Polisi wa Kiislamu katika jimbo la Kano, kaskazini mwa Nigeria wamewakamata Waislamu 20 waliokutwa wakila mchana hadharani wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan ambapo pia Watu watano wamekamatwa...
Kwa mujibu wa taarifa ya TV ya waislamu MNTV, ni kwamba China ililazimisha watu hilo jamii ndogo la waislamu huko kwamba wasifunge ramadhani na watume video kila siku kuonyesha wanakula, ni nchi...
Iran ‘lazima iachane kabisa na mpango wake wa urutubishaji wa nyuklia, asema mjumbe wa Marekani Witkoff.
Mjumbe maalum wa Marekani Steve Witkoff amesema kuwa Tehran "lazima isimamishe na...
George Soros ni jina lenye uzito mkubwa na utata duniani. Kwa baadhi ya watu, ni mfadhili wa haki na demokrasia; kwa wengine, ni mkoloni wa kisasa anayefadhili vurugu kwa kutumia NGO na pesa.
1...
Tukio hilo lilitokea mwaka 1999 / 2000 wakati Rwanda na Uganda walipovamia DRC.
Zimbabwe, Angola, na Namibia, walituma askari kupitia umoja wa SADC kumsaidia Rais Laurent Kabila.
Katika...
Gaza haikuwa gereza kama wajinga na wapumbavu walivyokuwa wanaaminisha watu. Gaza ilikuwa ni johari. Watu waliishi vizuri zaidi kuliko katika nchi nyingi duniani, Lakini Hamas kwa ujinga wao na...
https://www.instagram.com/p/DH3KEkaCXDN/?igsh=NW16cTdtZzR5dHE3
My Take
Kama China wameanza kuamini uwepo wa Mungu ,wale wanasemaga hawaaminu watasimama nani?
Kisingizio kikubwa cha Marekani kutaka kuipiga Iran ni kwamba eti lazima iingie makubaliano mapya nayo katika muda uliowekwa na Marekani ili ipokee masharti mapya au ikishindwa ipigwe.
Iran...
Wazingatie katika kuijenga Palestina, sio kuiangamiza Israel
Wakubaliane na haki ya uwepo wa Israeli.
Wafanye amani na majirani zao.
Wafanya diplomacy na Saudi Arabia na UAE baada ya...
Mwaka jana, kampuni ya Indiana Resources ilifikia mafanikio makubwa baada ya Serikali ya Tanzania kukubali kulipa fidia ya Dola za Kimarekani milioni 90 (sawa na Dola za Australia milioni 137)...
Ukraine akirusha drone na kuleta madhara hawatangazi ila Russia akijibu mapigo wanatangaza juzi Kuna kitu kizito pale sumy Ukraine kimerushwa hahaha huko kelele TU sasa hivi
Katika kipindi hiki cha Pasaka huko Jerusalem Israel jamaa mmoja jana alienda Hekaluni akiwa na kondoo kwa nia ya kwenda kutoa sadaka ya kuteketezwa baadaye Alikamatwa na polisi walieko kwenye...
Rasi Donald Trump wa Marekani anajaribu kadri iwezekanavyo bidhaa kutoka nje ziwe ghali kiasi kwamba wananchi wake wasizipate kwa urahisi ijapokuwa kwake hazipo.Na kinyume chake.
Mu'az...
Kutoka kwenye barabara nyembamba, tanuri za kufinyanga udongo, na karakana zenye kelele za Fustat, Ibrahim Said alizaliwa mwaka wa 1976.
Fustat ni eneo la Cairo, Misri ambalo limejikita katika...
Kampuni ya teknolojia ya Meta, inayomilikiwa na bilionea Mark Zuckerberg, huenda ikalazimika kuuza Instagram na WhatsApp kufuatia kesi ya ukiritimba (antitrust) inayosikilizwa nchini Marekani...
Utabiri wa hali ya hewa ni fani inayohitaji uweledi sana ambapo TMA wanatakiwa kujinoa zaidi.
Nchini China kimbunga kikali chenye kasi ya 150kph kinatarajiwa kupiga kwenye miji ya Beijing na...
Ni uhakika kuwa nguvu kubwa ya jeshi la Israel ipo kwenye mapigano ya angani kwa kutumia ndege za teknolojia za kisiasa kuwapiga inaoamini ni maadui zake.
Jumla ya marubani wa ndege hizo wengi wao...
RAIA WOTE wa kigeni nchini Marekani wanatakiwa kujisajiri ndani ya siku 30 “Ama sivyo, utakamatwa, utatozwa faini, utafukuzwa, hautarudi tena nchini kwetu." Wafanya fujo kutoka nchi za kiarabu...
Trump hikes China tariffs to 30% and then 84%
China reciprocates
Trump hikes tariffs to 145%
China reciprocates
Trump announces that he wants Xi to call him
China does nothing
Trump announces he...
Naona wapigania haki feki wamejipata kwa mara nyingine tena, wataishia kununua milipuko kutoka urusi na iran alafu wana gaza waendelee kuwa masikini then kesho mje na nyuzi za kusema Israel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.