Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kuufahamisha Umma kwamba, Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imeondoa hitajio la visa kwa Raia wa Tanzania...
Trump anazidi kuwaumbua Wapinzani wanaodanganya watu kwamba Rais wetu ana madaraka makubwa.
Huyu wa Nchi kubwa ya Kidemokrasia mbona nae ana madaraka makubwa kuliko Hadi wa kwetu?
Ikumbukwe Trump...
Klaus Schwab, mwanzilishi wa Jukwaa la Uchumi Duniani, amefahamisha wafanyakazi na wadhamini kwamba atajiuzulu wadhifa wake wa uenyekiti.
Baada ya kuongoza Jukwaa kwa miongo mitano na kuunda...
Mamlaka nchini Burkina Faso zinamshikilia mwanachama wa asasi ya kiraia kwa kosa la kukosoa utawala wa kijeshi wa Kapteni Ibrahim Traore.
Katika taarifa yake ya Aprili 4, 2025, asasi hiyo iitwayo...
Mohammed Awad aliingia Nir Oz mara kadhaa tarehe 7 Oktoba. Alikuwa mmoja wa viongozi wa mauaji hayo na inaonekana alihusika katika utekaji nyara na mauaji ya kikatili ya Shiri, Ariel, na Kfir...
Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso Kapteni Ibrahim Traore amedai nchi haiwezi kupata maendeleo ikiwa katika mfumo wa demokrasia.
Kapteni Traore alitoa kauli hiyo mnamo Jumatatu ya tarehe 1 April...
Rais wa Marekani Donald Trump ameitangaza na kuionesha rasmi kadi ya gold (Gold Card au Trump Card) yenye sura ya Trump ambayo itagharimu USD milioni 5 (Tsh. bilioni 13.375) ambapo Mtu...
Habari za uhakika Handaki lenye urefu wa kilomita moja limeangamizwa na majeshi ya Israel huko Gaza. Magaidi wa Hamas wanaendelea kupoteza maeneo kila kukicha. Mahandaki huko Gaza ndiyo maficho ya...
IDF imewaangamiza makamanda wa polisi wa Gaza Murid Farjallah na naibu wake Yunus al-Masraf kufuatia shambulio dhidi ya vikosi vya usalama huko Deir al-Balah, katikati mwa Gaza.
Baada ya uongozi wa Trump jana kutangaza kuongeza tariffs kwa mataifa mbalimbali dunia kutia ndani China, leo pia China nayo imetangaza kuongeza tariffs kwa 34% kwa bidhaa zote za Marekani...
Kwenye mkutano wa viongozi wakuu wa majeshi ya nchi wanachama wa SADC, huko Goma, Serena Hotel, badhi ya makubaliano yamefikiwa, ikiwa ni pamoja na haya:
-AFC/M23 kusaidia majeshi ya SADC...
Libya yahofia 'njama kubwa' za kuigeuza asilia ya taifa Libya, iwe nchi ya Waafrika weusi wengi.
Libya yapiga marufuku mashirika yasiyo ya kiserikali ya kigeni yanayoshutumiwa kutaka 'kuwapa...
Vikosi vya Israel vimemuangamiza Mohammed Saleh Mohammed Al-Bardawil, Mpiga propaganda wa Hamas na mgaidi wa kisaikolojia. Bardawil alikuwa akifanya kazi katika kutengeneza video za kizushi za...
Kuna wahamiaji halali huko Marekani inadaiwa wamechanganywa kimakosa na wengine wanaodaiwa kuwa ni wahamiaji haramu wakatupwa geza la watu watukutu zaidi wa magenge ya uhalifu huko El Salvador...
Iran imeripotiwa kuwaamuru wanajeshi wake kuondoka Yemen na inapunguza uungaji mkono wake kwa Wahouthi huku kukiwa na mashambulizi makubwa ya anga ya Marekani dhidi ya kundi hilo la waasi.
Gazeti...
Wakuu,
Inaonekana Marekani imeipokea ofa ya Rais wa Congo wa kuipa madini Marekani in exchange ya kupambana na M23
Mshauri mwandamizi wa Rais Donald Trump, Massad Boulos, amethibitisha kuwa...
Binadamu ni wanyama tu kama wanyama wengine. Tuache kuwacheka nyumbu wengi wakifurumushwa na simba mmoja.
Historia fupi hadi tumefika hapa: US ameanza kuisumbua dunia mara tu baada ya vita kuu ya...
Suppose, china and his allies and the world in general wakimsusia USA anaweza ku survive peke yake?
1. Industrial products zake ataziuza wapi?
2. Raw materials za viwanda vyake atazipata wapi?
3...
TRUMP KAWA SUPERHERO (TARIFFMAN!)
Ukiingia tu kwenye 18 zake unatwangwa na silaha ya maangamizi iitwayo 'TARIFFS' (sio FUTARI) ... HE HAS WEAPONIZED TARIFFS! :cool:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.