Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Tawala nchini Zimbabwe, ZANU-PF kinaendelea muda huu huku lengo ni kumng'oa madarakani Rais Robert Mugabe aliyedumu kwa miaka 37.
Washiriki wa karibu wa Rais Robert...
Charlie Kirk aitetea Israeli kwa ustadi mkubwa dhidi ya mchujo mdogo wa kujivunia katika Chuo Kikuu cha Cambridge ambaye hajui lolote kuhusu ulimwengu wa kweli.
Mtoto analalamika tu juu ya mambo...
Waarabu Wanaendelea kufanya Maigizo Wanaonyesha video au taswira ya mtoto MMOJA aliye na ugonjwa wa Genetic ambao kwa kawaida huenea kwa watu walio na uzao wa uzazi mmoja au uko mmoja kama vile...
Tumeshtushwa na kutishwa asubuhi ya leo na taarifa za shambulio la kikatili la kigaidi lililogharimu maisha ya wafanyakazi wawili wa Ubalozi wetu mjini Washington - Yaron Lischinsky na Sarah Lynn...
Afrika Kusini inafuatilia kesi dhidi ya Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki mjini The Hague, ikiishutumu Israel kwa kufanya mauaji ya halaiki huko Gaza leo wameumbuliwa mchana kweupe...
Bunge la Seneti la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) limepitisha uamuzi wa kumuondolea aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Joseph Kabila, kinga ya kutoshitakiwa, hatua inayomfungulia njia ya...
Wakati wa Vita Baridi, yaani Cold War, vita ambavyo vilikuwa kati ya Marekani na Urusi, bila kutumia bunduki, Marekani waliamua kutumia wanyama na ndege kama wapelelezi wao.
Walimchukua paka...
Microsoft imemfuta kazi mhandisi Joe Lopez baada ya kuvamia hotuba ya Mkurugenzi Mtendaji Satya Nadella katika mkutano wa Build mjini Seattle, akipinga ushirikiano wa kampuni na jeshi la Israel...
Lt Gen Masunzu, amelitaka jeshi la serikali ya Congo, kujiandaa vita vipya, kuhakikisha M23 inapoteza maeneo iliyo nayo kwa sasa, mashariki mwa DRC.
M23 na yenyewe haiko tayari kuachia. Huku...
Walid Shoebat ni Mpalestina aliyekuwa gaidi chini ya PLO-Palestine. Baada ya kujua ukweli aliacha ugaidi wake na kusimamia ukweli upande wa Israel. Mwarabu huyu ktk mahojiano yaliyofanya 2008...
Katika mkutano wake na waziri mkuu wa Lebanon,Nawaf Salam kiongozi wa mamlaka ya Palestina amewahimiza raia wake warudi kwenye ardhi zao huko Palestina ambayo sasa inaitwa Israel.
Malaki ya raia...
Juzi Rais wa Marekani DJT alifanya hafla katika club yake ya golf na kuwaandalia chakula cha usiku matajiri zaidi ya 200 waliowekeza zaidi ya $milioni moja kwa kichwa katika Crypto currency yake...
Ukweli mchungu, mwaka 2015 hakuna ambaye angedhani kuwa Trump angepata nominee ya Republican, ata Obama alibeza kuwa Trump ata nominee hatapata, lakini sote tunajua kilichotokea.
Mwaka 2016 Trump...
1.) D.R.C CONGO - Has seen decades of violence especially in the north-east - French speaking
2.) C.A.R (Central African republic) - Has recently undergone a cope de tat - French speaking
3.) MALI...
Kama raia wa Kiarabu wa nchi, sina budi kutetea sura ya Taifa la Israeli dhidi ya kauli za kipuuzi, za uongo na za uchochezi dhidi ya Serikali zinazotolewa na viongozi wa nchi mbalimbali... Ajabu...
Waislamu ni rahisi kutumika kwa maslahi ya wakuu
Ona sasa Traore ambaye ni muislamu mwenzao wanamshambulia. Juzi magaidi wa Alqaida ambao wanaundwa na kabila la Tuareg waliua wanajeshi 90 wa...
Malori 100 ya misaada ya kibinadamu yakiwa yamebeba fomula ya watoto, unga, na vifaa vya matibabu yaliingia Gaza jana kupitia Kivuko cha Kerem Shalom.
Misaada kama hii ndiyo inawapa kiburi...
Moja ya ziara zilizotikisa vyombo vya habari week hii ni hii ya Rais wa Afrika Kusini kuitembelea Marekani.
Kama kawaida ya Trump alimkalisha chini Ramaphosa Oval office. Lakini safari hii...
Wachina wanalia machozi sasa Trump mjanja sana sana sana, huyu jamaa anakupiga engo zote kama kitenesi
wachina pesa ipo wanakimbilia Havard kusoma kisha wanaleta uchina Amerika, sasa mwamba...
El Al iliripoti kuibuka kwa asilimia 19 katika faida ya robo ya kwanza, na kufikia dola milioni 96 licha ya mashirika ya ndege ya kigeni kupunguza safari za Israeli. Mapato yalipanda 5% hadi $774...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.