Mwanzoni Israel ilitaja sababu kibao kama ndio lengo la kuingia Gaza na ikaungwa mkono na US na UK na mataifa mengine dhaifu ya Ulaya. Nyoyoni mwao walikuwa wana mengi waliyoyaficha.
Hatimae...
Kasi ya kuuliwa wapalestina na kuvunjiwa utu wao imeongezeka sana huko Gaza.
Kazi hiyo kwa sasa imekuwa nyepesi kwa mayahudi kuifanya kwani Hamas ambao ndio waliokuwa watetezi wamedhoofika...
Muda mchache uliopita Rais wa Korea kusini ametangaza Hali ya hatari na kusema kuanzia Leo serikali inaongozwa chini ya sheria ya kijeshi, amevunjwa Bunge , vyombo vyote vya habari vipo chini ya...
Ukiangalia Al Jazeera news broadcast, kinachofanyika Gaza na Israel, hii ni exterminate war. You clear each and everything in your vicinity, ndicho anachofanya Israel.
Dunia imenyamaza, waarabu...
Waziri Mkuu wa Japan Shinjo Abe, masiku kadhaa yaliyopita alikuwa Tehran Iran kukutana na viongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Irani.Shinjo Abe alikuwa amepeleka ujumbe kutoka kwa Rais Trump kwa...
Al Jazeera TV has, most frequently, been covering the killings in Gaza by Israel army focusing on the impact on Children. They frequently highlight the suffering of children in order to attract...
Kupitia msemaji wake kundi la wapiganaji wa Hamas wamesema kwa sasa wamefunga milango yote ya kuzungumza na Israel.Hawatishiki na chochote na hawatekelezi amri yoyote kwa shinikizo.
Baada ya...
Rais wa Nigeria, Bola Tinubu ameelekea Paris kwa ziara fupi, ambapo atatathmini utendaji wa serikali yake na kutathmini mafanikio ya mageuzi yanayoendelea.
Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Rais...
Ifike pahala,eitha tukubaliane kwamba, Mungu huyo kaishiwa upendo kwa watu wake na ama hana nguvu na au huyupo kabisa ila majina yake tu
Mauwaji yanayotokea huko Gaza, ni rahisi kuamini hilo...
Wakati Trump anamsubiria Narendra Modi Waziri mkuu wa India kufika White House Trump akawa anapiga story na waandishi wa habari, wakumuuliza vipi kuhusu BRICS, amewajibu kwa tambo na makeke sana...
Marekani kutoza “ushuru sawa” kuleta changamoto kubwa kwa Afrika
Hivi karibuni serikali ya Marekani ilitangaza sera mpya ya ushuru wa forodha, na kutoza viwango sawa vya ushuru wa forodha...
Baada ya kukaa jela kwa miaka minane mwinjilisti kutoka Nigeria anayetuhumiwa kuwabaka wasichana wa kanisa lake la Afrika Kusini amepatikana hana hatia kwa mashtaka yote.
Timothy Omotoso alikuwa...
Kwa mujibu wa ripoti mpya iliyothibitishwa na Forbes, Elon Musk sio tena bilionea namba moja duniani; nafasi hiyo imechukuliwa na Bernard Arnault na familia yake, wenye utajiri wa dola bilioni...
Wakina Bismark walipokaa Berlin waiibie na kupora mali za Africa matokeo yalionekana wazi. Ulaya ilitajirika KWA muda mfupi sana.
Kuna tetesi na tuhuma KUWA baadhi ya nchi za Africa zinaiibia...
Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Hamas Suhail al-Handi: amesema
"Tuko tayari kuwaachilia mateka wote kwa sharti kwamba vita viishe, vivuko vifunguliwe, na Ukanda huo ujengwe upya.
Tunakataa masharti...
Kama kuna wapalestina hawajasoma yanayowapata wenzao wanaojipendekeza kwa adui basi wasome mikasa inayowapata marubani hodari walioshirikiana na jeshi la Marekani kuwapiga wenzao wa Taliban...
Kuna hisisa za Ghadhabu nchini Somalia baada ya mtoto wa kike mwenye umri wa miaka minane, ambaye alikuwa ametoweka kwa miezi sita, kupatikana akiishi na mwanamume aliyesema kuwa ni mumewe...
Mike Johnson, spika wa bunge la Marekani amezua gadhabu kutoka kwa raia wengi na wabunge wenzake baada ya kuhairisha bunge wiki nzima kufuatia kushindwa kuzuia muswaada wa mbunge mmoja wa chama...
Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz ametangaza upanuzi mkubwa wa operesheni ya jeshi huko Gaza inayohusisha unyakuzi wa maeneo makubwa ya ardhi ambayo "yatajumuishwa katika maeneo ya usalama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.