International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

wakati Iran inahangaika na milipuko ya moto huko Bandar Abbas usiku wa kuamkia leo mjini Tehran kumę tokena milipuko miwili mikubwa ya moto chanzo cha milipuko hiyo bado haijajulikana moto...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Mkuu wa Shin Bet Ronen Bar anatangaza kwamba atajiuzulu kutoka wadhifa wake mnamo Juni 15, akitaja jukumu la kibinafsi kwa shirika hilo kushindwa kuzuia shambulio la Oktoba 7 la Hamas...
0 Reactions
3 Replies
407 Views
Vita baina ya India na Pakistan vimetabiriwa kutoepukika kufuatia mauwaji ya kigaidi yaliyofanywa Kashmir. Aina ya watu wanaoitwa watalii waliouliwa na muda na namna tukio lilivyotokea limeelezwa...
14 Reactions
68 Replies
3K Views
Serikali ya Burkina Faso inayoongozwa na Kapteni Ibrahim Traore inatarajia kununua mabasi 500 kwa ajili ya kurahisisha usafiri na kuondoa adha wapatayo wanafunzi hasa waishio maeneo ya mijini...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Kumekucha! Ayatollah ahofia pengine ni hujuma za maadui mlipuko mkubwa bandarini ============ Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ameagiza kufanyika kwa...
4 Reactions
12 Replies
913 Views
Alon Ohel amekuwa kifungoni huko Gaza kwa siku 570, akiwa na njaa, akijeruhiwa, akinyanyaswa na kufungwa minyororo. Alon alipoteza uwezo wa kuona katika jicho moja na alikuwa na vipande kwenye...
0 Reactions
5 Replies
362 Views
Rasmi: Israel haitakubali mapatano ya miaka 5 ya Gaza, Qatar haisaidii mazungumzo ya utekaji nyara ya hivi karibuni Afisa wa Israel anasema kuwa wapatanishi "hivi karibuni wamekuwa na ushawishi...
0 Reactions
0 Replies
382 Views
Rais wa Burkina Faso, Ibrahim Traore ndiye kiongozi pekee wa aliyekuwa jukwaa la VIP huku akiwa na pisto yake kiunoni. Pia ndiye kiongozi pekee aliyeruhusiwa kuingia na walinzi wake jukwaa kuu...
30 Reactions
132 Replies
9K Views
Shirika la usalama wa ndani la Israel Shin Bet linafanya kazi ya kuajiri Wapalestina huko Gaza. Wananchi wa Gaza wanaripoti kupokea vipeperushi na noti za shekeli 20 zikiwa na SIM kadi na nambari...
0 Reactions
2 Replies
397 Views
Rais Vladimir Putin wa Rasia Leo siku ya Jumatatu April 28 ametangaza kusitisitisha mapigano kwa muda wa masaa 72 kuanzia usiku wa manane wa May 8 mpaka usiku wa manane WA may 10 huku akiitaka...
0 Reactions
2 Replies
486 Views
Hapa hatuzungumzii mabomu ya nyuklia, tunazungumzia matumizi ya amani ya nyuklia yaani kuzalisha nishati. Kiteknolojia Marekani iko nyuma ya China kwa miaka 10 hadi 15 katika nishati ya nyuklia...
17 Reactions
137 Replies
4K Views
Oyaaah, wazee wa kazi. Tutunze afya zetu aisee!!! Naiona fursa ya kupiga pesa ileeeeeee inasogea. Huko USA wazee wa kazi wamekuja na mashindano ya riadha ya manii, sampuli za WAZUNGU...
3 Reactions
8 Replies
803 Views
Wakati Iran inateseka na mvua za rasha-rasha kuzima mioto ya Banar ABBAs na Tehran Houth nao usiku kucha hawalali kutokana na kipondo wanachopata kutoka kwa majeshi ya anga ya Maekani sehemu...
4 Reactions
6 Replies
564 Views
Ndio bandari iliyokua inategemewa kuuza mafuta kisiri kwa China, na pia ilitumika sana kupeleka silaha kwa magaidi wa kiislamu, japo haijabainika nini kilijiri ila kuna uwezekano makomando wa...
4 Reactions
12 Replies
937 Views
Vita au mpango❓ Rais Trump anaamini kuwa anafaulu katika mazungumzo na Iran na kwamba makubaliano yanakaribia: "Nadhani tunapiga hatua. Nadhani kutakuwa na makubaliano. Yatatokea. Itatokea hivi...
1 Reactions
3 Replies
400 Views
Pamoja na kwamba papa Francis hakuacha mamilioni ya pesa katika utajiri wake,vile vile hata maziko yake hayakuwa ya kifakhari sana.Yamefanana sana na vile waislamu wanavyozikana. Mazishi ya...
15 Reactions
108 Replies
5K Views
Another Italian, Cardinal Matteo Zuppi, Archbishop of Bologna, is now the third name on British bookmakers’ lists, at 7 to 1, ahead of Guinean Cardinal Robert Sarah. The election of a Black...
0 Reactions
1 Replies
428 Views
Houth wametangaza kuwa shambulio la leo kutoka jeshi la Marekani limelenga gereza ambalo wahamiaji haramu kutoka nchi za kiafrika huwa wanazuiliwa. Jumla ya mahabusu wapatao 68 wameshathibitishwa...
2 Reactions
10 Replies
620 Views
Mambo mengi muda mchache, yetu macho ila Mosad bana... ================ Iran repelled a large cyber attack on its infrastructure on Sunday, said the head of its Infrastructure Communications...
2 Reactions
4 Replies
702 Views
Waziri wa Kilimo wa Namibia, Mac-Albert Hengari, amefukuzwa kazi baada ya kutuhumiwa kumbaka msichana mwenye umri wa miaka 16 miaka mitano iliyopita. Kwa mujibu wa polisi, Hengari alikamatwa siku...
0 Reactions
9 Replies
685 Views
Back
Top Bottom