Ni kweli kabisa Majeshi ya Israel yalijaribu mara moja kutaka kumuua Mwandishi huyo wa Kipalestina Hassan Aslih na kumjeruhi vibaya sana akalazwa Hospitali ambako jana waliamua kumfuata huko huko...
Wadau hamjamboni nyote?
Rais wa Marekani Donald Trump yuko tayari kupokea ndege ya kifahari aina ya Boeing 747-8 kama zawadi kutoka kwa familia tawala ya Qatar wakati wa safari yake ya Mashariki...
Hawa walinzi makomandoo walinzi wa mfalme wa Saudi Arabia na Ikulu nasubiria kesho kuwaona kwenye ziara ya trump Saudi Arabia wengi wao NI waarabu weusi wanavaa nyeupe na mikanda mieusi huku...
Army aircraft were reportedly hovering above as the killings took place, showing command control of the operation.
At least 130 civilians belonging to the Fulani ethnic group were killed by...
Kutokana na matishio ya kiusalama na matishio ya kumuua Rais Ibrahim Traore wa Burkina faso, kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un amesema serikali yake itaipatia Burkinafaso msaada mkubwa wa...
Hadithi Sunan an-Nasai 3175 inasema kuna Makundi mawili ya Umma wa Mohammad ambayo Allah atawaokoa kutoka moto wa Jehanam. Kundi moja ni Waislamu watakaoivamia India.
Aidha, Kiongozi wa Juu wa...
Ziara za mwanzo kubwa za raisi Trump katika kipindi chake cha pili cha uraisi imekuwa ni nchi tatu za ghuba zenye uchumi mkubwa duniani na rasilimali za kutosha za nishati.Nchi hizo ni Saudi...
Ameangamizwa ❌
Shambulio la anga la Israel usiku wa kuamkia leo limemwangamiza Kanali Hassan al-Qudra, ambaye aliongoza kitengo cha "ANTI-TERROR" cha Wizara ya Mambo ya Ndani ya Hamas, alipokuwa...
Unaposikia kwamba Papa Leo XIV alikuwa na shahada ya hesabu, alifundisha fizikia, na aliandika tasnifu kuhusu uongozi wa kitawa, inaweza kukushangaza. Lakini kwa Kanisa Katoliki, hilo si jambo la...
Ndege ya kijeshi ya Korea Kaskazini aina ya J- 35A kizazi cha 5 iliotengenezwa nchini China imewaleta makomandoo 700 welevu na weledi nchini Burkinafaso kwaajili ya kuimarisha ulinzi wa Rais wa...
Vita vya miaka mitatu vimetoa funzo kubwa kwa mataifa makubwa duniani pamoja na Ulaya.
Wakiwakilisha wenzao,viongozi watano wa mataifa ya Ulaya walifika mjini Kyiv hapo juzi na kukushanyika kwa...
Ndugu zangu wabantu na wale mbari za wachache katika eneo letu la maziwa makuu tujihadhari na hawa jamaa mbari ya kitutsi.
Watanzania hua wanaogopa kuzungumza chochote kwa msingi wa kikabila au...
Ule uchuro wa rais Donald Trump wa Marekani wa kuvaa mavazi ya papa wakati wakristo wakiomboleza unaonesha aliufanya kwa malengo maalum kwani unaonekana kujidhihirisha katika ukweli.
Kwa mara...
Ikulu ya White House imetoa taarifa ikisema kuwa Marekani imetangaza makubaliano ya kibiashara na China baada ya mazungumzo kati ya ujumbe wa Marekani na China kufanyika nchini Uswisi siku ya...
Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Côte d'Ivoire, ambaye amezuiliwa kugombea urais katika uchaguzi wa Oktoba, amesema Jumatatu kuwa anajiuzulu kama kiongozi wa upinzani lakini bado ataongoza kampeni...
Watu wasiopungua 33 wameuawa nchini Sudan katika mashambulizi yanayodaiwa kufanywa na kikosi cha Rapid Support Forces (RSF), huku vita dhidi ya Jeshi la Sudan (SAF) vikizidi.
Jumamosi, RSF...
Katika usiku wa Mei 9 na 10, kwa kulipiza kisasi dhidi ya mvua ya drones na makombora ya Pakistan yaliyoelekezwa India, New Delhi ilizindua mashambulizi ya kulipiza kisasi, ikilenga mifumo kadhaa...
Rodney Hinton Jr. sasa anaongoza vichwa vya habari baada ya madai kwamba alitaka kulipiza kisasi kufuatia kuuawa kwa mwanawe, Ryan Hinton, na polisi. Baba huyo, ambaye kwa sasa yuko chini ya...
Papa Leo wa XIV ametoa wito wa kuachiliwa kwa waandishi wa habari walioko gerezani katika hotuba yake ya kwanza kwa wanahabari huko Vatican.
Ameeleza mshikamano wake na waandishi waliotupwa jela...
Vyombo vya habari vya Marekani vinaripoti kwamba Rais Trump anatarajiwa kupokea "ikulu inayo kuruka" kama zawadi kutoka kwa mtawala wa Qatar- Boeing 747-8 yenye thamani ya mamia ya mamilioni ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.