International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

A Spanish judge has ordered Begoña Gómez, the wife of Pedro Sánchez, to stand trial on corruption-related charges after a two-year investigation that has become one of the biggest political...
1 Reactions
3 Replies
99 Views
Rais wa mpito wa Venezuela, Delcy Rodríguez, alithibitisha siku ya Alhamisi idadi ya awali ya vifo 32 na zaidi ya watu 700 kujeruhiwa kutokana na matetemeko mawili makubwa ya ardhi yaliyofuatana...
1 Reactions
1 Replies
205 Views
Trump amesaini makubaliano ya awali ya amani kati ya USA na Iran. Ajabu sana, Trump alikuwa kiburi kwelikweli wakati anaanzisha vita dhidi ya Iran. Leo tukumbushane ngebe na kejeri za Trump...
9 Reactions
54 Replies
1K Views
Vikosi vya Ukraine vimeongeza mashambulizi dhidi ya miundombinu ya nishati ya Urusi, vikitekeleza shambulio lingine la ndege zisizo na rubani kwenye kiwanda cha kusafisha mafuta huko Tuapse, cha...
2 Reactions
11 Replies
374 Views
Katika mahojiano ya Mtangazaji wa Sky News, Yalda Hakim pamoja na mchambuzi wa mambo ya kisiasa wa mrengo wa kulia nchini Marekani, Tucker Carlson, kujadili athari za kisiasa na kijiografia za...
4 Reactions
12 Replies
345 Views
Waziri Mkuu wa Italia, Giorgio Meloni amepokelewa Roma kwa shangwe kwa kukataa kupiga selfie na Rais Trump Pia soma: Waziri mkuu wa Italia akanusha madai ya Trump kuwa alimuomba apiginae picha na...
2 Reactions
3 Replies
302 Views
  • Featured
Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kujiuzulu nafasi yake Jumatatu hii baada ya kukabiliwa na shinikizo la miezi kadhaa, hatua inayofungua njia kwa nchi hiyo kupata Waziri Mkuu wa...
8 Reactions
59 Replies
2K Views
Wizara ya Afya Ufaransa imeripoti kisa cha kwanza cha Ebola kutoka kwa daktari aliyerejea nchini humo akitokea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC. Taarifa ya Wizara imeeleza kuwa daktari huyo...
0 Reactions
3 Replies
179 Views
Wanaukumbi. 1. Marekani na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na washirika wao katika vita vya sasa, kwa kusaini MoU hii, wanatangaza kukomesha mara moja na kwa kudumu kwa shughuli za kijeshi katika...
7 Reactions
109 Replies
2K Views
Siku hizi Wachina wanaoishi sehemu mbalimbali duniani wamefanya mashindano ya Mashua ya Dragoni ili kusherehekea Tamasha la kijadi la Mashua za Dragoni. Katika miaka ya hivi karibuni, mashindano...
0 Reactions
0 Replies
103 Views
Persians Hao jamaa wanahistoria ya muda mrefu wa kuwa watetezi wakubwa wa jamii za mashariki YA Kati toka kuanzianzishwa kwa ustaarabu wa kiajemi... Hawa jamaa waliwaokoa waisrael wa kale...
1 Reactions
7 Replies
255 Views
Muda huwa ni mwalimu mzuri sana. Nakumbuka mabazazi na madunya wa humu ndani mnamo tarehe 24 February 2022 siku ambayo Urusi alivamia Ukraine walinitafuta na kunisimanga sana. Wengine walidiriki...
68 Reactions
363 Replies
12K Views
  • Redirect
Ndugu zangu, mara nyingi tumekuwa tukilaumu uongozi kwa matatizo mengi yanayoikabili nchi yetu. Ni kweli, kuna changamoto kubwa za kiuongozi. Lakini kadri ninavyoangalia kwa undani, nimegundua...
1 Reactions
Replies
Views
Tuendelee kujifunza na kushudia namna sheria ya 'Rule of Law na No one above the law' inavyofanya kazi kwenye nchi za wenzetu. Kwetu ni Wapinzani tu ndo wahaini :COFFEE: ------------ Aliyekuwa...
1 Reactions
1 Replies
109 Views
Mkuu wa Ushirikiano wa Amahoro Coalition, Tito Mbathi. Jukwaa la sekta binafsi la Amahoro Coalition imezindua ripoti mpya yenye kichwa cha habari “Hiding in Plain Sight: Africa's $27B...
0 Reactions
0 Replies
95 Views
Makampuni ya Israeli Rafael Advanced Defense Systems na mtaalamu wa ndege zisizo na rubani SpearUAV wamezindua Iron Wasp, mfumo mpya wa kukabiliana na ndege zisizo na rubani unaowekwa kwenye gari...
1 Reactions
3 Replies
231 Views
Niaje waungwana Aisee kuna mambo mengine yanachekesha, na kushangaza sana. Hebu ngoja nikupe mfano halisi hapo chini 👇 Mfano mtu anatoka kwake huko katika wilaya nyingine na kuja kwako straight...
7 Reactions
30 Replies
743 Views
South Sudan is once again facing a political crisis as government forces have arrested key allies of First Vice President Riek Machar and surrounded his residence in the capital, Juba. The latest...
1 Reactions
4 Replies
626 Views
  • Featured
Rais Donald Trump amesaini nakala ya makubaliano kati ya Marekani na Iran katika Jumba la Kifalme la Versailles nchini Ufaransa, na kuhitimisha ziara yake ya G7. Kwa mujibu wa afisa mmoja wa...
3 Reactions
12 Replies
803 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…