Sio kificho kusema Hamas na Hizbullah wameumizwa sana kijeshi japo kuna tofauti kati yao.Na vile vile ni wazi kuwa Israel imepagawa ikijiona kama imeshinda.
Kupagawa kwa Israel kunaonekana kwamba...
Mazishi makubwa ya wanajeshi wasiopungua 11 wa Jolani huko Syria
Jana usiku walijaribu kuwavizia askari wa Israel IDF walipokuwa wakifanya kazi huko Daraa, wakashindwa kabisa.Matokeo yake wao...
Marekani na Kanada waungana na India, Saudi Arabia, Cuba, Misri, Kenya, Pakistan, na Oman huku Brazil ikisitisha safari za bila visa – Hatua mpya za kukuza utalii na usalama: Mambo mapya...
Defense Minister Israel Katz revealed for the first time documents found in Hamas tunnels, proving a direct connection between Yahya Sinwar and Muhammad Deif and the commander of the Iranian Quds...
Masoko ya hisa nchini Marekani yaneporomoka vibaya na kupata hasara kubwa ya $6trion ndani ya siku mbili tu hivyo kufikisha hasara ya $11 trion kwa masoko ya hisa na kifedha tangu Trump...
Netanyahu kama alivyo mwenzake Donald Trump akili zao si za kawaida.Wanajiamini kuwachokoza na kutaka kupigana na kila mtu duniani kwa kujiamini kwa hali ya juu.
Hiyo ni kwa vile Israel kwa sasa...
Wakuu,
Huko nchini Ghana, mlinzi wa Rais anayemaliza muda wake Nana Akufo-Addo amezua taharuki baada ya kuzimia na kukata moto wakati Rais huyo anahutubia.
Jarida la Punch, limedokeza kuwa...
Trump bwana kawakalia kooni kweli kweli wachina.
Inavyoonekana ana lala na kuwaota wachina kila siku, hii hapa ni baada ya China kutangaza nyongeza ya asilimia 34% kwa ushuru kwa bidhaa zote za...
Iranian president sacks deputy for 'lavish' Antarctic cruise
Malu Cursino
BBC News
Tasnim News Agency
State media released a picture of Shahram Dabiri and his wife, superimposing a marker on the...
Wakuu mimi sio mchumi ila nimeumia akili za kawaida
Wakati wa utawala wa Clinton kulianzishwa ushirikiano kitu kinaitwa Goa yaani ushirikiano wa USA na nchi zinazoinukia kiuchumi za africa na...
IDF ilitoa matokeo ya awali kutoka kwa uchunguzi wake kuhusu mauaji ya waokoaji 15 huko Rafah mnamo Machi 23, ikisema kuwa wanajeshi walifyatua risasi kwa makosa msafara wa ambulensi, wakiamini...
Wakati wa kulinganisha sababu na athari za ununuzi wa ardhi na UAE katika nchi za Afrika kama Tanzania, ni muhimu kuangalia motisha na matokeo ya muda mfupi na mrefu. Hapa kuna sababu kuu na...
Raisi wa Lebanon na waziri wake mkuu wote wamekuwa wakali dhidi ya nja za Marekani na Israel kuwalazimisha kufanya mambo ambayo hayana maslahi na taifa.
Kwanza ni kuhadaiwa kurejesha uhusiano na...
Waziri mkuu wa israel, netanyahu,ameitisha kikao cha kujadili upanuzi wa ushawishi wa uturuki ndani ya syria mpya baada ya Assad
Watawala wapya wa Syria waligeukia msaada wa kiusalama kea uturuki...
Duru za pande hasimu nchini Kongo zimesema serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na waasi wa M23 wanajiandaa kwa mazungumzo ya ana kwa ana April 9.
Wizara ya mambo ya kigeni ya Marekani...
Trump bwana ana vituko kweli kweli anataka kumuendesha bwana Jerome Powell.
This would be a PERFECT time for Fed Chairman Jerome Powell to cut Interest Rates. He is always “late,” but he could...
Sarafu ya Iran yashuka hadi kufikia kiwango cha chini dhidi ya dola ya Marekani huku mvutano ukiongezeka.
Sarafu ya Rial ya Iran iliuzwa Jumamosi kwa rekodi ya chini dhidi ya dola ya Marekani...
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kuufahamisha Umma kwamba, Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imeondoa hitajio la visa kwa Raia wa Tanzania...
Trump anazidi kuwaumbua Wapinzani wanaodanganya watu kwamba Rais wetu ana madaraka makubwa.
Huyu wa Nchi kubwa ya Kidemokrasia mbona nae ana madaraka makubwa kuliko Hadi wa kwetu?
Ikumbukwe Trump...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.