UZI: Vita ya Kiuchumi ya Marekani na China 2025 – Na Afrika Ndio Inalipia Gharama Kwa Machozi
1. Mwaka 2025, si vita vya risasi—ni vita vya sarafu, teknolojia, na nishati. Na sasa moto wake...
Baada ya mtawala wa kidini wa Iran Ayatollah Khamenei kutoa tishio la kuifuta Israel kwenye uso wa dunia leo hii waziri Mkuu wa Israel amesema Israel haiwezi kufutwa na yeyote yule bali UGAIDI wa...
Hamas huko Gaza wanaendelea kupata kichapo cha mbwa-koko baada ya Jeshi la anga la Israel kuyashambulia maficho yao. Inasemekana magaidi wote waliokuwa wamejichimbie eneo hilo hat uko nao...
Unajua taarifa zako sasa kuhifadhiwa mwezini? Wanasayansi wanajenga Vituo maalumu huko.
Stephen Eisele ana uhakika kwamba siku moja kampuni yake itafungua kituo cha kuhifadhi data huko angani...
Donald Trump amemlaumu Volodymyr Zelensky kwa kuanzisha vita na Urusi siku moja baada ya shambulizi kubwa la Urusi kuwaua zaidi ya watu 30 nchini Ukraine.
Rais wa Marekani alisema kiongozi huyo...
Ukata wa taifa la Marekani kutokana na kujhusisha na vita kwa muda mrefu unazidi kudhihirika katika azma ya utawala wa Trump kutaka kufunga balozi zake kadhaa kote duniani.
Balozi hizo nyingi...
China imeonyesha kuchafukwa sasa wameingia kwenye Vita rasmi ya kibiashara sasa wanayanyoosha makampuni ya Marekani kitu ambacho kitasababisha mdororo wa kiuchumi na ukosefu wa ajira huko US.
The...
Waziri wa Usalama wa Kitaifa Itamar Ben Gvir anaapa kupambana na uamuzi wa Israeli wa kutaka kurejesha msaada kwa Gaza, akiita "kosa la kihistoria."
Anasema, "Maadamu mateka wetu wanakufa wakiwa...
Hawa wajomba, wanaenda kujaa kwa fally ipupa mil 65, mpaka wakafa 1500.
Walikua wanagombea kuzama ukumbini au wako kati.
Haya usiulize, nishahudhuria Diamond jubilee, Silent inn, leaders sana tu...
Mchungaji wa Kimarekani, Josh Sullivan, aliyetekwa na wanaume wenye silaha wakati wa ibada nchini Afrika Kusini, amepatikana akiwa salama baada ya majibizano ya risasi makali yaliyopelekea vifo...
Kundi la maprofesa wa Marekani limeishtaki serikali ya Donald Trump kutokana na kitisho chake cha kuzuia ufadhili wa serikali wa dola bilioni 8.7 kwa Chuo Kikuu cha Harvard.
Kesi hiyo...
Waziri Mkuu wa Israel Mwamba Benjamin Netanyahu a.k.a. BIBI leo hii kaamua kuwa te Bełda wanajeshi wake walioko huko Gaza aliambatana na Waziri wa Ulinzi wa Israel na Mkuu wa Majeshi wa Israel na...
Yemen: 6 waliuawa na 26 kujeruhiwa katika mashambulizi ya anga ya Marekani usiku
Ndege za kivita za Marekani ziliendelea kushambulia maeneo ya Wahouthi nchini Yemen usiku kucha.
Moja ya...
Rais wa kwanza mwanamke wa Namibia ameripotiwa kuamuru kuondolewa kwa Wamarekani zaidi ya 500, akisema, "Ikiwa Waafrika wanahitaji visa kuingia Marekani, basi Wamarekani pia wanapaswa kuhitaji...
Inasemwa kwamba asilimia kubwa ya raia wa Marekani hasa rednecks ni watupu sana kuhusiana na mambo ya nje ya taifa lao. Kwa hapa bongo wazungu wa aina hiyo, Ni kama wanafunzi wa wanaosoma shule ya...
Shambulio la angani la Israel limepiga lango la Hospitali ya Kuwaiti katika eneo la Muwasi, na kusababisha kifo cha mhudumu wa afya na kuwajeruhi wengine tisa, wakiwemo wagonjwa waliokuwa...
Inaripotiwa kwamba katika mkutano na Jenerali Sultan Makenga wa M23, uamuzi ulifikiwa kwamba silaha zote za SADC zitarudishwa kwao, huku M23 ikibaki na silaha za FARDC na FDLR.
Miongoni mwa...
China Yaagiza Benki Zake Kuu Kuisitisha Ununuzi wa Dola
Benki kuu ya China (PBOC) imewaagiza benki kubwa zinazomilikiwa na serikali kusitisha ununuzi wa sarafu ya Marekani (dola) ili kulinda yuan...
Polisi wa Kiislamu katika jimbo la Kano, kaskazini mwa Nigeria wamewakamata Waislamu 20 waliokutwa wakila mchana hadharani wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan ambapo pia Watu watano wamekamatwa...
Kwa mujibu wa taarifa ya TV ya waislamu MNTV, ni kwamba China ililazimisha watu hilo jamii ndogo la waislamu huko kwamba wasifunge ramadhani na watume video kila siku kuonyesha wanakula, ni nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.