Hospital ya Gaza yashambuliwa na Israel

Hospital ya Gaza yashambuliwa na Israel

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,009
Reaction score
61,260
Shambulizi la anga la Israel limeharibu sehemu ya hospitali katika mji wa Gaza, wizara ya afya ya eneo hilo inayosimamiwa na Hamas imesema

Video iliyowekwa mtandaoni ilionekana kuonyesha moto mkubwa na moshi ukifuka kutoka Hospitali ya Al-Ahli Baptist baada ya makombora kugonga jengo la ghorofa mbili.

Watu, pamoja na baadhi ya wagonjwa ambao bado wako kwenye vitanda vya hospitali, walirekodiwa wakikimbia kutoka kwenye eneo hilo.

Mwandishi wa habari wa eneo hilo amesema Jeshi la Ulinzi la Israeli (IDF) lilimpigia simu daktari na kumuonya kuondoka katika kituo hicho cha matibabu.

Hamas ilitaja shambulio hilo kuwa "uhalifu wa kutisha" wa Israel, ambayo ilisema inachunguza ripoti hizo. Hakuna majeruhi wameripotiwa, kulingana na huduma ya dharura ya kiraia.

Mwandishi wa habari wa eneo hilo, ambaye alikuwa akifanya kazi katika hospitali hiyo, amesema afisa wa jeshi la Israeli alimwita daktari anayefanya kazi katika idara ya dharura na kuwataka waondoke hospitalini mara moja.

"Wagonjwa wote na watu waliohamishwa lazima watoke nje kwa usalama wao," afisa huyo aliripotiwa akisema.

"Una dakika 20 tu kuondoka."Picha kwenye mitandao ya kijamii zilionyesha wafanyakazi na wagonjwa wakitoka nje ya jengo hilo kukiwa bado na giza. Makumi ya Wapalestina, wakiwemo wanawake na watoto, pia walionekana wakikimbia kutoka kwenye ua ndani ya hospitali hiyo walimokuwa wakitafuta hifadhi.

Al-Ahli - kituo kidogo cha matibabu kabla ya vita - sasa ndio hospitali pekee ambayo bado inafanya kazi katika mji wa Gaza kufuatia uharibifu wa majengo ya matibabu ya Al-Shifa na hospitali katika sehemu ya kaskazini ya Ukanda huo.
 
Mimi nikiona taarifa za Gaza nikitolewa na wizara ya afya inauosimamiwa na Hamas ndio watoa taarifa naiona imekaa kipropaganda tuna takwimu nyingi za uwongokinachoripotiwa ni vifo vya wanawake na watoto sijawahi kuona hiyo wizara ya afya inauosimamiwa na Hamas ikiripoti vifo vya wanaume wa Gaza au vifo magaidi wa Hamas kiukweli hii wizara ya afya ya Gaza inayosimamiwa na Hamas inapigana vita vya taarifa aka propaganda Ili kutafuta huruma za Dunia na kelele za Dunia kuichafua Israel ili hali wao Hamas huvaa kiraia kipindi Cha mapigano na huvaa kombati zao vita vikisimama
 
Kama bado hili halitakuwa fundisho tosha kwa wapalestina kuachana na vitendo vya kigaidi wanavyowafanyia Israel basi wakiuliwa wote itakuwa ni halali kabisa.
 
Shambulizi la anga la Israel limeharibu sehemu ya hospitali katika mji wa Gaza, wizara ya afya ya eneo hilo inayosimamiwa na Hamas imesema

Video iliyowekwa mtandaoni ilionekana kuonyesha moto mkubwa na moshi ukifuka kutoka Hospitali ya Al-Ahli Baptist baada ya makombora kugonga jengo la ghorofa mbili.

Watu, pamoja na baadhi ya wagonjwa ambao bado wako kwenye vitanda vya hospitali, walirekodiwa wakikimbia kutoka kwenye eneo hilo.

Mwandishi wa habari wa eneo hilo amesema Jeshi la Ulinzi la Israeli (IDF) lilimpigia simu daktari na kumuonya kuondoka katika kituo hicho cha matibabu.

Hamas ilitaja shambulio hilo kuwa "uhalifu wa kutisha" wa Israel, ambayo ilisema inachunguza ripoti hizo. Hakuna majeruhi wameripotiwa, kulingana na huduma ya dharura ya kiraia.

Mwandishi wa habari wa eneo hilo, ambaye alikuwa akifanya kazi katika hospitali hiyo, amesema afisa wa jeshi la Israeli alimwita daktari anayefanya kazi katika idara ya dharura na kuwataka waondoke hospitalini mara moja.

"Wagonjwa wote na watu waliohamishwa lazima watoke nje kwa usalama wao," afisa huyo aliripotiwa akisema.

"Una dakika 20 tu kuondoka."Picha kwenye mitandao ya kijamii zilionyesha wafanyakazi na wagonjwa wakitoka nje ya jengo hilo kukiwa bado na giza. Makumi ya Wapalestina, wakiwemo wanawake na watoto, pia walionekana wakikimbia kutoka kwenye ua ndani ya hospitali hiyo walimokuwa wakitafuta hifadhi.

Al-Ahli - kituo kidogo cha matibabu kabla ya vita - sasa ndio hospitali pekee ambayo bado inafanya kazi katika mji wa Gaza kufuatia uharibifu wa majengo ya matibabu ya Al-Shifa na hospitali katika sehemu ya kaskazini ya Ukanda huo.
👿👿👿 aisee!!
 
Tunashuhudia usenge na ubaya wa kibinaadamu kwa namna ya wazi kabisa.UKRaine,sirria,ghaza na kwingine linaloendelea kOngo na kwingineko Bado Tanzania tu ambapo tumeanza kuwekana ndani tukiamini Mtanzania ni fala sana.JIPU HUANZA KWA ALAMA YA UPELE.Ustaarabu umemtoka mwanadamu,wote tunasherehekea vita kama mechi za uefa.TUJAALIWE MWISHO WA KUOGOFYA.
 
Back
Top Bottom