International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Leo hii, kwa mara ya 31, ni kipindi ambacho nchi ya Rwanda inakumbuka mauaji dhidi ya watutsi nchini humo, yaliyofanyika rasmi mwaka 1994, April 7. Mauaji haya, kwa wengi wanayahusisha na...
6 Reactions
105 Replies
4K Views
Yani mngejua tu namna China anavyoichukia Marekani ya awamu hii na jinsi walivyo na hasira acheni tu, Soko kubwa la dunia nzima lipo Marekani wao wamepigwa pin kwa ushuru mrefu halafu nchi zingine...
12 Reactions
63 Replies
3K Views
Katika vita vya silaha taifa la Marekani limetia hasara kubwa maeneo mengi duniani na hawajawahi kushinda hata sehemu moja. Wamepigana Afghanistan na hatimae wakashindwa na kukimbia mbio...
2 Reactions
4 Replies
671 Views
Hata mashirika makubwa ya ndege Duniani wanakuambia njia yenye pesa ni ya kwenda Marekani au kutoka Marekani, Mfano London to New york, New Delh to New york, Tokyo to New york na kadhalika. Hio...
10 Reactions
16 Replies
1K Views
Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon katika mahojiano na waandishi wa habari: "Tuliweka wazi kuwa msaada na ujenzi mpya utakuja mara tu silaha zote nchini Lebanon zitakapokuwa mikononi mwa...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
"Tunasubiri simu zao" hivyo ndivyo Trump alivyopost kwenye akaunti yake baada ya Marekani kuongeza ushuru kwa China kufikia 104% Tangu mwanzoni kabisa Trump alipoanza kuiongezea ushuru China...
25 Reactions
206 Replies
9K Views
Ngoma inaelekea mwisho coz wakubwa wa dunia wanakaribia muafaka! Ukraine Mashariki vs Ukraine Magharibi! https://x.com/worldupdates245/status/1910985103620047014...
2 Reactions
5 Replies
692 Views
Minisitiri ushinzwe ibikorwa by’ubutabazi, Maj Gen (Rtd) Albert Murasira, yasobanuye ko impunzi zirindwi Ishami ry’Umuryango w’Abibumbye rishinzwe Impunzi (UNHCR) rishinja u Rwanda kwanga kwakira...
0 Reactions
5 Replies
659 Views
Kiwango cha kodi za bidhaa zitokazo China kwenda Marekani sasa ni 145%. Kiwango cha kodi za bidhaa zitokazo Marekani kwenda China ni 84%. Naona Mchina kashindwa kwenda sambamba Mnyamwezi 🤣...
24 Reactions
121 Replies
6K Views
Ambao hatujabobea kwenye kimombo tunaona kama kwamba huyu raisi ameamua kuingiza mambo ya ubasha kwenye vita vya kibiashara. Kwa wale ambao hawajawahi kujaribu mambo hayo wanapata kichefu chefu na...
6 Reactions
54 Replies
2K Views
IDF inasema kuwa imekamata Uchochoro wa Morag na Gaza, na kuikata Rafah kutoka Khan Younis IDF inatangaza kwamba imekamilisha kukamata U hochoro wa Morag kusini mwa Ukanda wa Gaza, na kuukata mji...
1 Reactions
2 Replies
363 Views
Marekani anasema sera ya tarrifs inahimiza katika kumfaidisha zaidi China kuliko yeye kwa muda mrefu. China anasema hatua ya Marekani iliyochukuwa ni ya kionevu na wako tayari kushindana nae hadi...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Sheikh atoa amri wanawake waislamu wakipanda bodaboda wapigwe pamoja na madereva bodaboda Hivi kwenye waislamu kuna watetea haki za kibinadamu na haki za watoto, wao huona vipi hizi sheria za dini...
4 Reactions
39 Replies
2K Views
Wakuu, Shirika la habari la Reuters hivi karibuni limeripoti kwamba Rais wa Marekani Donald Trump amethibitisha kuwa kampuni ya Microsoft iko mbioni kununua Tiktok Taarifa hiyo kutoka Reuters...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Ni pigo Gani hawa Kobazi walipata? Wapi FaizaFoxy, Hezbollah kwa zaidi ya Miaka 30 imekuwa ikimiliki Silaha nzito kuliko Serikali ya Lebanon na mafunzo yao yalikuwa Imara kuliko Jeshi la...
5 Reactions
45 Replies
2K Views
Wizara ya Biashara ya China, leo imetangaza rasmi kuwa China imeongeza ushuru kwa bidhaa zote za Marekani kwa 40% Sasa ushuru utapanda kutoka 85% kufikia 125% Wakati hayo yakiendelea waziri mkuu...
16 Reactions
36 Replies
2K Views
Jeshi la Sudan linaloongozwa na Waislamu lilitangaza kuunga mkono Hamas, na kuahidi kusaidia kuiangamiza Israel. Likiongozwa na wahalifu wa kivita wanaotakwa na ICC Omar al-Bashir na Ahmed Haroun...
3 Reactions
12 Replies
862 Views
Helikopta Yateremka Kwa Ajali Ya Kushangaza Chini ya siku chache zilizopita, Idara ya Uchunguzi wa Ajali na Matukio ya Afrika Kusini ilitoa ripoti kuhusu tukio la ajabu. Safari ya kawaida ya...
2 Reactions
1 Replies
573 Views
Habari wandugu, Kwanza nimpongeze Trump kwa kuichekecha Dunia kisomi sio yule kibabu kilichopita kuichekecha Dunia kwa kumwaga damu Ukraine. Hipo hivi wawekezaji wakubwa nchini USA waliamua...
2 Reactions
10 Replies
578 Views
Iran inasema iko tayari kwa makubaliano ya nyuklia ikiwa Marekani itaacha vitisho vya kijeshi. Iran iko tayari kushirikiana na Marekani katika mazungumzo siku ya Jumamosi kuhusu mpango wake wa...
3 Reactions
9 Replies
916 Views
Back
Top Bottom