Pichani ni Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda na Swahiba wake kutoka Sudan Kusini wakiwa wanatembea kwa taabu kweli kweli.
Ninawashauri Wazee wangu hawa wapumzike waache vijana waongoze Nchi...
Mataifa zaidi ya 50 duniani yamesema yapo tayari kujadiliana na Marekani juu ya kuondoa vikwazo vya kibiashara kwa bidhaa za Marekani zinazoingizwa katika mataifa hayo. Hii inakuja baada ya...
'Hawataweza Kuzamisha Meli Zetu Tena!' Trump awaambia magaidi wa Houthi.
Rais wa Marekani Donald Trump, katika chapisho kwenye akaunti yake rasmi ya Ukweli wa Kijamii, alishiriki video ya...
Mapema leo (Jumatatu), IDF ilimpiga na kumwangamiza gaidi Mohammed Adnan Mansour, kamanda wa mizinga wa Hezbollah katika eneo la Taybeh kusini mwa Lebanon.
Wakati wote wa vita, Mohammed...
Masoko ya hisa ya Marekani Jumatatu hii, Aprili 7, 2025 yamefunguliwa yakiwa yameshuka kwa kasi kwa mara ya tatu mfululizo, huku ushuru uliowekwa na Rais Donald Trump ukiendelea kulemaza biashara...
Ukisoma ufunuo wa yohana utagundua ya kuwa haya yote yatokeayo duniani yalishatabiriwa 2000yrs ago. Taifa moja lenye nguvu duniani ndilo hilo marekani. Rais mmoja mwenye nguvu ndiyo huyo atawalaye...
Watu wengi wanatamani kuona vijana wetu wakiingilia kati aggression ya M23 inayoendelea nchi ya congo. Conspiracies zimekuwa nyingi mno kujua nikwanini vikosi vyetu havijaingilia kati kwa sasa...
Maandamano ya Kumpinga Trump yanazii kushika Kasi kote Duniani hasa USA na Ulaya akishutumiwa Kwa kuvuruga Uchumi na mahusiano ya Kimataifa.
Wakati hayo yakiendelea Wananchi wa Marekani...
Kamanda mkuu wa Hamas Hamada Abu Daqa, ambaye alihusika katika utekaji nyara wa askari wa IDF wakati wa shambulio la Oktoba 7, aliantami zwą katika shambulio la anga la IDF huko Bani Suheila...
Leo,usiku huu, Hamas walirusha maroketi kumi,mengi zaidi katika miezi kadhaa,habari toka israel zinadai wateule watatu walipata majeraha mepesi kama kawaida yao, isipokua magari tu...
Waasi wa M23 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameingia Bukavu, mji wa pili kwa ukubwa katika eneo hilo la mashariki.
Corneille Nangaa, kiongozi wa Muungano unaojumuisha waasi wa M23...
Kwa sababu sisi ni binadamu haikupaswa kutokea kitu kama hiki kinachotokea na kuvutia watu kukiona kwenye mbuga za wanyama kama vile serengeti na nyengine kadhaa nchini Tanzania na kwengineko...
Urusi inasema kwamba haitasambaza tena gesi kwa Poland na Bulgaria kwa sababu nchi zote mbili zilikataa kulipa kwa sarafu yake ya Rouble.
Umoja wa Ulaya umesema kuwa hatua hii ya Urusi ni sawa na...
Members Ritz na Webabu walituaminisha kuwa baada ya kile kipigo kule ndani Iran walikuwa wanajipanga kuja lipiza. Ni miezi mingi imepita wamejinyamazia tu. Toka wadhalilishwe na wanawake wa...
Wamarekani wameanza kutoa mlio baada Jeshi lao kutumia Dola billion 1 kushambulia mawe jangwani huko Yemen na kusema hasara tupu hamna lengo lolote lililofikiwa
NEW: 🇺🇸🇾🇪 The U.S. has spent over...
Kamanda wa kitengo cha upelelezi cha Golani cha Israeli anazungumza na askari wake wakati wanaunga Rafah!!! "Kila mtu unayekutana naye ni adui. Ukiona sura, muwashe moto, mwangamize, na usonge...
Sayari ya Mars imekuwa ikiwashangaza, kuwasisimua na kuwavutia binadamu kwa miaka mingi.
Maelfu ya miaka iliyopita, binadamu walikuwa wakishangaa na kujiuliza nini kinapatikana katika sayari hiyo...
Ni muendelezo wa Trump na kuwakalia kooni wachina toka awamu yake ya kwanza mpaka sasa kawaweka mdomoni kweli.
Trump anasema anachofanya sasa ni mapinduzi ya kiuchumi na hakika lazima washinde...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.