International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mwanasheria Mkuu, Helder Pitta Groz amethibitisha taarifa za Shirika la Polisi wa Kimataifa (Interpol) kumtafuta na kumkamata Isabel dos Santos, mtoto wa Rais wa zamani wa nchi hiyo. Isabel...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Bei za mafuta zilipanda Jumatano, zikirejea kutoka viwango vya chini vya miaka minne vilivyoshuhudiwa mapema katika kipindi hicho, baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kutangaza kuwa atazidisha...
7 Reactions
88 Replies
5K Views
Helikopta ya watalii iliyokuwa imebeba familia kutoka Hispania ilianguka katika Mto Hudson jijini New York, na kuua watu sita wakiwemo watoto watatu. Kwa mujibu wa maafisa waliotoa taarifa kwa...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Mamlaka nchini China Kaskazini zimewashauri wakazi wenye uzito wa chini ya kilo 50 kubaki ndani ya nyumba zao kutokana na upepo mkali unaovuma katika eneo hilo, zikitahadharisha kuwa watu wenye...
1 Reactions
0 Replies
617 Views
Usiku huu huko Yemen Houth wanapata kipigo cha mbwa-koko kutoka kwa mashambulizi ya ndege za kijeshi za Marekani hivyo tuwaombee tu ujinga uwalone wa kuingilia ugomvi usiowahusu huko Gaza.
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Magaidi wa Houth kutoka Yemen leo Wamejaribu kuishambulia Jerusalem kwa kurusha makombola ya Ballistic 2. Mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel iliweza kwa ustami mkubwa kuyapopoa na katika zoezi...
2 Reactions
15 Replies
935 Views
Wizara ya mambo ya ndani ya Marekani imeiamrisha taasisi ya mafao ya nchi hiyo kuorodhesha majina karibu 6000 ya wahamiaji kama wafu ili wasiweze kumudu maisha nchini humo na hatimae kujiondokea...
4 Reactions
42 Replies
2K Views
Haya siyo maneno yangu Bali ya kitabu cha Allah .kwa mujibu wa muislamu niliyekua naongea nae Leo maeneo ya posta ya zamani ananiambia waislamu wa Yemen ni tofauti na nchi zingine katika misimamo...
8 Reactions
30 Replies
1K Views
Jumla ya madaktari 200 wa kijeshi wameaini waraka unaotaka jeshi la Israel lisitishe vita Gaza ili kuokoa maisha ya mateka hata ikiwa kufanya hivyo itakuwa ni lazima kufanya mapatano na Hamas...
0 Reactions
2 Replies
457 Views
Kabla vita kuanza mwaka juzi Gaza ilikuwa ndio eneo pekee duniani lililokaliwa na watu wengi zaidi kwa kilomita mraba kuliko eneo lolote duniani. Baada ya karibu miaka miwili sasa Israel...
4 Reactions
81 Replies
3K Views
Wakuu Kuna video hii ikimuonesha Mwanajeshi wa Rwanda, ambaye amejikuta matatani nchini Msumbiji baada ya wananchi kumshtukia akiwa amevaa sare za jeshi la polisi wa Msumbiji na kumzonga wakitaka...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Ukiwa kwenye mlima wa Mizeituni Mji wa Yerusalem unaonekana hivi
1 Reactions
4 Replies
624 Views
Usiseme Iran inaandaa nuclear bali sema IRGC inaandaa nuclear. Usiseme palestine imerusha makombora bali sema hamas wamerusha makombora Usiseme Israel anapigana lebanon bali sema israel...
3 Reactions
7 Replies
463 Views
Katika kile kinachohesabiwa na wengi kama kuanza kutepeta kwa Trump rais huyo wa Marekani ameondoa bidhaa za electronics katika vita vyake vya tarrifs na China. Hata hivyo Wamarekani wengi...
8 Reactions
20 Replies
1K Views
Baada ya kuona China ameamua kutokupepesa macho, Sasa ameamua kufuta tozo zote za Simu, na Vifaa vyote vya electronic kutoka China. Kama amefuta hizi tozo, nini maana yakujifanya anaweka tozo...
10 Reactions
32 Replies
2K Views
Maadhimisho haya ktk miaka yetu hufanywa na wayahudi na hata wakiristo, ambapo wakiristo mbali na Pasaka huadhimisha pia UFUFUO wa YESU Kiristo Chimbuko lake ni Ukombozi wa Wana wa Israel kutoka...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Inasemekana marekani aliingiza pesa nyingi sana kutokana na mauzo ya SILAHA katika vita kuu ya dunia kuwauzia wa ulaya.Je ni kweli SILAHA ndo Zilizoipa mafanikio marekani na takwimu kwa sasa...
1 Reactions
3 Replies
406 Views
Vita vya kibiashara vya Trump vimepelekea kuporomoka kwa sarafu ya dola vibaya sana tangu miaka 10 iliyopita. Tayari Trump ameshafedheheka na vita vyake hivyo vya kibepari hata hivyo dola bado...
1 Reactions
14 Replies
893 Views
Shambulizi la anga la Israel limeharibu sehemu ya hospitali katika mji wa Gaza, wizara ya afya ya eneo hilo inayosimamiwa na Hamas imesema Video iliyowekwa mtandaoni ilionekana kuonyesha moto...
0 Reactions
5 Replies
454 Views
China suspends soybean imports from three US companies, including Louis Dreyfus, one of the world’s biggest agricultural trading companies. More than half of all soybean exports from the US go to...
9 Reactions
63 Replies
3K Views
Back
Top Bottom