Msemaji wa IDF wa lugha ya Kiarabu ametoa onyo la kuhamishwa kwa maeneo kadhaa katika Jiji la Gaza, ikiwa ni pamoja na Hospitali ya Shifa na Chuo Kikuu cha Kiislamu hatakiwi mtu yeyote maeneo...
Jana katika ziara ya rais wa Marekani Trump wale panya wa Ikulu Saudi Arabia royal palace guards makomandoo walinzi wa mfalme walionekana wakiwaandalia kahawa Trump na MBS wakivaa kanzu nyeupe na...
Mazungumzo ya ngazi ya juu ya uchumi na biashara kati ya China na Marekani yamefanyika hivi karibuni huko Geneva, na kupata matokeo muhimu. Hali ambayo inaonyesha kuwa baada ya mvutano mkali wa...
Fikiria mateso ya wakristo na wayahudi wanaoishi middle east.
Fikiria muslim brother hood na itikadi kali itakavyo iharibu uchumi wa dubai, kuwaiti na saudia
Fikiria vibanda vya umachinga hapa...
Vita kati ya wababe wawili wa nyuklia vimeisha haraka.Hiyo ni kwa mujibu wa tangazo la raisi Trump wa Marekani.
Kwa upande mwenine juhudi kubwa zinaendelea mjini Kyiv ili kusimamisha vita kati ya...
Papa mpya aoneshq matumaini mapya dhidi ya watu wenye itikadi za ushoga, baada ya kumkwepa mtu mwenye bendera ya ushoga aliyetaka kurazimisha salamu wakati Papa huyo akisalimiana na watu
Tizama...
Kikundi cha Wanamgambo wa Ukraine waliokwenda kushiriki graride la Victory in Europe Day huko London wametorokea na kuingia mitaani hawataki kurudi Ukraine kusulibiwa na Vikosi vya Wachechinyia 🇷🇺...
Shambulizi la Diapaga na Asili ya Jama’a Nusrat ul-Islam wal-Muslimin (JNIM)
Na
GOODLUCK MALEKOJ
UTANGULIZI
Tarehe 13 Mei 2025, mji wa Diapaga ulioko Mashariki mwa Burkina Faso ulivamiwa tena...
Je, China Ilitoa Zawadi au Iliweka Mtego kwa Afrika? – Siri ya Wizi wa Taarifa Katika Makao Makuu ya Umoja wa Afrika
Mwandishi: MalekoGJ
On X
@GoodluckMalekoJ
Utangulizi
Mwaka 2012, bara la...
Israel inaendeleza vita japo hatuoni mabadiliko na maendeleo kwenye vita.
Us inataka mateka wote warudi lkn Israel haitaki kumaliza vita
Witkoff:-mjumbe wa marekani middle east...
Waziri wa Ulinzi wa Israel Israel Katz: Hatutaruhusu shirika la kigaidi la Hamas kutumia hospitali na vituo vya misaada ya kibinadamu huko Gaza kama vituo vya makazi na amri za ugaidi...
Wadau hamjamboni nyote?
Hali ni mbaya Kwa Mayahudi tuwaombee sana
IDF walidhani kupiga airport na kuharibu kiwanda cha mbolea wamemaliza kila kitu kumbe wenzao ni wajuzi zaidi yao
Suluhu pekee...
Natoa Onyo Kali Kwa maadui wa kipenzi chetu cha dhati ndugu Ibrahim Traoure Rais wa Burkina Faso The son of Africa.
Endapo chochote kibaya kitamtokea bwana mdogo hata mkwaruzo tu patachimbika na...
Ndege ya kijeshi ya Korea Kaskazini aina ya J- 35A kizazi cha 5 iliotengenezwa nchini China imewaleta makomandoo 700 welevu na weledi nchini Burkinafaso kwaajili ya kuimarisha ulinzi wa Rais wa...
Rais Trump anahitimisha ziara yake nchini Saudi Arabia na kuelekea Doha, mji mkuu wa Qatar, ambako pamoja na mambo mengine, mazungumzo yanaendelea kuhusu makubaliano kati ya Hamas na Israel.
Rais Trump alikutana muda mfupi uliopita na mtawala mpya wa kijihadi wa Syria Ahmed a-Sharaa (Mohammed al-Julani) mjini Riyadh.
Ikulu ya White House ilisema Trump aliutaka utawala mpya wa Syria...
Hivi kwa nini Waafrika hudanganyika kirahisi rahisi hivyo?
Kuna watu kwenye hii mitandao wanaotumia nguvu za ziada kulazimisha umaarufu wa dikteta uchwara wa Burkina Faso.
Habari nyingi kumhusu...
“Yemenia”: Our Aircraft are Insured Against War Globally Except for Yemen’s Airports Due to “International Classification”
Yemen Airways imepinga kwa nguvu taarifa "zisizo kweli na zisizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.