International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kwa mujibu wa Quran Tukufu WALIOPEWA hiyo Ardhi ni Wana wa Israel,hakuna mahali Quran inawatambua WAPALESTINA,kama Kuna Aya zipo nitaomba nisaidiwe maana elimu ni Bahari Hebu tuangalie Quran...
15 Reactions
478 Replies
10K Views
Huko Marekani kumeibuka malalamiko wanazi wa MAGA wa mrengo kulia mkali wasiotaka wahamiaji wakijifanya ni maafisa uhamiaji(ICE) au wa wizara ya mambo ya ndani(DHS) wakivamia na kukamata watu...
1 Reactions
9 Replies
585 Views
Waandamanaji maelfu walikusanyika Jumamosi katika miji mbalimbali Marekani kupinga utawala wa Rais Trump, katika maandamano makubwa zaidi tangu aingie madarakani. Maandamano hayo ya "Hands Off"...
3 Reactions
62 Replies
3K Views
Siku ya Pasaka ni moja ya siku za kuheshimika kwa wakristo kote duniani.Lakini kwa watu wa Gaza wa madhehebu ya kikristo na waislamu imekuwa ni moja ya siku chungu kwao baada ya watu zaidi ya 70...
4 Reactions
63 Replies
2K Views
Hawa magaidi wa waislamu siku zao zinakaribia mwisho, huku Marekani wakipiga kwa angani, Yemen nayo inaandaa wanajeshi 80,000 kuingia kwenye mpambano wa nyumba kwa nyumba. Japo Yemen wenyewe pia...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Hizbullah, Sheikh Naim Qassem: "Hatutaruhusu mtu yeyote kuwapokonya silaha Hezbollah, na wazo la kupokonya silaha lazima liondolewe kabisa kwenye kamusi. Silaha zetu ndizo nguzo ya...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Brice Oligui Nguema, ambaye ameongoza mapinduzi nchini Gabon mnamo Agosti 2023, Ameshinda uchaguzi wa rais wa Jumamosi kwa 90.35% ya kura zilizopigwa, Matokeo hayo yanaimarisha nguvu ya Nguema...
2 Reactions
3 Replies
623 Views
Siku ya Jana mwanamfalme wa Saudi Arabia alitua nchini Iran na kuonana moja kwa moja na Ayatollah ali Khamenei ambaye ni kiongozi muadhama wa mapinduzi ya Iran Sio hayo tu, ameitangaza Iran kama...
9 Reactions
30 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA Nimeona nije hapa niweke mambo sawa Maana nimeona Kuna watu wanapotosha sana Mimi nimefika Rwanda napajua vizur sana na nchini Rwanda wahutu ni wengi...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Katika hali inayostajabisha walitokea wahuni wa DRC wakasimamisha malori haswa yanayoendeshwa na kutoka Tanzania na kuanza kupora vitu vyao kuwashusha kwenye malori na kuwazuia kuingia ndani ya DRC
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Kuna makundi yanayowapinga Wahouth huko Yemen yanajiandaa kuanzisha shambulio la ardhini kuwatimua magaidi wa Houth ambao wamekufa kera maeneo hayo. Askari zaidi ya 80,000 wanajiandaa kuanza...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Wakuu, Vladimir Putin alikutana na Sasha Troufanov, mateka wa Kirusi-Mwizraeli aliyeachiliwa baada ya kushikiliwa kwa karibu siku 500 huko Gaza, na kumhimiza amshukuru mtekaji wake wa Hamas kwa...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Kuna taarifa kuwa hakuna utawala wa nchi yoyote ile ya kiarabu na kiislamu ambayo haina kiongozi wa ngazi ya juu ambaye si wakala wa Israel.Baadhi ya nchi zina mpaka kiongozi mkuu ambaye ni mjumbe...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Kuanzia Congo , Tanzania, Kenya , South Africa, Namibia , Zambia , Botswana, Zimbabwe na nchi nyingine nyingi za Africa makampuni kutoka ulaya na Marekani wanachota rasilimali za afrika ikiwa ni...
8 Reactions
71 Replies
2K Views
Jana ilikuwa Ijumaa kuu maelfu ya Wakristo tuliandamana kupitia Dolorosa mjini Jerusalem kukumbuka mateso ya Bwana wetu Yesu kristo. Tulipita njia ile aliyoipitia wakati ananda kusulubiwa Jana...
4 Reactions
3 Replies
440 Views
Siku za nyuma, SAMIDRC Mission ilifikia makubaliano na M23, ya kuirahisishia kuondoa wanajeshi wake huko mashariki mwa DRC. South Africa, kwa kuogopa kuzomewa kama walivyofanyiwa mamruki wa...
2 Reactions
9 Replies
962 Views
1. Watanzania tujifunze kujivunia kwetu japo sisemi sisi Ni Bora kabisa Ila tunajitahidi 2. Binafsi, nimetembelea miji kadhaa Afrika (Kigali, Nairobi, Kampala, Bujumbura, Johannesburg, Durban...
22 Reactions
97 Replies
7K Views
Magaidi wa Houth huko Yemen 🇾🇪 bado wanaendelea kuteseka na mashambulizi ya ndege za Marekani
2 Reactions
5 Replies
371 Views
Mamia ya makamanda wa Hezbollah walikimbia Lebanon kuelekea Amerika Kusini Ripoti za Saudia zinaonyesha kuwa Hezbollah imewaagiza makamanda wake wa uwanjani kuondoka nchini Lebanon kwa hofu...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Mfanyabiashara Toka Ghana Dr.Kofi Omoha amtaka Billionaire Elon Musk kuinunua Africa Kisha kufuta viongozi wake wote
12 Reactions
19 Replies
1K Views
Back
Top Bottom