Chochote kibaya kikimtokea Ibrahim Traore patachimbika

Chochote kibaya kikimtokea Ibrahim Traore patachimbika

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
9,251
Reaction score
20,486
Natoa Onyo Kali Kwa maadui wa kipenzi chetu cha dhati ndugu Ibrahim Traoure Rais wa Burkina Faso The son of Africa.

Endapo chochote kibaya kitamtokea bwana mdogo hata mkwaruzo tu patachimbika na ndio mwisho wa ubepari duniani.

Narudia tena ole wao wale wanamtamania mabaya kijana wetu kipenzi Ibrahimu. Wale wote wanataka kumdhuru na wale wote wanataka kumkwamisha katika harakati zake sahihi (just cause) kaeni mkijua patachimbika na mtajuta kuzaliwa.

Namtakia heri, afya njema na maisha marefu the son of Africa Ibrahim Traoure. Na asiwe na hofu na tena alale tu mlango wazi kwani Sisi vijana tuko Radhi kufa kumlinda.

Sasa Kayngay yoyote athubutu aonje ladha ya maumivu.

Senior JF/JA staunch and die hard supporter of Ibrahim Traoure

Nyau de adriz
 
Mungu alitupa Magu tukamdharau.
Magu dikteta uchwara Tu. Kalamba trillion kadhaa na kuziacha. Hela Tu za makinikia waligawana na kina kabud na zingine kuzitapanya Kwa mahawara.

Hana lolote marehemu Yani kule kuruka ruka hapa na pale kama swala na kufokafoka basi mapoyoyo mkamuona bonge la Rais.

Nyau de adriz
 
Mapinduzi aliyoyafanya ni ya haki na halali Kwa kuwaondoa mafedhuli na wakoloni weusi Kwa mustakabal thabit wa Burkina Faso na Africa Kwa jumla kwa kupanuo wigo Mpana wa maendeleo Katika Nyanja mbalimbali.

Fake P

Nyau de adriz
namuunga mkono mwamba,lakini wewe nakubishia,wewe ni kama petro aliyemkana yesu ×3
 
Mapinduzi aliyoyafanya ni ya haki na halali Kwa kuwaondoa mafedhuli na wakoloni weusi Kwa mustakabal thabit wa Burkina Faso na Africa Kwa jumla kwa kupanuo wigo Mpana wa maendeleo Katika Nyanja mbalimbali.

Fake P

Nyau de adriz
Oya boss huyu alimpindua pot mwenzake

Kwahiyo mwanetu hayupo salama l guess atachezea chuma tu tena kutka ndani ya circle yake
 
Yani dollar million 29 kila siku zilikuwa zinaibwa na ufaransa kwenye dhahabu Burkina Faso. Kilo elfu 54 Kwa mwaka za dhahabu zinaporwa. Lakini sasa zote zinabakia nchini chin ya braza Ibra.

Niko tayari kumlinda Kwa nafsi yangu Traoure.

Nyau de adriz
Hamna KITU Hapo muda UTASEMA 🙄😇🤪
 
Back
Top Bottom