Ndege vita/jet na drone zilianguka Lebanon, israel ikijitetea kuwa ni tatizo la kiufundi
Wakati huohuo helicopter ilianguka huko gaza na kuua askari wawili wa israel,utetezi wao ni ule ule, tatizo...
Nlitegemea sisi Afrika tungekuwa moja ya masoko makubwa kabisa ya bidhaa za China. Sivyo. Why? Huku wanatuletea tu takataka soko lao kubwa lipo Ulaya na Marekani.
Ndo maana jamaa wanatudharau tu...
Yule dada mrembo press wa white house karolina leavit.amesema ushuru kwa vita zinazotoka uchina zitaongezeka kwa 20% kutoka 125% na kufikia 145% kwa sasa lkn sio mwisho.
Tunataka turudishe ajira...
Baada ya mkanganyiko wa mambo mengi yakiwemo masuala ya Iran, Tarrif Rais wa Marekani amtuma mjumbe wake ili kuzungumza na Putin kuweka sawa mambo yao.
A Tanzanian court on Thursday charged opposition leader Tundu Lissu with treason, which carries the maximum penalty of death, as tensions mount in the East African nation before October elections...
Wiki iliyopita Pentagon imeamuru kuhamishwa kwa angalau Mitambo 2 ya Mifumo ya ulinzi wa anga MIM-104 "Patriot" za kombora la ardhini hadi angani na mfumo wa ulinzi wa kombora la eneo la anga za...
On 25th April 2023, USAID AFYA YANGU project in collaboration with the Korogwe District Council health management team conducted a school health symposium event at Joyful day secondary school...
Bilionea Mpalestina na Mmarekani Bashar Masri alijiuzulu kutoka wadhifa wake katika Baraza la Dean katika Chuo Kikuu cha Harvard cha Kennedy School of Government baada ya kushutumiwa na familia za...
Kuanzia msimu wa masomo wa mwaka huu wa vuli, shule zote katika jiji la Beijing zitalazimika kutoa angalau masaa nane ya mafundisho ya Akili Bandia (AI) kwa mwaka wa masomo, kwa mujibu wa taarifa...
Australia yakataa ofa ya China ya 'kuiunga mkono' kwenye ushuru wa Trump.
Australia imekataa haraka ombi la China la "kuungana mkono" dhidi ya ushuru wa Donald Trump, wakati Washington inazidisha...
IDF na ISA wamewaangamiza magaidi 11 wa Hamas na Islamic Jihad waliojipenyeza Israel na kushiriki katika mauaji ya Oct 07,2023, wakiwemo wale waliohusika moja kwa moja katika mauaji na utekaji...
IDF imemwangamiza Gaidi Haitham Sheikh Khalil, kamanda wa Kikosi cha Hamas Shejaiya aliyehusika na shambulio la Nahal Oz Oct 07,2023 Khalil alipanga oparesheni za kigaidi dhidi ya wanajeshi wa...
Historia ya kutambuliwa kwa taifa la Palestina ni ndefu sana na kila siku orodha imekuwa ikiongezeka.Kati ya wanaolitambua taifa hilo ni pamoja na mamlaka ya kikatoliki duniani ya Holy See...
Kwa anayejua Tafadhali katika mkeka alioutoa Bwana Trumpet ameorodhesha nchi zote lakini Russia haipo je kulikoni? Hebu mwenye ufahamu aje atueleze hapa.
No other African leader, and very few leaders in the rest of the world, brought so much radical change and were so revolutionary as Burkina Faso’s The Lion King Thomas Sankara. He was most...
Katika ziara yake nchini Marekani,waziri mkuu wa Israel,Benjamini Netanyahu wameweka mikakati yao ya kuifuta Gaza kwa uwazi kuonesha mataifa yao hayana kificho kwa mpango huo.
Katika mazungumzo...
Rais wa Burkina Faso ameanza kazi vizuri na wengi wanampenda ameifanya Bara la Afrika kuwa sehemu ya Kivutio:
SOMA HAPA 👇🏻
1.Mosi ,Amefukuz Majeshi ya Ufaransa Nchini Burkinafaso akidai...
Elon Musk, mshauri mwandamizi wa Rais wa Marekani, Rais Trump, amtaka bosi wake huyo kumpa msamaha muuaji, Derek Chauvin, mweupe, aliyekuwa na cheo cha afisa wa polisi nchini humo.
Elon Reeve...
IDF inasonga mbele huko Gaza, inapanua eneo la buffer zone kushinikiza Hamas, lakini hakuna mapigano yanayofanyika.
Vikosi vya Ulinzi vya Israel vimesonga mbele katika eneo la kusini la Ukanda...
Tuliwambia Yemen huwa hashindwi vita, US ameanza omba nchi zingine wawasaide kupambana na Yemen ( Al Houthi )
https://youtu.be/zggM6Zu3ZYs?si=-bVmlSCOBTuYN7nq
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.