko Diego Garcia umbali wa Kilomita 3,800 kutoka Iran, huku kombora la masafa marefu...
3 Reactions
59 Replies
3K Views
Le Pen, anakabiliwa na kesi ya kufuja Euro Milioni 3 fedha za umma kwa kuwaajiri wafanyakazi hewa wakati alipokuwa mbunge kwenye bunge la Ulaya kati ya mwaka 2004 hadi 2016. Hatua hii ni pigo kwa...
1 Reactions
6 Replies
425 Views
Mapokezi ya Msemaji wa waasi wa M23 wanaoungwa Mkono na Rwanda Willy Ngoma alivyopokelewa Katika Kambi ya Majeshi ya SADC. Video hii inaonyesha akipiga stori na wanajeshi wa SADC Kutoka Tanzania...
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Back
Top Bottom